Search results

  1. B

    BAWACHA kutinga Bungeni tarehe 10/05/2021 kuwatimua Wabunge 19 waliopora nafasi za CHADEMA

    Hivi huyu kamanda wa Dodoma bado yupo kama jibu ni ndiyo nawashauri waache kuandamana watapigwa mpaka wachakae huyu jamaa hana utani.
  2. B

    Wamarekani weusi wana ushindani mkubwa wa kiharakati ukilinganisha na Waafrika

    Nadhani umesahau kitu, mbona hao jamaa walipelekwa Liberia mpaka leo maendeleo ya nchi hiyo hayana tofauti na sehemu nyingine barani Afrika.
  3. B

    Rais Samia, naona kuna haja ya kulitazama upya Fao la Kujitoa katika Mifuko ya Hifadhi za Jamii

    Napendekeza akimaliza suala la fao la kujitoa wafanyakazi wapate haki zao pia awaamuru watoa huduma za simu wafungulie line zote zilizofungwa kwa amri ya serikali mpaka NIDA wamalize zoezi la kutoa vitambulisho vya taifa kwa sababu watu wengi hasa vijijini wanateseka sana kwa kukosa simu.
  4. B

    Wezi wenye 'leseni ya kukuibia' Kariakoo

    Naunga mkono hoja yako Mheshimiwa IGP inafaa apalekewe nakala ya hoja hii kwa hatua zaidi.
  5. B

    Serikali yatangaza kiama kwa wanaouza dawa kwa wasio na vyeti kutoka kwa Daktari

    Lakini mfano umeenda kwa daktari kazini kwake kakuandikia dawa ambayo unatumia kwa miezi sita na siku hiyo umechukua dawa za kutosha mwezi mmoja,je ukienda duka la dawa ni lazima uwe na kile cheti cha daktari wakati majina ya zile dawa unazijua.
  6. B

    Uchaguzi 2020 Itokee Lissu akashinda Urais, akakupa nafasi ya kutoa pendekezo, ni kitu gani alichofanya Magufuli utamwomba akiondoe mara moja?

    Kufungua line za simu zilizofungiwa na makampuni ya simu mpaka NIDA watoe vitambulisho vya taifa kwa kila mtanzania. Kurejesha nyumba za serikali na za mashirika ya uma zilizouzwa. Yeye raisi atangaze hadharani kwamba haungi mkono mashoga .
  7. B

    Miaka kumi tangu kuhitimu shahada ya kwanza

    Na pia angetueleza anafanya kazi gani ili tupime kama anayosema yanalingana na mshahara wake.
  8. B

    Roho imeniuma nimeachwa na mwanamke nimpendaye sababu ameniona sina mwelekeo mzuri wa maisha

    Kama utaweza mtafute mchezaji wa mpira wa Manchester City anaitwa Gabriel Jesus aliwahi kupata shida kama yako ili akuambie yeye tatizo hilo alilimalizaje. Yeye kwa sasa anafurahia maisha kuliko mwanzo.
  9. B

    Umepitia changamoto zipi katika mifuko ya hifadhi ya jamii?

    mifuko yetu ya hifadhi ya jamii ni jipu nadhani mwenye mamlaka ya uteuzi apaleke vijana wake wa "kazi"kuchunguza kwa undani sababu za kuchelewesha wastaafu kupata mafao yao kwa wakati muafaka. Atakayepatikana na hatia atumbuliwe kwani hata ukimpeleka mtu toka uswazi leo ataona madudu ya baadhi...
  10. B

    Simu inahitajika

    Mimi nina simu aina ya Viphone je utapenda aina hiyo? bei ni tshs 150,000 fixed kama uko tayari nitumie namba yako ya simu.
  11. B

    Malawi inahitaji Taasisi imara ya Urais kama iliyopo Tanzania chini ya Rais John Magufuli, si kutoa chama tawala kuweka Upinzani

    Naunga mkono hoja ila Mheshimiwa awe anakubali kukosolewa pale inapobidi kwa faida ya nchi.
  12. B

    Utafiti mpya wa kisayansi wa Covid19 – Msaada mkubwa wa kujikinga na kuzuia maambukizi kwa wengine

    Vipi kuhusu virusi vya corona vikidondokea keyboard za ATM zetu kwa siku si itakuwa majanga tuombe sana Mungu atuepushe na janga hili.
  13. B

    Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

    FaizaFoxy njoo haraka iwezekanavyo kuna mada inahitaji Ushauri wako.
  14. B

    Acha Marekani atawale dunia na kuzionea nchi masikini

    Aliyeleta huo ugonjwa ni nani na anayetengeneza dawa za katibu huo ugonjwa ni nani baada ya hapo tukipata majibu sahihi tuendelee na mada.
  15. B

    Maisha yanazidi kuwa magumu Tanzania gesi nayo imepanda nani wa kulaumiwa nataka jibu watu watajinyonga

    Tumuombe ndugu yetu Pascal apeleke hii habari mahali panapohusika kusikilza shida za wanyonge kwani hali ni tete kila siku unafikiri afadhali ya jana watu tumeanza kusahau kukalia viti virefu.
  16. B

    Viongozi wasio na maono, weledi na ubovu wa mifumo unaifanya serikali kulipa watumishi wengi wasiokuwa majukumu ya kazi

    Naunga mkono hoja nadhani serikali yetu sikivu watendaji wote wakuu wangeenda kujifunza namna makampuni ya watu binafsi wanvyofanya kazi hata ikibidi waende kuangalia ofisi za mabalozi wa nje waliopo nchini wanavyochapa kazi. Sehemu nyingine hata kuongea na simu binafsi ni shida lakini ofisi za...
  17. B

    Je, ni kweli magari huwa yanakaguliwa Ubungo? Basi za kwenda Kigoma; Arizona na Saratoga zimebuma mapema hapa Kimara Stop over

    Nahisi wewe ni mbaguzi wa kiwango cha juu kabisa hivi hayo mabasi wanasafiri Waha peke yao?
  18. B

    Wananchi wa Tanzania tuna kipi cha kujivunia?

    Mimi najivunia Tanganyika mikoa yote kuunganishwa na barabara za rami huku treni ya kutumia umeme ikiwa inajengwa kwa kasi kubwa.
  19. B

    Wanaojiita wasomi wa nchi hii

    Naunga mkono hoja raisi wetu mstaafu aliwahi kusema akili ya kuambiwa changanya na ya kwako.
Back
Top Bottom