Search results

  1. K

    This is Rostam I know... The Story Behind the Man

    Hii stori ya Rostam ni sehemu kiduchu sana katika kuhusu yeye! Please tell us pia ugomvi wake na Mzee Sitta ni nini? I think it is more than the Richmond saga! I also agree that every media in Tanzania serves the interests of the owner for about 70%. Nani anabisha? New Habari au TSN ni about...
  2. K

    Elections 2010 Do you know why not Dr Slaa 2010-2015?

    Tunaomuunga mkono Dk. Slaa tutapiga kura? Mashabiki wengi wa Chadema waliopo mijini na miongoni mwa wasomi hawakujiandikisha kupiga kura na hivyo hawatapiga kura! That is very bad. TUMESHAMUANGUSHA! TUJIANDAE TU KUKUBALI MATOKEO!
  3. K

    Elections 2010 Maswali Magumu: Kikwete wa mtandao kageukia familia?

    Hakuna mtandao wa staili ile ya 2005 tena. Ule ulikuwa ni mkakati wa Lowassa! Ila kwa media bado unaendelea kwa staili ile ile wakiwemo akina Muhingo Rweyemamu na "sauti ya Ahmed Kipozi" (kwa vipindi maalum vtya CCM katika TV). Halafu ule mtandao ulimsumbua sana JK baada ya kuingia katika jumba...
  4. K

    Baada ya kuzomewa Bukombe, Kikwete aunda mtandao mpya!

    Kumbukeni JK aliwahi kusema u-Rais wake hauna ubia na mtu yeyote! Labda alikuwa ana maana hiyo. Kwamba ni ubia wa kifamilia na maswahiba wachache! Jamani kinachonitisha sio hiyo staili ya kampeni, ila AHADI LUKUKI ANAZOTOA. Eti katika muda wa miaka mitano tu atajenga reli kutoka Dar hadi...
  5. K

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    Binafsi naona zile sifa alizotoa Mwl. J. K. Nyerere pale Kilimanjaro Hotel (sasa Hotel Kempenski) na katika sherehe za Mei Mosi kule kwenye Uwanja wa Sokoine Mjini Mbeya zinatosha. Yaani kuna mambo ya msingi ambayo huyo Rais lazima akubali kutekeleza, awe MJAMAA au BEPARI. Mengine yapo katika...
  6. K

    Mhariri Daily News kung'olewa, mwingine kutangazwa hivi karibuni

    Mkumbwa Ally hataondoka Daily News. Ila atapewa ile post yake ya kimangimeza ya Deputy Managing Editor ambayo amekuwa akisifika kumchunguza au kumfitini anayekuwa juu yake (ME - Managing Editor) kama alivyomfanyizia Isaac Mruma! Huu ndio ukweli! Alichokifanya Mkumbwa kina baraka zote za jumba...
  7. K

    Elections 2010 Daily News: Slaa will not be the fifth president of Tanzania!

    Naamini wanasheria wa Chadema, Wakili Mabere Nyaucho Marando na Wakili Tundu Antipas Lissu, wameshaliandikia "demand letter" (barua ya nia ya kushtaki) hilo DAILY NEWS kwa kashfa hiyo nzito inayowagusa watanzania wengi wenye upeo wa kutosha wa elimu ya uchaguzi ambao hawadanganyiki!
Back
Top Bottom