Search results

  1. Gef

    Damas Ndumbaro: Marufuku kuvaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly kwa Mkapa kwenye michezo ya Simba na Yanga

    HII NI KAULI YA DICTATORSHIP NA UJUHA USIO NA AKILI TENA PREMATURE KABISA HII NI DALILI YA FAILURE NDUGU YANGU KUMCHUKIA ADUI HAIONDOI UHALISIA WA UBORA WA WENZETU MM NAONA TUNGEWEKEZA KWENYE KUASIDIA MAENDELEO YA SOKA LETU KWANZA UPUUZI KAMA HUU LEO HII USINGETOKEA HAO HAO WAGENI...
  2. Gef

    Aina 4 za wanawake ambao hawawezi kudumu kwenye ndoa

    We mbaba kunywa uji wa futari upumzike
  3. Gef

    Msanii Ali Kiba azindua Redio yake, inaitwa Crown FM

    Sio kweli hapa mitandaoni taarifa inaletwa kama ilivyo yaani ikiwa haijahaririwa bcoz taarifa mtandaoni anapeleka yute tu hata mjinga sasa hapo umepewa tip utasema ni taarifa?? Mfano mzuri ni huyu aliyeleta hii ya bwana Kibanio kuzindua redio taarifa haijakamilika Hapa ningetemea angemaliza...
  4. Gef

    Sababu 12 kwanini usimsamehe mwanamke msaliti…

    “Wakiwa wanasex mboo ilipochomoka manzi wako akairudishia aendelee kupigwa miti”.
  5. Gef

    Sababu 12 kwanini usimsamehe mwanamke msaliti…

    Au mkongoraa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  6. Gef

    Adam Mchomvu hakui?

    Mr Mitama nampongeza kwa kikubwa alichokifanya ila kiukweli sahivi jamaa amebaki kwny cha arusha too halafu kwanza kwa akili yake in and out sidhani kama hata anaweza kulea familia nilimuona juzi pale CMG miguu imenyooka hadi imekua milonjo mm naona jamaa atulize akili awekeze kwny akili then...
  7. Gef

    Waswahili bwana yaani Treni ya SGR Dar hadi Moro ni masaa 2 na dakika 20 mnafurahi na kushangilia!

    Mm naona kwny issue ya waandishi tusiwanange sana hapa wa kuwauliza ni wahusika wa TRC kwa sababu hata hawa waandishi wao wamesema uhalisia na muda waliofika ambapo MD wa TRC bwana Masanja yeye asubuhi kbsa akihojiwa na kijaana wa Ayo tv alisema itachukua dk 90 lln uhalisia ukasema walitumia...
  8. Gef

    Nyama zinazoliwa Monduli kwa Lowassa haijapata kutokeaa popote pale hi itakuwa recodi nyingine kabisa

    Ningekutumia picha sema ni vile maadili ya kazi yangu hairuhusu tu mzee hao ng’ombe sijui laki 1 or mia 9 sio kweli mana hata msosi watu jana walikosa sasa kama ng’ombe walichinjwa laki 7 si nguvu yake ingeonekana?
  9. Gef

    Kwa bajeti ya milion 2 niwekeje ghetto liwe Kali?

    Tafuta mikocheni huwezikosa single self room ya 200k per month lipa mwaka unabakiwa na laki 8 then kwa kua umesema G& Kitanda unavyo nunua Fanicha za walau laki 5 ambayo ni maybe set ya viti kadhaa na kimeza cha normal then baki na laki 2 ya nauli za hapa na pale ili ukimwaga bisi za...
  10. Gef

    Kwa bajeti ya milion 2 niwekeje ghetto liwe Kali?

    Kakue kwanza akili ndio urudi
  11. Gef

    Nyama zinazoliwa Monduli kwa Lowassa haijapata kutokeaa popote pale hi itakuwa recodi nyingine kabisa

    sio kweli mm nipo monduli hapa hamna kitu kama hicho ngombe wamechinjwa ila ni wa kawaida kama 10 hivi
  12. Gef

    Wachezaji wa South Africa wamekataa posho zote za AFCON 2023

    Shikrani japo mm sikupinga nimeipenda story ya kijana so impressed
  13. Gef

    Wachezaji wa South Africa wamekataa posho zote za AFCON 2023

    Okay namaanisha chanzo cha hii habari ni wapi?? Mm nimeipenda nataka niitumie
  14. Gef

    Wachezaji wa South Africa wamekataa posho zote za AFCON 2023

    mkuu am sorry unawezaniambia source ya hii kitu? namm niitumie kwny reference zangu asantenaomba hata dm
  15. Gef

    Kosa lako ni kutokuwa Chawa Joti

    Yes tena kitabe kbsa na akalamba hiyo accomodation ya 10M
  16. Gef

    Kosa lako ni kutokuwa Chawa Joti

    NILIKUWEPO ENEO LA TUKIO MBASHARA KBSA JOTI ALISEMA NA YEYE ANATAKA HIZO 10 M BASI WAKAZOZANA PALE IKABIDI BOSS APIGIWE CM AKASEMA NA JOTI ATAMPA 10M ZAKE ILA HIZI FEDHA SIO ZAO HII NI KAMA MCHANGO WA TAJIRI GSM KWA TIMU ZA TAIFA SASA YY AKACHAGUA PPANDE WA GHARAMA ZA KUWASAFIRISHA MAJAMAA...
Back
Top Bottom