Search results

  1. E

    Make Year 2013 A Successful

    Many people want to be successful; though very few achieve that. The difference lies in ACTION, SKILLS and MENTAL attitude. Take this opportunity to learn more (check the attachment file for details|). God bless you. Happy New Year
  2. E

    Entrepreneurship Forum

    Greetings, The attached is for those interested.. BR
  3. E

    Tanzania's Leadership and The Power Crisis in Tanzania: Who is responsible?

    I'm a bit confused. If we keep complaining it wont help! JK once said with arrogance "kelele za chura hazimzui ng'ombe kunywa maji"...meaning they will continue to do nothing. These politicians know we, citizen, make noise but we don't take action. How long are we going to continue like...
  4. E

    Mubarak refuses to stand down

    Mi nadhani hizi nchi zetu zina matatizo mengi sana ya kimfumo wa kiuongozi. Akiondoka anamuachia nani ofisi...makamu wake. Hapa ni kubadili sharti na kuvaa lingine. Mfumo mzima unapaswa kubadilishwa. Na hauwezi kubadilishwa na watu walio ndani ya serikali ile ile.
  5. E

    Rai Kwa Mh. Magufuli

    Mh. Magufuli karibu tena kwenye wizara ambayo uliimudu vizuri wakati wa mzee Ben Mkapa. Hata hivyo matarajio yetu ni kwamba utayapa uzito unaostahili yatuatayo: MATUTA BARABARA KUU: Mh. Magufuli, Tanzania, inawezekana, ndio nchi peke ambayo imeweka matuta kwenye barabara kuu bila mpangilio...
  6. E

    Kwa wanaotafuta kazi

    stop asking stupid questions, SHUT UP if you dont have better things to do with your time.
  7. E

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    Mi nadhani tuache kuchangia hii mada. Maana vijana hao wameshinda Dodoma Hotel wakifundishwa namna ya kuandika na wamenyweshwa pombe na chakula. Unajua umasikini wa kichwani ni mbaya sana...unakufanya unakuwa mtumwa kama ilivyokuwa wakati wa enzi za Karl Peters...pombe na chakula ndio...
  8. E

    Wabunge wa CHADEMA watoka nje kususia hotuba ya Rais Kikwete

    Hongereni wabunge wa CHADEMA kwa kuona mbali. Dr. Slaa ninakushukuru kwa hili...mpaka kieleweke. Je hatuwezi kudai TUME HURU ya uchunguzi kupitia njia zingine? Maana bunge limejaa watu wa sisiem hawatapitisha hili
  9. E

    Viongozi wa CHADEMA kutokumtambua Rais ni Kosa?

    Ningekuwa Kikwete...kwanza nisingekubali kuapishwa kama watu wamechakachua kura. Pili nikielewa maana halisi ya HAKI mshindani wangu ambae ni Dr Slaa ningekaa nae na kuteua kamati maalum ya kupitia kura zote. Ikibainika kuwa kuna mtu au kikundi kimechezea kura ningetumia sheria zilizopo...
  10. E

    Viongozi wa CHADEMA kutokumtambua Rais ni Kosa?

    Mi ninachokiona ni kubagua watu. Anajipinga mwenyewe kwa kusema atashughulikia mpasuko halafu....Lakini kuna kitu watanzania tuna sahau nacho ni serikali za mtaa na serikali kuu ni vitu viliwi tofauti. Yeye yuko serikali kuu. Atawezaje kuziamrisha serikali za mtaa na hasa mikoa mikubwa ambako...
  11. E

    Kupanda kwa ghafla kwa bei za bidhaa mbali mbali baada ya uchaguzi

    Wanarudisha pesa zao walizotumia kwenye uchaguzi...mmesahau kwani!? Wameichangia sisiemu sana! Hapo wanapewa na tax holiday. Hebu fuatilieni TRA mtashangaa mapato kushuka!!!!!!1
  12. E

    Intro

    Kusema kweli si watanzania, na hasa wakazi wa Dar, inabidii tubadilike saaaaaana. Mi siku zote najiuliza inakuwaje miji mingine kama Bujumbura, Kigali, Nairobi na hata Kampala ni misafi!!? Wenzetu wamesomea wapi kuliko sisi!!? Sasa hivi Dar mvua ikinyesha kidogo tu ni matatizo matupu. Kwa sasa...
  13. E

    Kwa wanaotafuta kazi

    Majibu yasiyokuwa na kichwa wala miguu inaonyesha MGANDO WA MAWAZO na UFINYU wa fikra. Ndio maana maendeleo kwa watanzania wengi ni DUNI. Too much negativity will cost your life. Hata Mungu alisema , "Wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa". Ni werevu tu watakaoona fursa, si wote.
  14. E

    Kwa wanaotafuta kazi

    Mpendwa, Kama umehangaika kutafuta kazi kwa muda mrefu, au huipendi kazi unayofanya, fanya uamuzi wa busara........................JIAJIRI MWENYEWE. Hakuna haja ya kuwa stressed, au depressed wakati mafanikio ya maisha yako yako MIKONONI MWAKO. Ziko fursa nyingi za kujiajiri kihalali na...
  15. E

    The perfect business opportunity

    Are you looking for a business idea? Are you willing to give 100% of yourself into an honest business venture that will guarantee your success and transform your life in less than two years? If the answer is YES, we have got the perfect business plan for you. The business in question can be...
  16. E

    Kutafuta Ajira Kunavyoweza Kumuathiri Mtu Kisaikolojia!

    Kwa wanaotegemea ajira ya kamshahara kuishi................................this is your message "Utaendelea kuwa mtumwa siku zoooooote za maisha yako mpaka hapo utakapozinduka na kujifunza skills za kujiajiri mwenyewe. Opportunities za self employment ziko nyiiiiiiiiiiiiiiiiingiiii sana, ni...
  17. E

    Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    Pole Belinda kwa flu ya kila siku. Nafahamu sana jinsi inavyokera. Kuna natural juice inaitwa Berry Nectar na anti- allergy tablets zaitwa Bee Pollen zitakusaidia kabisa. Ukizihitaji nitafute through my email stronglife101@gmail.com
  18. E

    For your health

    Natural Health Products available to treat Acne, High/Low blood pressure, Overweight, Diabetes and Arthritis (joint pain), Dandruff. The products are of first quality, and have 30 day guarantee. If interested email stronglife101@gmail.com for further information
Back
Top Bottom