Search results

  1. N

    Tupeane ushauri namna ya kuwa millionaire kabla miaka 25

    1.kujitoa kwaajili ya maisha yako... 2.Msimamo... 3.Ushirikiano panapo stahili.... 4.kujifunza 5.kusali
  2. N

    Msaada wandugu: Jinsi ya ku-bold maneno humu na WhatsApp

    najaribu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    Millardayo.com Mbona imeporomoka sana kutoka Rank Ya Alexa Kutoka Top Kwa Tanzania hadi 7000

    Hahaha mnataka ahadithie show ya diamond......nimewaza tu hili.. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    60-PLUS SOCIAL NETWORKING SITES IN 2017

    Wachina wanazo nyingi mno ndomana wanafungia mpaka whatsapp......... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    CCM inaligawa taifa, Rais Magufuli ingilia kati

    Lazima kuwe na utafauti serikali na Chama..... Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    CCM inaligawa taifa, Rais Magufuli ingilia kati

    Ni yatima,ni watu wenyeulemavu, na wanawazazi wenye ulemavu........... Chama kinachoshughulika na shida za watu....... Kwa jinsi raia wa upinzani wanavyochangia humu ndomana CCM inashinda kila uchaguzi.... Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    Rais Magufuli: Wawekezaji wakichelewa kufanya mazungumzo na Serikali nitafunga migodi yote nchini

    Jamaa yangu sasa kama walikubaliana alafu anaona hawatimizi makubaliano....unategemea afanye nini?..... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    Waziri Mkuu: Mitumba kuwa historia Tanzania

    Kuna wengine hata hela yakununulia pipi tu hana....hivyo kila mmoja ni kupambana na hali yake tu......point ya msingi ni jambo zuri sana kuwa na made in Tanzania...... Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
  9. N

    Kukamatwa kwa Dkt. Mashinji na Viongozi wengine wa CHADEMA: Maoni ya Dkt. Slaa

    Naomba kuuliza mkuu, nimikutano ya aina yoyote haihitaji ruhusa kutoka sehemu yoyote au ni ya kisiasa tu ndio haihitaji ruhusa?... Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
  10. N

    Kukamatwa kwa Dkt. Mashinji na Viongozi wengine wa CHADEMA: Maoni ya Dkt. Slaa

    ....Haki ya kikatiba, sheria, mahakama, vibali, polisi, mamlaka, demokrasia, mikutano ya kisiasa........SIASA..... Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
  11. N

    Waziri Mkuu: Mitumba kuwa historia Tanzania

    Walala hoi wapenda mitumba ndo imekula kwao........mtumba hata uuzwe milioni wanapendaga tu...... Post sent using JamiiForums mobile app
  12. N

    Waziri Mkuu: Mitumba kuwa historia Tanzania

    Hilo ulilosema kama Tatizo......sio tatizo umejitungia hapo....... Post sent using JamiiForums mobile app
  13. N

    Sijapendezwa kabisa na Jezi mpya za Barcelona

    Sema staili za mistari hatuja zoea.tumeshazoea mistari ya wima minene ndio representation halisi ya barca..........naziona poa tu
  14. N

    UEFA Champions League sasa ndani ya Facebook

    Ndugu wananchi.... Msimu ujao wa ligi ya mabingwa Ulaya tunaweza kuufuatilia moja kwa moja kupitia Facebook..... Hii ni kwamujibu wa Fox Sports kuungana na Facebook kurusha michuano hiyo moja kwa moja....
  15. N

    Mhe. Rais Magufuli Kufufua Mmoja wa Mradi Mkubwa wa Kufua Umeme Afrika wa Stiegler's Gorge

    Tabia ninayo iona hapa ipo hata mitaani kwetu....... ukiwauliza wasanii hata muulize Diamond platnumz atakwambia wakati naanza kunawatu walisema siwezi kuimba siwezi kufika mbali.......hii tabia ni yakiasili zaidi kwa wa Tanzania, na baadhi ya binadamu wengi duniani......... Hawawezi...
  16. N

    Mhe. Rais Magufuli Kufufua Mmoja wa Mradi Mkubwa wa Kufua Umeme Afrika wa Stiegler's Gorge

    Alishasema Tanzania ni tajiri we unawaza expensive tena
  17. N

    Kilicho wakuta Jamiiforums ndio kinawakuta Telegram sasahivi

    Apple inamisimamo acha kabisa.....kutafuta terrorists watumie njia zingine tu lasivyo kung'ang'aniza kupata taarifa zawatu hivi kutapoteza ladha ya mitando yakijamii
  18. N

    Kilicho wakuta Jamiiforums ndio kinawakuta Telegram sasahivi

    Lakini nahisi itavyokuja kuendelea hivi lazima data zitaanikwa hadharani tu....
  19. N

    Lissu: Spika Ndugai ni Mnafiki, hatutaki futari ya kiongozi anaetubagua

    Mazungumzo mezani pakiwa na vinywaji na chakula kidogo mambo yanaenda
  20. N

    Kilicho wakuta Jamiiforums ndio kinawakuta Telegram sasahivi

    Source: Russia targets Telegram app after St Petersburg bombing - BBC News
Back
Top Bottom