Search results

  1. K

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Ndio maana watu wanakamatwa vyuoni nakupigwa pingu?. Mkuu hizi habari zako utawaambia ambao hawaoni Video zakinachofanyika.
  2. K

    Biashara ya kusafirisha petroleum Tanzania

    Utaratibu wakupakia kwenye depot umekaa vipi?. Na Je depot huanza na litre ngapi kuuza Kwa wenye tank?. Na vipi Kwa week unaweza pakia trip ngapi kwenye depot?.
  3. K

    Biashara ya kusafirisha petroleum Tanzania

    Huwezi kusafurisha zaidi ya trip 4 Kwa mwezi.
  4. K

    Biashara ya kusafirisha petroleum Tanzania

    Huwezi kupata zaidi ya tripi 4 Kwa mwezi.
  5. K

    Biashara ya kusafirisha petroleum Tanzania

    Unauza litre ngapi Kwa siku na je unawezo wakuhifadhi litre kwenye kituo chako Cha mafuta?.
  6. K

    Defense Sector Panicking: Israel is defenseless against Iranian Missiles

    Tunangoja Israel arudishe makombora kama alivyoahidi, licha yakukataliwa na bwana wake USA.
  7. K

    Iran yafunga na kuficha vinu vyake vya nyuklia

    Israel apige, aache maneno nakuomba mabwana zake waingilie.
  8. K

    Israel yataka Vikwazo dhidi ya Mradi wa Makombora wa Iran

    Waachiwe Israel na Iran wapambane watu wasiingilie ili mbabe apatikane.
  9. K

    LIVE UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel

    Tuliambiwa hakuna uharibifu.
  10. K

    Iran yaishambulia Israel, sarafu yake yaporomoka kwa kiwango cha ajabu

    Huwa nikiona unachambua mambo ya siasa za nchi hii huwa naona una akili. Lakini ikija mambo ya Iran, Palestine, Israel naishia kucheka tu.
  11. K

    Mtumishi unayepokea mshahara 1.5m kwa mwezi unapanga na unamiliki usafiri wa gari, hawezi kutoboa maisha utastaafu unatumikishwa tu

    Tanzania, ww ambae unalipwa mshahara mdogo ndio unakatwa PAYE 4%, 9% au 10%. Tena Kwa mshahara wa mil 4 PAYE ni 25.2%.
  12. K

    Mtumishi unayepokea mshahara 1.5m kwa mwezi unapanga na unamiliki usafiri wa gari, hawezi kutoboa maisha utastaafu unatumikishwa tu

    Nikweli Tena mm Bima yangu ya afya natibiwa mpaka India, lkn makato yake hayatoki kwenye mshahara.
  13. K

    Nauliza tu, watoto wa mujini ndio sera zipi za CCM?

    Watoto wa mjini wao upigaji ndio ujanja kwao.
  14. K

    Iran ndani kwawaka moto, wanajeshi 5 wapigwa na kuuawa

    USA ndio kasema hili sijaona sehemu IRAN kasema atashambulia ndani ya masaa 48.
Back
Top Bottom