Search results

  1. R

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Kumbe kama hung hamu na mwanamke na hata kumtamani basi hayo ndio madhara yenye wewe unataka nini tena!
  2. R

    Elections 2010 CHADEMA imecheza karata zake vizuri.

    Hakika mapinduzi,hayajikwa maneno tu bali hata vitendo, tukumbuke ya kwamba siku zote ukitaka kuifikia mbili ni lazima uanze na moja,nawapongeza sana CHADEMA kwa msimamo wao na waendelee vivyo hivyo kwani hata wanaharakati wa zamani kama akina martin luther king junior walianza kama...
  3. R

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Ktk karne hii ya 21 ,Dr slaa wewe ni shujaa wa karne hii na kilamtu analifahamu hilo. Na kwakuwa WATANZANIA wote tunahitaji haki itendeke basi TUNAKUUNGA MKONO KWA UAMUZI NA KAULI ULIOFIKI,TUNAOMBA UENDELEE KUWA NA MSIMAMO HUO HUO NA PIA UKUSANYE DATA ZA KUTOSHA KABISA KUWA ANGUSHA HAWA...
  4. R

    Elections 2010 TBC waandaa wananchi kukubali matokeo, wawachafua CHADEMA!

    Ni kweli na ni dhahili kwamba chama cha democrasia na maendeleo "chadema" ndicho kinachoongoza ktk uchaguzi huu wa tanzania bara,na ndio maana nec wamesuasua mno kutangaza matokeo na lengo lao kubwa ni kuchakachua matokeo.,..,...,
  5. R

    Elections 2010 Masanduku 7 ya kura yachomwa-shinyanga

    Jamani inakuwaje shinyanga huko, nasiki kuna jimbo ambalo watu wasio julikana wamechoma masanduku 7 ya kura.MUNALICHUKULIAJE HILI WANGWANA?
  6. R

    Elections 2010 Maisha ya Dr. Slaa ndani ya TBC1

    Katika misingi ya vituo vya habari vingi na kikiwepo tbc ni kwamba hawafuati maadili ya kazi na katiba,kwa sababu chombo cha habari hakipaswi kuonesha ushabiki wa waziwazi kwa chama fulani cha kisiasa,kimisingi ya katiba TBC wamekosea na hawapaswi kushadadia chama wala kupiga kampeni za waziwazi...
  7. R

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    Mtu anaepaswa kuwa rais wa tanzania mi naona anapaswa awe na sifa zifuatazo:- 1)awe mtanzania kamili. 2)awe na akili timamu. 3)awe na umri usiopungua miaka 35. 4)awe na uwezo wa kusoma na kuandika. 5)na zaidi ya yote anapaswa awe mwadilifu. Hizo ndizo sifa za mtu anaepaswa awe rais wa tanzania.
Back
Top Bottom