Search results

  1. Mungi

    Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

    Mbowe aachane na ugaidi. Kama kuna waliomdhamini kufanya ugaidi wanampotosha.
  2. Mungi

    Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

    Tuache siasa katika hili. Tuiachie mahakama ifanye kazi yake. Mahakama ile ile iliyoamuru Mbowe na wenzake warudishiwe fedha walizotozwa huko nyuma, ndiyo hiyo hiyo itakayotoa hukumu ya kesi ya ugaidi
  3. Mungi

    Lema athibitishwa kuwa mfalme wa Arusha leo mbele ya Rais Magufuli hadi Gambo kaona aibu kumtambulisha

    Gambo nakumbuka aliwahi kumwambia Rais kuwa tumeimaliza CHADEMA Arusha. Salamu ya Jana kanisani imewaonyesha kuwa Lema ni Arusha na Arusha ni Lema Kwa uchaguzi huru na haki, ccm hawana hata diwani moja Arusha.
  4. Mungi

    Tetesi: RC Gambo adaiwa kupigwa kwenye Mkutano wa CCM Arusha

    Yule jamaa kulazwa kwake shughuli kweli... ana uwezo wa kutembea na dripu na daktari na manesi kwenye gari.... Anapenda kulazwa hospitali ambayo ni take away
  5. Mungi

    Kumbe Bombardier ni maumivu kwa Mtanzania kiasi hiki!? Bunge lagundua...

    Kupata hasara ndiyo faida ya serikali ya awamu hii I mean hasara ni neema ya hawa jamaa
  6. Mungi

    BAKWATA na Waislamu wengine, kila kitu kinachofanywa na Serikali kiko sawa kwenu?

    Serikali ya sasa ni ya bakwata, ni wao tu kupitia Sheikh Mussa Salum wametangaza Magufuli ni zaidi ya Mungu Ila mimi na nyumba yangu tunasema hakuna kama Mungu, hakuna hata moja wa kulinganishwa na Mungu. Mungu wetu ni mkuu sana na amemsikia vyema Sheikh Salum
  7. Mungi

    Askofu Fredrick Shoo: Wale wote wanaojaribu kupotosha ukweli wa waraka wa Maaskofu kwa kuupaka matope ni wajinga

    Iddi Amin alianzaga hivi hivi kwa kuanzisha ugomvi na viongozi wa dini
  8. Mungi

    Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Huu waraka kama ni kisu umechopa roho, moyo, maini, ubongo yaani kila mahali
  9. Mungi

    2025 CCM kutumia Isaac Asimov science fiction kumpitisha Makonda kugombea Urais? (Franchise story)

    Na kipindi hicho wadau wakilalamika kuwa inakuwaje anatoka msukuma anaingia msukuma, nadhani kwa mara ya kwanza mmoja ataukana usukuma, kwamba siyo kweli huyu anayesepa ni msukuma. Watasema moja mzinza mama yake msubi hahaha
  10. Mungi

    WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

    Pengo ni askofu tu kama maaskofu wengine wa majimbo. Hana ukuu wowote. Ukardinali ni qualification tu siyo cheo. Pengo anatakiwa amheshimu rais wake Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa
  11. Mungi

    WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini

    Nilikuwa nimekata tamaa hata kuhudhuria ibada baada ya ku note baraza la maaskofu wapo kimya, nikajua wameamua ku mute kwakuwa Mkatoliki mwenzao yupo ikulu. Kwa huu waraka kwakweli imenibariki, jumapili ijayo ntakuwa wa kwanza kuingia ibadani na fungu langu la kumi juu. Asante baraza la...
  12. Mungi

    Trend Reading: Salum Mwalimu, Mb. Mtarajiwa, Kinondoni!. Hata Wana CCM Wasioendekeza Ujinga, Watamchagua!.

    Naungana na CHADEMA 100% kumsimamisha jembe Salum Mwalimu
  13. Mungi

    Kufilisika kwa mabenki Tanzania: Ni kukua au kuanguka kwa uchumi?

    Mabenki yanafilisika kwa sababu ya uchumi wa nchi kushuka. Uchumi unashuka kwa sababu uwekezaji umeshuka. Hence kupungua kwa usafirishaji wa products kwenda nje. Uwekezaji imeshuka kwasababu kiwango cha fedha kwenye corporate banks zimeshuka. Kiwango cha fedha kwenye corporate banks zimeshuka...
  14. Mungi

    Kuelekea 2018: Barua yangu kwa Rais wangu Dkt John Pombe Magufuli

    Akitubu tu, ataona matajiri watakavyowekeza mitaji yao nyumbani
  15. Mungi

    Nani anayeratibu UONGO huu dhidi ya Rais wetu na ana maslahi gani?

    Akitubu tu, hata Kakobe anaweza kumpa tuzo
  16. Mungi

    Godbless Lema: Heri ya Christmas Mahabusu na Wafungwa wote

    Nchi hii kwa hali ilivyo chini ya utawala huu nchi nzima iko lockup. Mkuu na wateule wake tu ndo wapo huru wanakula mema ya nchi
Back
Top Bottom