Search results

  1. Salunbote Lyevedu

    Haya wale wasikilizaji wa radio enzi hizo tukatane hapa tukumbushane baadhi ya vipindi

    Maneno hayoo!!, Michezo mtangazaji Ezekiel Malongo, Majira watoaji taarifa Restituta Bukori radio Tanzania....... Jamboo!! Asubuhi daaah
  2. Salunbote Lyevedu

    Magufuli na ndege, siri nyuma ya pazia?

    Mbona unatabiri?? Kwaninj wanakaribia kugoma na sio wamegoma??
  3. Salunbote Lyevedu

    Magufuli na ndege, siri nyuma ya pazia?

    Kwanini kanda ya ziwa na si mahali pengine?
  4. Salunbote Lyevedu

    Magufuli na ndege, siri nyuma ya pazia?

    Kwanini unahisi anatufaa?? Maana mie sijasikia sera yoyote zaidi ya kulalamika kuonewa na kumkosoa tu Magufuli.. Sasa je yeye atafanya nini na ikiwa hata ilani tu hatuioni??
  5. Salunbote Lyevedu

    Suala hili la ndoa na usaliti

    Hayo maneno yakikubwa mno kwake
  6. Salunbote Lyevedu

    Suala hili la ndoa na usaliti

    Akue kwanza ataelewa maisha ya ndoa ni nini? Walau akae kwenye ndoa miaka 6 na kuendelea atakuwa kapata picha kwanini huwa vile!! Nadhani jibu lako limekuwa kubwa sana kwake! Hawezi kukuelewa kwasasa
  7. Salunbote Lyevedu

    Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

    Hazipo kwa sasa ila walianzisha rout ya Mbeya~Arusha nako naona wameacha, Bus ziliandikwa Grecious kama sijakosea ila boss alikuwa ndugu na yule wa Grazia ya zamani!.. Yule boss wa Grazia aliwahi kuchonga body refu pale buguruni likawa na choo ndani! Aliiteka sana Njombe kipindi kile
  8. Salunbote Lyevedu

    Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

    Boss aliamua kuzipaki zilikuwa na shida kwenye sensa za body kuna muda ilikuwa inajiinua sana ukitaka kuishusha inashuka moja kwa moja hadi chini! Wakashauri ziwekewe mzani ya kawaida akagoma kuwa itakuwa haina tofauti na mabasi ya kichina. Ile ilikuwa na uwezo unailaza upande uutakao, na hata...
  9. Salunbote Lyevedu

    Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

    Kuna bus ngapi za Scandinavia ambazo hadi leo zipo na zilishakuwepo tangu 2007? Abood za tangu 2008 zipo tena zinapiga rout ndefu.. Iliyokuwa Lupelo zipo na NBS bado zinafanya kazi.. Wewe nitajie mchina moja tu ya 2010 au 2012 iliyo hai hadi leo
  10. Salunbote Lyevedu

    Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

    Acha uongo bhana unakumbuka newforce alikuwa na yutong injini nyuma? Na kuna kampuni iliitwa Tonda unaifahamu?? Zote zilikuwa Yutong hebu niambie zile gari zipo wapi kwasasa japo mabaki tu
  11. Salunbote Lyevedu

    Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

    Uko vyema sana mkuu.. Ni kweli ilikuwa mlango kati ilikuwa na uwezo ile gari hadi sio poa [emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom