DK Slaa alichelewa kufanya kampeni akisubiri CCM watasema nini katika majukwaa ili na yeye apate pa kuanzia kusema na watanzania lazima tujiulize kwanini alifanya hivyo na jibu unalopata hizo zilikuwa dalili za mwanzo kabisa za kushindwa kwa sababu haiwezekani kukitegemea chama kingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.