Search results

  1. inols

    Katiba gongana

    Msaada wa Ndugu, katika hatua tuliyofikia NAENDELEA KUSOMA:Ibara ya 42 ya Katiba ya JMT, 1977 kama ilivyofanyika marekebisho mara kwa mara inasema Rais akishatangazwa ataassume office mara moja au ndani ya kipindi kisichozidi siku 7.Ibara ya 51 (2) inasema Waziri mkuu akishateuliwa lazima awe...
  2. inols

    Nguvu ya Watu wapumbavu na malofa????

  3. inols

    Tathimini ya Leo, Lowassa V/S Magufuli

    Katika vijiwe kumi nilivyotembelea leo kuanzia Lumumba hadi Ofisi za NEC. Vijiwe nane vilikuwa vinamuongelea Lowassa wakati wanaCCM wako kwenye harakati za kuchukua fomu ya Urais. Vijiwe viwili ambavyo vilikuwa na wavaaji nguo za kijani, wengine boxers zao ni za CCM walijisahau na kujikuta...
  4. inols

    Utaratibu wa utata katika Kitambulisho cha Taifa

    Wanajamii forum naomba nijulishwe kuhusiana na utaratibu wa uwandikishwaji wa kitambulisho cha taifa. Maana naona kama vijana umri wa miaka 18 hadi 30 wanazongushwa kweli, yaaani wakifika ofisi za serikali za mitaa wanaambiwa wakalete vivuli vya vyeti vya elimu, kitambulisho cha kazi...
  5. inols

    Ajali ya Wazari wa Michezo

    Jamani mwenye taarifa kamili juu ya ajali ya waziri wa michezo tunaomba atupatie
  6. inols

    A cry against overexploitation of subsaharan african natural resources

    A man stood at the gates of Sodom and cried out against sin. When it looked absolutely hopeless, a passerby asked him why he still bothered. He answered, "I used to cry out so that men would change their ways. Now I cry out so that they won't change me" How much have you done to avoid becoming...
  7. inols

    How much does this statement prove to be true?

    Man is good by nature and that the fulfillment of each person's desires outwieghs anyo other claims on his time or loyalties.
  8. inols

    "Wanikumbuke kuwa nilikuwa rais niliyewatoa hapa nikawapeleka pale"

    Ungependa wananchi wakukumbuke kwa yapi? "Wanikumbuke kuwa nilikuwa rais niliyewatoa hapa nikawapeleka pale" Kuna msemo mmoja katika vitabu vya dini unaosema kuwa "pasipo maono watu uangamia". Ni kweli hatuwezi kupingana na uhalisia wa kuwa Mhe J. Mrisho Kikwete ni Rais wa watanzania wote...
  9. inols

    picha gani unapata miaka mingine mitano katika utawala wa CCM

    Miaka mitano iliyopita ilikuwa ni miaka ya mapambano na mafisadi, kuvunja baraza la mawaziri mara kwa mara, safari zisizokwisha, kupanda kwa bei ya bidhaa, kushuka kwa thamani ya shilingi ya kitanzania. Ni miaka ambayo tumeona na kusiakia ya ajabu, kilimo kwanza kwa ajili ya makampuni ya...
  10. inols

    picha gani unapata miaka mingine mitano katika utawala wa CCM

    Miaka mitano iliyopita ilikuwa ni miaka ya mapambano na mafisadi, kuvunja baraza la mawaziri mara kwa mara, safari zisizokwisha, kupanda kwa bei ya bidhaa, kushuka kwa thamani ya shilingi ya kitanzania. Ni miaka ambayo tumeona na kusiakia ya ajabu, kilimo kwanza kwa ajili ya makampuni ya...
  11. inols

    Elections 2010 CCM inatupeleka wapi?

    Kuwapatia CCM wakati mwingine wa utawala hakika ni kutowatendea haki watanzania, wana nini cha ziada kwa ajili ya watanzaniaaaaaaa??????????
Back
Top Bottom