Search results

  1. Lupamba's grandson

    Andika neno lolote chungu, zito, lenye maumivu ambalo hautakujaa kusahau mtu alikutamkia

    Habarini wapendwa. Leo nimekaa nikawa nimepitia. Insta nikaona x kapost picha yake nikakumbuka neno mmoja mabalo nalikumbukka mpka leo liliniuma sana. Alinisumbua sana ikafika mahali nilipewa mapumziko hospital, sasa kwenye kumpigia kumwambia nimelazwa ,bwana ee alinitext ". Utajua mwenyewe...
  2. Lupamba's grandson

    Je, inawezekana Satelaiti TV kuonekana kwenye simu bila kuwa na programu (application)?

    Nimesoma kichwa cha habari hapa kwenye gazeti la leo kama sijakosea, nadhani sijui ni mimi sijaelewa au ndio kwamba sijui technolojia ilipo kwa sasa, au ni vile sielewi kuhusu simu au sattelite au ni nini? Embu walioelewa hapo kwenye duara mnieleweshe, kwamba ntawezaje ku kupata (access) TV...
  3. Lupamba's grandson

    Wazazi msipowafuatilia watoto wenu chuo mtajutia mwishoni

    Wazazi na walezi, Tembelea watoto wako wanaosoma vyuo! Hasa hawa walioenda ngazi ya cheti baada ya kumaliza kidato cha nne, wengine wameoa na kuolewa! Binti haingii darasani, anafua na kupika kwa kijana waliyekutana naye chuoni. Kuna ambao pesa ya ada hajalipa anahudumia "mke"! Unaweza fikiri...
  4. Lupamba's grandson

    Tafakuri ya leo

    Najaribu tu kuwaza .ila inawezekana ya ngoswe tumua hie ngoswe.
  5. Lupamba's grandson

    Leo tufanye kama tunaishi majirani nyumba za kupanga

    Nimejaribu kuwaza hapa vitu, vituko nilivyokutana navyo nyumba ya kupanga nikajikuta nacheka mwenyewe. Sasa basi naamini kila mtu ana vitu na changamoto na vituko anakutana navyo ,so tunaanza kushuka coment na kujibizana kama watu tuishio nyumba za kupanga tufanye wapangaji tuko wengi. Kwahyo...
  6. Lupamba's grandson

    Vituko vya mama kijacho: Nimepikiwa chakula nisichokielewa

    Habarini wadau wa humu ,naamini nyote ni wazima hasa. Twende moja kwa moja. Kwa muda sasa bibi ana ujauzito wa kama mwezi hvi ,ila sasa kiukweli kama mwanaume una roho ndogo unaweza acha nyumba ukakimbia au wakati mmwingine ukatamani ubaki uko kazini. Nimeona mada nyingi umu wanaume...
  7. Lupamba's grandson

    Msaada wa ushauri kwa ndugu yangu huyu

    Habarini tena waungwana. Poleni na majukumu ya siku nzima, ok niende moja kwa moja. Samahanini kwakuwa ni ndefu kidogo kama ntawachosha. Nina ndugu yangu ambaye ni mtoto wa baba mdogo, tunalingana kiumri, ana jambo ambalo liko mbele yake ,nimeona nililete hapa maana najua wako watu wameshapitia...
  8. Lupamba's grandson

    Wakwere au wagogo

    Habarini za week end, samahanini kidogo naomba wale wa juvi wa mambo amabo wametutangulia kwenye maswala haya au wamezunguka sana kujua tabia na mila na desturi za makabila haya. Hapa nazungumzia kuoa mgogo je ni tabia gani hasa wanawake wakigogo ambao wanazo zitaniletea shida mbeleni, au...
  9. Lupamba's grandson

    Naomba kutoa ufafanuzi

    Kuna picha imeleta shida sana kwa kusambazwa mtandaoni .na mtu anakutumia alafu anakwambia zoom. Ukiangalia unaweza kusema kuna kitu kilikuwa kinaendelea. Picha namba Moja ukiangalia uwezi jua nini kilikuwa kinaendelea kulee upande wa pili Picha namba mbili ,huo ndio ufafanuzi wa picha namba...
  10. Lupamba's grandson

    Kwanini single mothers wanatetewa sana bila kuangalia upande wa pili nao?

    Habarini wapendwa. Kama kichwa cha habari hapo Juu kimekuwa kinyume na mwandishi mmoja humu JF ambaye amejaribu kuwatetea hawa single mothers na wachangiaji wengine wameenda mbali zaidi nakuona na kuwatupia lawama wababa. Nimejaribu kukaa nakutafakari kuwa kwann single mothers wanatetewa sana...
  11. Lupamba's grandson

    Kila kitu wanaume ,wadada mbona wao hamuwasemi?

