Search results

  1. M

    Elections 2010 Nimekatishwa tamaa sana na Kagera

    Poleni Sana..:sad::caked::A S cry::A S-cry::frusty::blabla:
  2. M

    Aliyesambaza meseji za kumkashifu Slaa ni....

    You guys better quit whining when Dr Slaa is on the receiving end of dirty politics which you guys have pioneered from the get go of these campaigns. You’ve also veered from selling your policies, to resorting into mud slinging, innuendo filled kind of politics it’s really sad. You guys are a...
  3. M

    Hotuba ya jk ya kukubali kushindwa

    Watu wengine wanaota sana kuhusu nchi yetu hii kuendeshwa na mtu kama Dr. Slaa, hizo ndoto zenu za Alinacha zitazimwa tarehe 31 Oktoba, 2010. Ushindi wa CCM utakuwa wa kishindo kuliko vile mnavyo tarajia, pole sana Mungu ibariki Tanzania, na ibariki Afrika. Kidumu Chama Cha...
  4. M

    Elections 2010 Do you know why not Dr Slaa 2010-2015?

    Mambo ya kichochezi siyo mazuri hata kidogo, sisi waAfrica tunalilia watu wenye sera endelevu na siyo vitisho kwamba tukishindwa tutapigana yaani kanakwamba watu wanajisikia kwamba amani ni boring. Kuhusu Chadema kushinda ni ndoto za alinacha kwasababu waTanzania siyo wajinga kumpa nchi mtu...
  5. M

    Elections 2010 Nani kama Jakaya Kikwete kwa maendeleo?

    Inanisikitisha kuona kwamba watu kazi yao kupiga madongo kwa kuonyesha work in progress, bila kuchangia solution ya matatizo. Kuelezea mapungufu ni rahisi lakini kutafuta ufumbuzi wa matatizo ndio kazi na hapo bado usimamizi wake.:sleepy:
  6. M

    Kakobe: Hatuchagui malaika bali Rais; afuta Ibada za FGBF siku ya uchaguzi

    Sadaka na zaka zote anazopata anapeleka Chadema...kwa hivyo hii ni kutimiza ahadi yake ya kwamba watamjua yeye ni nani baada ya kupigwa mkwara na Ngeleja kuhusu nguzo za Tanesco... Nadhani alisahau ile ya kaisari mpe kaisari :lol:
  7. M

    Naipenda CCM na nitaipenda Daima kwa sababu...

    Watu wengine wamepungukiwa akili. Mtu mzima anafananisha Chama imara kama CCM na vyama ambavyo havina misingi yoyote ndani ya Tanzania. Mtu utamjua tabia yake pale anapopata madaraka au pesa ambapo anakuwa hana shida. Chadema, TLP, CUF na vinginevyo havija wahi kushika dola hata maramoja...
  8. M

    Elections 2010 Kikwete ni msahaulifu au mzembe?

    You are innocent until proven guilty inthe court of law and not the other way round, whereby you are guilty until proven innocent. Think about it........:sleepy:
  9. M

    The Worlds Dirtiest Cities!

    Ethiopia wamefulia kuliko Bongo, we nenda Addis, Kampala, Bujumbura, Kigali hivyo vimiji vyote viko kama vile uko mkoa yaani kumechoka siyomchezo. Barabara zao zimejaa mashimo, traffic lights kwao ni dili yani wapowapo, huwezi ukafananisha na bongo hata kidogo. :eyeroll2:
  10. M

    Mhandisi wa kiume aingiliwa kimaumbile hadharani na Mzungu.

    Tumelizwa dhahabu bado wakachapa na Tigo yaaani
  11. M

    Ujumbe wa leo

    Ukifinywa pasipo au ukinaswa kibao chekelea
  12. M

    How to use JamiiForums effectively

    :A S 8: Mambo mswano
Back
Top Bottom