On this thread, I shall be sharing my personal views on a number of issues that includes politics, religion, sports, language skills, motivational words among others.
My aim is to avoid multiplicities of threads and responding to criticism that threads must attempt to interrogate the main...
Kuna sheria iko jikoni yenye kulenga kuboresha mafao ya viongozi wa kitaifa na kuhakikisha wenza wa viongozi hao kulipwa 25% kama mafao ya kustaafu. Pia familia zao kuvuna 60% ya mshahara mara baada ya viongozi wa kitaifa kufariki dunia.
La ajabu, huu muswada pamoja na kuchochewa na mapendekezo...
HATUWEZI KWENDA UCHAGUZI WA 2024 NA 2025 BILA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA UCHAGUZI
Watawala wamekuja na mbinu ya medani wengi hawaijui katiba iliyopo, vyama vya siasa siyo wamiliki wa Katiba na ubora wa katiba siyo lazima haki ikatendeka.
Hivi ni visingizio vya kukwepa kurekebisha mfumo wa...
Huko nyuma tuliwahi kumchambua Tundu Antipas Lissu na kuhitimisha siyo presidential material.
Amekuwa akiropoka ropoka hovyo bila kupima athari za kauli zake na mbaya zaidi mbali ya kunyanyapaa wapinzani wake wa kisiasa pia hana majibu ya matatizo yaliyopo.
Ukikosoa kwamba mkakati huu haufai...
We would like you to be the first to know what the CIA is planning to do.
Ukraine has been comprehensively defeated in Ukraine, but its corrupt ridden regime under the Ukrainian oligarch wants to prolong the war indefinitely in order to continue amassing billions of dollars.
The problem with...
https://youtu.be/CsfIiDj5LQY
Askofu profesa Victor Chisanga kwenye mahojiano yake na Jambo TV kadai ana maelekezo ya Mwenyezi Mungu lazima apinge mamlaka kwenye uwekezaji wa bandari na asipofanya hivyo atakwenda motoni.
SERIKALI IJIANDAE KUWATETEA DP WORLD KWA SABABU AJIRA NA MAPATO YA BANDARI YATAKASHUKA MNO!
Hawa DP WORLD siyo wawekezaji bali ni mchwa. Tuna mapigo matatu yanahusiana na huu uwekezaji wa kifisadi yanakuja bila kuchelea.
Pigo la kwanza mapato yatashuka kinyume na matarajio yao. Mapato ya...
Sisiemu kujivua gamba kwa kulivunja baraza la mawaziri!
Inapokuja swala la kuendelea kubaki madarakani sisiemu huwa haina cha msalia mtume na huchukua hatua stahiki kwa kuwamwaga makada wake walioshindwa kusoma alama za wakati.
Ni dhahiri sera ya ubinafsishaji wa taasisi za umma siyo chagua...
Sijui kwanini sisiemu wanaikana sera yao penzi ya ubinafsishaji na hata kudiriki kujigamba kwenye mikutano yao bandari haziuzwi wala hazibinafsishwi wakati wamebinafsisha.
Kama wapinzani wameshindwa kitu kidogo kama kulinda kura wataweza kuongoza maandamano na kuwang'oa watawala?
Ukweli ni...
Wakati wowote kuanzia sasa tutarajie ardhi iliyoko mikononi mwa NDC na NAFCO kukabidhiwa wageni kwa visingizio mashirika tajwa yanatutia hasara.
Serikali itayafuta mashirika tajwa na kuwauzia waarabu wa Dubai ardhi ya taasisi tajwa kwa bure hata sumni hawatatoa.
Kinachopiganiwa hapo ni...
Ukiona mahakama inatumia katiba ya Falme za Kiarabu kuhalalisha Dubai ni nchi inayostahili kunufaika na sheria za mikataba ya kimataifa badala ya kujikita kwenye Lome & Geneva Conventions ujue hatuna mahakama.
Uhalali wa Dubai na DP WORLD kuingia mikataba ya kimataifa inabidi utokane na Geneva...
Tarehe 02nd June 2023, maofisa wa uhamiaji wa Uganda walikamata silaha za Falme za Kiarabu (UAE) zikipelekwa Sudani kupitia Chad kulingana na makala ya WSJ (Wall Street Journal) ya leo tarehe 10th August 2023.
Maafisa walionasa hizo silaha hizo walipowajuza mabosi zao hatua zipi wachukue...
Nimeshtushwa baada ya kupitia mikataba 14 ya ufaransa na makoloni yake nikakuta kuna baadhi ya maeneo yanarandana na huu mkataba wa DP World.
Mfano tu huwezi kufanya uwekezaji wowote bila ya ridhaa yao. DP WORLD na ufaransa wanaonekana malengo yao yanafanana. Lengo lao ni dhahiri wanataka...
Hotuba ya msomi nguli wa sheria imetuacha na maswali mengi hasa mbona anaelekea ana khofu ya kushindwa uchaguzi wa ubunge 2025?
Katika hotuba yake ya leo tumejifunza mambo mengi yakiwemo ufahamu wake wa sheria unatuacha hoi bin taabani.
Kwanza kapendekeza wawekezaji watafutwe na kuongezwa...
Baada ya kumtafakari sana Mheshimiwa Tundu Lissu imebidi nikiri kutoka sakafu ya moyo wangu huyu atatusaidia sana kwenye kuainisha matatizo yaliko lakini hana majibu yake na haya ni mapungufu makubwa ambayo hatuwezi kuyafumbia macho.
Moja, alijivunia umaarufu kwa kukosoa serikali zote mbili za...
Wapinzani wasichojua sisiemu hawatabanduka madarakani kwa njia za kidemokrasia bali kwa vurugu za panya roads.
Neema ya kuwang'oa sisiemu haiko kwenye masanduku ya kura bali siku ambayo panya roads watakapoamua kufanya kweli na hiyo siku haiko mbali.
Wapinzani wanalia na katiba mpya ambayo...
Katika ukurasa wake wa Twitter Ibrahim Babangida kaweka wazi hadharani sifa za serikali ya kiraia kupinduliwa.
Moja, uwepo ushahidi wa kutosha palikuwepo na matukio ya wizi wa kura. Pili, serikali iliyoingia madarakani haina uhalali utokanao na uchaguzi,.
Tatu, wananchi wana malalamiko ambayo...
Yapo makundi mawili ndani ya Chadema kundi moja laongozwa na Tundu Lissu na la pili liko chini ya Aikael Mbowe.
Ugomvi wa haya makundi mawili ni nani awe mpeperusha bendera ya Urais ujao yaani 2025.
Kundi la Tundu Lissu linaamini mgombea wao ndiye mwenye mvuto na wanaamini alishinda uchaguzi...
Pamoja na Wabunge wa CCM kuuza bandari zetu zote bwerere na kutukejeli sisi ni vilaza tunaohitaji darasa kutoka kwao huku wakijipandishia mishahara na posho kimya kimya wakati ya wengine hawawajali masilahi yao lakini wana hali mbaya ya kisiasa majimboni kwao.
Wengi wao wanadiriki kusema...
Mgombea Urais alikiri hajui alipata kura ngapi uchaguzi uliopita kwa utetezi ya kuwa hata Tume ya uchaguzi haijabamdika matokeo ya kila jimbo kwenye tovuti yao kama sheria za uchaguzi zinavyosema.
Tunasema hii inashangaza tukizingatia baada ya uchaguzi alikuwa mstari wa mbele kutuhimiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.