    Habarini wana Jei Efu ,naamini ni wazima. Salam za kwanza zimfikie @Faizafox akiwa ughaibuni . Niende kwa mada Moja kwa moja, kjna ili swala la mahusiano mnakaa labda let say miaka 3 kwenye mahusiano au mpka 6 ,mwanaume akimuacha mwanamke ,watu watakulalamikia sana " ooohh Wewe...
  12. Lupamba's grandson

    Ukiweza kutoboa hapa basi akuna mahali utashindwa kuishi

    Habari za watu wa humu, naamini mu wa wazima .sky eclat anawapa salamu yupo hpa tangu jana . Any way tuachane na hayo niende moja kwa moja kwenye mada. Haya ni maoni yangu na utafiti wangu, so ukija hapa kupinga pinga kwa hoja na sio kwa msisimko. ARUSHA ni mji ambao unafahamika kwa kuwa...
  13. Lupamba's grandson

    Kijana Usiache kupita hapa

    Vijana wenzangu Maisha ni Kupambana, pambana kijana Mpaka Siku Moja Ex wako aje akwambie: "hebu waambie Kama ulishawahi kudate na mimi Maana nawaambia Wala hawaniamini" Sasa wewe kaa unakula kulala utajua nn maana ya maisha ukisha zeeka.
  14. Lupamba's grandson

    JE ? Hii ni salama kwa watumiaji??

    Nimepita maeneo kimara terminal ,kwa bahati pembeni nilivutiwa na macheza ambayo yamepangwa vizuri ,ila baada ya kusogea kwa nyuma kidogo nikakuta ,shughuli hyo hapo kwenye picha inaendelea, dada ameweka sabuni ya unga kwenye beseni yupo na brush anasugua machenza hayo na machungwa. Swali kwa...
  15. Lupamba's grandson

    Fahamu virefu vya baadhi ya maneno yaliyofupishwa

    Nimeona kuna haja ya kuanzisha uzi huu ili kusaidia watu kujua virefu vya maneno mafupi tunayokutana nayo. Hii ni baada ya kusoma uzi mmoja na mtu kuuliza nini maana ya LED! LED - Light Emitting Diode LOL - Laugh Out Loudly TTYL - Talk To You Later ASAP - As Soon As Possible SD- standard...
  16. Lupamba's grandson

    Ni busara tu ndio itaamua jambo hili

    *HAPA BUSARA INAHITAJIKA* Mwanamke kaazima ndoo ya mpangaji mwenzake chumba cha pili ambae ni kijana hajaoa.Alipomaliza kuoga akajifunga khanga yake moja akatoka bafuni akairudisha ndoo, alipofika ndani kwake akakumbuka amesahau nguo yake ya ndani kwenye ile ndoo, akatoka harakaharaka vilevile...
  17. Lupamba's grandson

    Jicheki na ujitathini sana

    Ukiona umeajiriwa, ukachukua likizo ya mwezi, mwezi mzima ukiwa home hujapigiwa simu hata moja na mwajiri au mfanyakazi mwenzio kutaka msaada wako, mwezi mzima umekaa nje ya ofisi afu umerudi kila kitu kipo poa kabisa, mambo fresh kama ulivyoyaacha, afu hamna hata mfanyakazi mmoja anayesema...
  18. Lupamba's grandson

    MOROGORO: Ajali yatokea, mabasi mawili na lori la mafuta yagongana

    Ajali ya magari iliyotokea asubuhi ya leo sa 06:46 asubuhi hii maeneo ya Maseyi Morogoro iliyosababisha mabasi mawili na lori la mafuta, Mabasi yote yakielekea upande wa mashariki kama sitakosea Dar es salam. Na lory likiwa linaelekea upande wa Morogoro. MABASI yaliyopata ajali hiyo ni basi la...
  19. Lupamba's grandson

    Hii sio kauli nzuri hata kidogo kutoka kwa RC Mrisho Gambo

    Sidhani kama kauli yakusema upanga haujaribiwi shingoni ni kauli nzuri kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, nadhani ni vyema ungekataza kwa namna nyingine ila sio kwa kutumia maneno ya design hii, msipo angalia yatawarudia. Kauli nzuri ni sehemu moja wapo wa kuwapoza watu na kuwaleta karibu badala ya...
  20. Lupamba's grandson

    Uzi maalum: Uliza chochote kuhusu Drone

    Habarini wana jamvi, Najua wote tuna kila sababu yavkumshukuru Mungu kwakutupa uhai na afya njema japo kuna wenzetu ambao wako na taabu na shida mbali mbali Mungu wetu muaminifua atawaponya. Ok let me start, mimi ni mmoja wa watu wanaotumia drone karibu kila siku kwa sehemu ya kazi zangu na...
Back
Top Bottom