Search results

  1. Okol36

    Mkutano Wa Mandela Na nyerere kule ng'ambo ya pili ..

    Nyerere: Kama vile nakufananisha? Mandela: Hata mimi naona sio sura ngeni? Nyerere: We ndie Mandela eee?! Mandela: Ndiyo mimi haswa miaka 14 ni mingi. Nyerere: Sana!!. Mandela: Sasa nitakaa wapi mbona hakueleweki huku? Nyerere: We ngoja utapaelewa tu. Nyerere: Eeh!! vipi huko Tanzania...
  2. Okol36

    Bongo land

    Hii ndio Bongo Ilikuwa Ijumaa mida ya saa 10 jioni, mzee mmoja aliingia na kibinti kizuri kwenye yard ya magari mapya. MZEE: Chagua gari unalotaka mpenzi....kabinti akazunguka yard yote mwisho akachagua Verrosa metallic . BINTI: Mi naitaka hii MZEE: Hakuna tatizo kabisaaa, mtoto mzuri kama wewe...
  3. Okol36

    Nahitaji msaada juu ya swala hili kisheria

    Pindi mwanamke anapokunywa sumu kuhusu mapenzi alaf akaandika ujumbe wenye jina la MTU flani hivi hyo MTU alieandkwa jina anahusika vipi ??? Na hukumu yake huwa Ni VP ???
  4. Okol36

    New comer jaman

    Naomben muongozo
  5. Okol36

    Nahitaji msaada wa neno hili kwa Kiswahili

    Hivi unaweza kuhoji juu ya "status" yeyote ya mpenzi wako?
  6. Okol36

    Saidia hii ndoa

    Hamad alialikwa harusini, Usafiri wake ni Baiskeli. Wakati anaikagua akakuta ina pancha, akamwambia mkewe atangulie kwa miguu yeye azibe pancha, mke akiwa njiani akaingia kichakani kukojoa, kumbe nyuma ya kichaka kuna jamaa naye anakojoa, wakati Hamad anafika Eneo lile akamwona mke wake...
  7. Okol36

    Wakuu naombeni msaada wenu wa kisheria

    hivi askar wa pikipik maarufu kama tigo wanaruhusiwa kuendesha pikpik yako pindi anapo kukamata nakukupeleka kituoni??
  8. Okol36

    Duh!

    Hivi humu ktk wasapu MBNA hakuna vi icon vya waafrika.Naona wazungu wahindi waarabu...
Back
Top Bottom