Search results

  1. Nyamtala Kyono

    Mmiliki wa mabasi ya Zakaria amenidhulumu mali yangu na kutishia kuniua

    Hamumjui vizuri nyie huyu bwana. Hata sisi kuna kazi tuliwahi kumfanyia amegoma kutulipa mpaka leo unaenda mwaka sasa. Msanii sana. Mungu yupo lakini
  2. Nyamtala Kyono

    Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Naombeni wimbo wenye mashairi haya. .'nakuomba baba baba babaaa uuuunipe mtoto mtotoo '...
  3. Nyamtala Kyono

    Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Mwenye wimbo wa story ya hanna yule mgumba aliyekosa mtoto
  4. Nyamtala Kyono

    Lowassa amuambia Magufuli: Huwezi pambana na matajiri, hawa ndio wanaoleta viwanda na ajira

    Hili neno my take huwa silipendi kuliona. Huwa nafikiri watu Wengi hulitumia kama ushamba flani hv. Kila mtu my take. Hamuwezi kutumia neno mbadala?
  5. Nyamtala Kyono

    Pata nyumba na viwanja jijini Mwanza

    Umekosa uhalali. Kama watu wanakupigia simu muonane unawazungusha then we ni tapeli na hauheshimu muda wao. .kwa maana hiyo unatapeli muda wao. Njaa zako hazipaswi kusababisha inconvenience kwa wengine
  6. Nyamtala Kyono

    Jengo la kumalizia linauzwa Lwamlimi Musoma (vyumba tisa)

    moderators muwe mnatusaidia kufuta matangazo nusunusu kama haya
  7. Nyamtala Kyono

    Sumaye kutangaza hatima yake kisiasa Jumapili Agosti 16

    Kwani lazima atuambie amejitoa? So anatoka kimya kimya tu
  8. Nyamtala Kyono

    Msaada: Nawezaje kujua kama ardhi yangu ina madini?

    gwamahala...naomba uje huku unijibu kuna maswali nimekuongezea
  9. Nyamtala Kyono

    Msaada: Nawezaje kujua kama ardhi yangu ina madini?

    next question itakuwa ni hatua gani ntachukua kwa scenario hizi zifuatazo: 1.ikiwa eneo lina madini na linamilikiwa na mtu au kikundi-kwa maana ya lina allocation na wizara na 2. ikiwa eneo lina madini na halina mmiliki lakini linatambuliwa na wizara na 3. ikiwa eneo lina madini na...
  10. Nyamtala Kyono

    Msaada: Nawezaje kujua kama ardhi yangu ina madini?

    shukrani sana mkuu gwamahala umenisaidia sana...nikiwa na maswali mengine usinichoke
  11. Nyamtala Kyono

    Msaada: Nawezaje kujua kama ardhi yangu ina madini?

    bab-D kuna mtu aliniambia pia nisikurupuke kununua sababu wakti mwingine unakuta hilo eneo liko alocated kwa mtu na idara ya madini na mwenye shamba hajui hivo anakuuzia...mwisho wa siku huwezi kufanya kitu...kwa hiyo nimemuuliza gwamahala swali i hope atatusaidia sisi wachanga tunaojifunza hii...
  12. Nyamtala Kyono

    Msaada: Nawezaje kujua kama ardhi yangu ina madini?

    Gwamahala. nilisahau. na je hizo QDS zinaweza onyesha ni nani mmiliki wa hiyo site kama imegawiwa ama la?
  13. Nyamtala Kyono

    Msaada: Nawezaje kujua kama ardhi yangu ina madini?

    asante sana mkuu kwa jibu lako zuri sana. nakubaliana na wewe kuwa uangalifu ni muhimu sana. swali langu ni je. hizo gps ni hizi hizi za maofisa ardhi wale wa kuangalia mipaka ya viwanja au zipo gps special kwa madini?...halafu je katika nchi hii hakuna maeneo yenye madini ambayo inawezekana...
  14. Nyamtala Kyono

    Msaada: Nawezaje kujua kama ardhi yangu ina madini?

    asante bro.si ninahitaji pia na mtaalam wa madini? kuna mtu aliniambia kuwa baada ya kujihakikishia kuna madini nitahitaji kujua kama eneo hilo halikuwahi kugawiwa kwa mtu kutoka idara ya madini...je utaratibu ukoje?
  15. Nyamtala Kyono

    Msaada: Nawezaje kujua kama ardhi yangu ina madini?

    msaada wenu nataka kununua ardhi yaani shamba eneo flan ambalo nimeambiwa ni mwambao wa madini...swali langu je nawezaje kujua kabla sijapanunua na utaratibu ukoje? asanteni
  16. Nyamtala Kyono

    Historia ya Komandoo Tarimo

    huyu mzee alihasiwa
Back
Top Bottom