Search results

  1. M

    Fursa za biashara nchi ya Thailand

    Ina maana ni lazima mtu asafiri kwenda Nairobi ili kupata visa?????? Au kuna agent hapa Dar ambae ana kusanya hizo applications na kuzipeleka kwa processing ya visa Nairobi. Na je ni lazima kulipia tiket ndo ukatafute visa? Je ikikosekana na ticket umeshalipia inakuwaje????
  2. M

    Urgently needed: Line ya uwakala wa m-pesa na tigo-pesa kwa anaeuza please

    Mkuu Bobby kama unazo document tuwasiliane. Line wa uwakala wa M-PESA zinapatikana bila tatizo na bila gharama yoyote (ni bure). Uwe na certified copy ya document zinazotakiwa. Napenda kuwajulisha kuwa line hizi haziuzwi toa document zako ndani ya wiki 2 unapata line yako.
  3. M

    Urgently needed: Line ya uwakala wa m-pesa na tigo-pesa kwa anaeuza please

    Mkuu Nigga, Uwakala M-PESA au tigo pesa unapaswa kupewa BURE ilimradi uwe na document zinazotakiwa. Ambazo ni: Certified copies za Leseni ya biashara, TIN namba na Kitambulisho chako. Ukiwa na hizo document uwakala utapata bure (nazungumzia hasa M-PESA) ila utapaswa kuwa na mtaji wa kufanya hiyo...
  4. M

    Nauza gari Land Rover Discovery

    Asante kwa taarifa mkuu vipi 10m utakula?
  5. M

    Doing Business in Mozambique

    Mkuu mimi nia yangu ni kufika miji ya Pemba na Nampula kwa usafiri binafsi ni njia ipi bora na inayopitika kirahisi {newala - boda - Mueda - Pemba to Nampula} au {Mtwara - boda - Mocimbou - Pemba to Nampula}?
  6. M

    Doing Business in Mozambique

    Mkuu vipi hali ya barabara toka boda kwenda Pemba na pia kutoka Pemba hadi Maputo? Ni lami au baabara ya vumbi
  7. M

    Doing Business in Mozambique

    Mkuu Edgartz, nimeangalia kwenye google earth inaonekana Tete ni mbali sana toka Mtwara usafiri wa kuja huko ukoje? mnapitia wapi?
  8. M

    Doing Business in Mozambique

    Mkuu Speedy! Nataka kuja pemba na Coaster yangu nijuze biashara ya daladala ikoje huko? Barabara zinaeleweka? Foleni vipi kama bongo?
  9. M

    Business in Comoro

    Wana JF Je kuna M-TZ yeyote mwenye uzoefu na biashara au aliye jaribu kufanya biashara huko Comoro?
  10. M

    Doing Business in Mozambique

    Mkuu tuseme mzigo wa mchele kama kilo 10000 mtu anaweza kuchukua muda gani kuuza?
  11. M

    Doing Business in Mozambique

    Mkuu je Wa TZ wanahitaji kuwa na Visa ya Kusafiria wanapokuja Mozambique?
  12. M

    Doing Business in Mozambique

    Mkuu je biashara kama ya sembe italipa huko? au nafaka nyingine kama mchele
Back
Top Bottom