Ukishakuwa addict wa kitu chochote inahitajika nguvu ya ziada kuacha iwe ni unga,chakula,pombe,sex,etc
chukulia mfano wa mtu ambae yuko addicted/obssesed na mume au mke wake(siongelei upendo) unaeza kuta anajua kabisa haya mahusiano hayaendi vizuri ila hana nguvu ya kumuacha,mwingine anaambulia...
Mada kama hizi ndo zinawapa nguvu wanawake ya kutafuta vya kwao.
Sielewi kama humuamini mtu unaelala nae,anapika unakula,anakutunzia uzao wako etc..
Why stay with her?
Kwa akili ya kawaida ati mtu anasema bora akifa mali zife..really?yani nikeshe kutafuta hela then watoto wangu waje kuteseka...
Nakubaliana na Nyani Ngabu
hakuna binadamu anayeweza kumridhisha mwingine kwa kila kitu
hata wanaume wana mambo mengi amabyo wanawake wanatamani wapate na ni muhimu kwao
e.g unakuta mwanaume hana hela hatunzi familia hayuko romantic nae anashadadia haridhiki na mke mmoja lol
Tatizo wanaume wengi...
Imenibidi Tu
Leo mke Ni mtu baki lakini ukipata matatizo unategemea yeye ndo awe namba moja upande Wako.
Wanaume waliambiwa waishi na wanawake kwa akili ILA wanawake inabidi waishi na wanaume kwa extra akili.smh
ATI mtu baki,unalala na kuamka nae mtu baki dah
Huu Uzi umenifanya nijue Ni aina gani ya watu tunaishi nao.Kumbe mke Ni dispensable hivyo.
Mtoa nada my advice is:Tumia njia nyingi kujua nani Ni mkweli ndo ufanye maamuzi.
Nimependa sana ulichosema.
kwangu ni kama wewe ila bado nina mtoto anayenyonya so the weight haijaisha yote.
wanawake tumeumbwa tofauti(kama wanaume) some of us tendo la ndoa ni more emotional than physical.
Nakumbuka when i was pregnant i was a walking elephant(how i felt) na sikuwa napenda...
The twisted part ni kuwa wasichana wengi walifanya haya na waliishia kupewa mimba na kutelekezwa au pale mume alipopata hela aliamua kuchukua wa kuendana nae.
Hayo yote uliyoyasema yangemake sense kama mwanaume in question angekua na moyo kama wa huyo unamsema otherwise huyo dada atakuwa mtumwa...
I agree capt
ila swala la do unto others inategemea pia mazingira as i said earlier,upo ulivyo kutokana na vitu ulivyopitia na swala la passing judgement nadhani kwa hili swala haliapply based on the fact that huwezi kumforce mtu kuishi vile unavyoona nin sawa(thats in fact judgment already)...
Capt Nemo
please tell me why mtu akiweka msimamo hataki mtu mwenye mtoto tayari ni vibaya
kwanini tumpangie mtu vigezo vyake vya kuchagua mwenza?
kama watu wanataka wenza weupe,wenye miguu mizuri,big a@@ etc na ni vigezo ambavyo ni vya kuzaliwa navyo na tunaacept why not kigezo ambacho most...
Hata mimi hapo ndio nimeona maruerue
mtu anakutishia kukuacha kwa makosa yake?????
it reminds of my friend,yeye alikua jamaa akikosea naulizwa "sasa kama unaona nina kosa sana unakaa na mimi ya nini,si uondoke???
hizi ni dharau za hali ya juu
Tatizo sio mtoto ila uongo wa huyo kaka
mtu...
AMEEN..
Na kwa waume za watu kwenye ulimwengu wa roho its the same thing
They steal everything good in the single ladies have, be it love,harmony,freedom, and at the end karma destroys their lives.
Mi baadhi ya wanaume mnanifurahishaga tu hapa
yani jinsi wengine wanavyoongea utafikiri asilimia kubwa wako na mihela mingi kumbe wengi zama hizi wanasaidiana na wake zao kwenye kipato ila behind keyboards kila mtu tajiri na laki sio pesa :lol:
Eli
Hakuna kitu kinauma kama umehangaika miaka au muda mrefu kupata kitu halafu mtu anakuja tu na yule uliyehangaika nae anasahau yote na kumpa like its nothing.
Mmetembea kwa miguu na bajaji halafu leo mnapata kagari mume ndo anajua kumbe kuna mwingine anastahili gari At times ndio maana...
Hakuna kitu kinakera kama mwanaume mvivu, asiyejua anaenda wapi na katoka wapi.
Haki sawa means meeting half way sio kumuomba mwanamke nauli au pesa za matumizi kila mara thats below border line.
Na 34??
Said this once "wanawake huwa tunadhani sisi ni miungu watu yani tunaeza mbadilisha mtu, we...
Bahati mbaya hakuna sehemu ya kudislike
Usiseme mtoto ni nuksi aise hata kama amepatikana vipi
Wazazi ndio wana matatizo sio mtoto.makosa ya mzazi yasifanye mtoto awe labeled haya majina at all.
Ndo lugha kama hizi zinafanya watu hadi ukubwani wanajiona alienated.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.