Search results

  1. Paddy

    Pump Gani naweza kufunga kumwaga maji mita 600 hadi 1000 kutika chanzo cha maji?

    Kampuni ya Davis and Shirtliff wana pump zina kasi ya ajabu sana. Jaribu kuwatembelea, hao ndio wataalamu wa pump za maji
  2. Paddy

    Vifo vya marafiki zangu wa karibu vimeniathiri kisaikolojia naogopa sana Ukimwi mpaka napitiliza. Kila nikifanya mapenzi naona zamu yangu imekuja

    Pole sana mkuu, ila hao wenzio hasa wa big four walikuwa na kazi za kuwaweka busy sana hizo changamoto za STDs walizipataje kwa ubize wao wa kazi? Ila nawe ubadilishe lifestyle ili uwe na amani, simaanishi kuwa upo kama wao ila naona una mawazo sana yanayoashiria kuna kitu hakipo sawa maishani...
  3. Paddy

    MSAADA: Mchanganuo wa gharama za chakula kwa vifaranga 1000 vya kuku wa mayai mpaka kufikia kutaga

    Mkuu naomba kujua huko mkoani kwenu mnatumia chakula gani kupata protein kwa wingi? Ni soya, alizeti au dagaa? Kama mnaandaa wenyewe chakula basi ulipaswa kuweka stock kubwa ya mahindi kipindi yalipokuwa na bei rahisi
  4. Paddy

    Naomba msaada kulielewa jambo hili

    Sawa umejibu vizuri sana juu ya chimbuko la ibada za jumapili na umuhimu wa siku ya jumamosi kwa wakristo wengine. Tena inaonyesha wewe ni mkristo msomi unayependa kuijua sana imani yako ndio maana unawajua hadi mababa wa kanisa kama uliyemtaja hapo. Nakurudisha kwenye eneo moja bado ambalo...
  5. Paddy

    Naomba msaada kulielewa jambo hili

    Ok, jibu basi hoja ya msingi basi. Usihame kwenye mada. Lengo langu ni hilo tu kukurudisha kwenye mada mkuu. I'm sorry kwa kukukwaza.
  6. Paddy

    Naomba msaada kulielewa jambo hili

    Haujajibu hoja na wala hauna uelekeo wa kujibu hoja zaidi ya kutaka kupromote usabato tu. Rudi kwenye hoja kuu za mada
  7. Paddy

    Naomba msaada kulielewa jambo hili

    Nikuongezee ugumu wa maswali unayojiuliza. Idadi ya siku katika wiki na urefu wa siku unategemea upo wapi. Ukiwa sayari nyingine, mfano Mars, wiki haina siku saba au masaa 24 kwa siku moja kama hapa duniani. Swali la ziada kwako, wakati Mungu anaumba mbingu na nchi alikuwa amesimama duniani...
  8. Paddy

    Kamata kamata tinted taa za Magari

    Taa zinakuwa safi na zinaangaza zaidi ya zikiwa na uchafu... Polisi wa Tanzania akishaamua ameamua na uamuzi wake ni sheria.
  9. Paddy

    Kwanini maagizo ya Rais yanapuuzwa na bodi ya mikopo (HESLB)

    Nadhani hii taasisi sasa imeshashindwa kazi yake imeanza kunyonya watumishi. Najiandaa kwenda mahakamani nirudishiwe hela zangu walizoanza tena kunikata bila sababu Kwa anayejua utaratibu mzuri wa kuishitaki hii bodi naomba ushauri wenu.
  10. Paddy

    Kama Kanisa Katoliki ni Kanisa dola, kwanini tusiamini tukio la kutokea Bikira Maria watoto wa Fatima ni la kupangwa?

    Safi, hivi ndivyo ninavyopenda... Twende kwa hoja! King James version ni moja ya tafsiri tu ambazo zinatofautiana na nyingine kwenye maana ya baadhi ya maneno. Je, ukweli unaweza potoshwa? Ndio inawezekana, hakuna sehemu ya maisha ya Binadamu ambayo shetani hajaingia. Ila sasa leta hoja ya...
  11. Paddy

    Kama Kanisa Katoliki ni Kanisa dola, kwanini tusiamini tukio la kutokea Bikira Maria watoto wa Fatima ni la kupangwa?

    Truth can be verified, that is why no reasonable person can doubt the message of the Bible. No argument can win against it.
  12. Paddy

    Kama Kanisa Katoliki ni Kanisa dola, kwanini tusiamini tukio la kutokea Bikira Maria watoto wa Fatima ni la kupangwa?

    Padre Pio naye ni wa mchongo? Lourdes je? Kata ticket uende Portugal ukaangalie vielelezo viko vingi tu. Au vitafute vingine kwenye mitandao. Kumbuka maneno ya St. Thomas Aquinas... "To the one who has no faith, no explanation is possible and to the one who has faith, no explanation is needed"...
  13. Paddy

    Ikiwa nitasema uongo ili kuokoa maisha yangu au ya mtu mwingine , Je nitakuwa nimetenda dhambi?

    Kuna kitu kinaitwa "Principle of Double Effect" ambacho hutumika na wanateolojia kuelezea namna ya kufanya maamuzi katika mazingira kama hayo. Kitu kibaya kinapopelekea kutokea kitu kizuri zaidi.
  14. Paddy

    Namna Wasabato wanavyowachukulia wasio Wasabato wenzao

    Basi mkuu huenda uelewa wako ni mdogo sana kama huoni kwenye haya maneno hiyo quote inayosemwa. Jaribu kusummarize utaona ndio mle mle tu. Ili kuthibitisha kuwa uelewa wako ni mzuri na hauko sabato kwa kubahatisha nijibu swali lifuatalo: je, ni kweli Mungu aliumba mbingu na nchi kwa siku sita...
  15. Paddy

    Mnenaji wa leo katika Kongamano la Karismatiki Kanisa Katoliki Dodoma ni Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama

    Mkuu umeandika mengi sana. Nakupongeza sana kwa juhudi yako kubwa ya kupenda kuifuatilia kwa undani na kuitetea imani yako. Soma vizuri Matendo ya Mitume na nyaraka za Paulo utajua ni nani alikuwa kiongozi wa Kanisa jipya. Ni nani aliitisha mkutano wa Yerusalemu kujadili swala la tohara kwa...
  16. Paddy

    Mnenaji wa leo katika Kongamano la Karismatiki Kanisa Katoliki Dodoma ni Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama

    Kila la heri mkuu. Kuna msemo mmoja unasema hivi "To be deep in History is to be Catholic". Siku hiyo ikifika utanitag
Back
Top Bottom