Search results

  1. D

    Tetesi: Aliyetumika kumrubuni Patrobas Katambi kuhamia CCM!

    MH. HAONGA mbunge wa mbozi na david silinde wa momba watakuwa na majibu maana nahisi hawa wote wilaya moja ya mbozi ingawa silinde kwasasa yupo wilaya ya momba. nahisi watakuwa wanamjuwa
  2. D

    Baada ya kuhojiwa uraia, Askofu Niwemugizi azungumza na Rais Magufuli

    pengine sijawgusa mboni ya macho. ila huo ndiyo ikweli.binafsi naamini ambacho mh.rais kamweleza askofu na kumtia nguvu. kuna watu wanafanya mambo ya hovyo as if wametumwa kumbe sifa tu tena za kijinga zinazo mgombanisha rais na wananchi.
  3. D

    Baada ya kuhojiwa uraia, Askofu Niwemugizi azungumza na Rais Magufuli

    Mwanahabari Huru Yote tisa, kumi ni muhimu kutambua kuwa uhuru wa kuzungumza ni haki kikatiba, watu waachwe wazungumze, ni vigumu sana kuwa na taifa lenye watu wenye mawazo yanayofanana na taifa hilo litakuwa taifa la wendawazimu. Tunalipenda sana taifa letu na tunaipenda sana amani...
  4. D

    Nimeshangazwa kumuona Mrema kwenye mkutano wa CCM Dodoma

    atakuwa kahama chama chake kimya kumya
  5. D

    UKAWA wabadili gia angani, Rais Magufuli kutohutubia bunge

    Yafanyike maridhiano nchi isonge mbele
  6. D

    Mkopo nimepewa 25000 (Elfu ishirini na Tano)

    Nenda kasome kaka usikate tamaa. Meals and accommodation utapewa sawa na mwenye asilimia 100. Then bana matumizi yako utasoma tu hadi unamaliza. Usikate tamaa
  7. D

    Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Muhimbili

    Sina matatizo na maamuzi ya mheshimiwa rais.ila kuna maswali mengi ya kujiuliza na mojawapo na kama mkurugenzi kwa makusudi hakutengeneza hizo machine wakati pesa zipo
  8. D

    Onyo: Dr. Magufuli asizomewe tena

    Job nilikuwepo alizomewa sana na wenje alikuwa hajafika bado akuwa nganza na mnangani
  9. D

    Onyo: Dr. Magufuli asizomewe tena

    Na mwanza Nyegezi stand kwenye mkutano wa wenje alizomewa.alikuwa anatoka sengerema
  10. D

    Coaster zaidi ya thelathini zinaelekea Morogoro kwa ajili ya Sheikh Ponda

    Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa waislam hawana uwezo wa kukodi coaster 30?au una maanisha nini! Acha wakasikilize kesi ya viongozi wao wa kiroho.
  11. D

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Hapo siyo tunduma. Mwanza Jana kuna watu wametelekezwa
  12. D

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Halo siyo tunduma
  13. D

    Hatimaye Lowassa ashindwa kuhutubia Tunduma

    Nenda kamwulize mm yako
  14. D

    Picha: Mama Regina Lowassa atikisa Mbeya Mjini

    Safi sana ni mama mbunifu sana
  15. D

    Azam tv mnachokifanya hakivumiliki

    Azam acheni kuzingua tutaishia kuangalia ligi kuu ya bara tu na hata kususia TV yenu . Nani kawatuma?
  16. D

    Azam tv mnachokifanya hakivumiliki

    Itv daima itabaki kuwa superbrand. Sakizingua watakuwa kama TBC tutaachana nao
  17. D

    Chopa ya Livingstone Lusinde yapata hitilafu, yashindwa kuruka

    Kiukweli nimeumia sana kifo cha deo. Makamba atueleze hizo chopa alizikodi wapi na ni nani alizikagua. Atuweke wazi tofauti na hivyo hataeleweka mbele ya jamii.
  18. D

    Elections 2015 Kulinda kura: Wakili Peter Kibatala afungua kesi Mahakama Kuu

    Hiyo mijamaa iliyo fungua kesi sipati picha huko mahakamani kutakuwaje
  19. D

    Yaliyojiri Nyamagana Mwanza: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Oktoba 12, 2015

    Unajifariji. Nilikuwepo mwanza kingunge mwenyewe amekiri hajawahi kuona idadi kubwa ya watu kiasi kile toka aanze siasa
Back
Top Bottom