TRA tangu jmosi hakuna mtandao nchi nzima.Ukiapply tin namba unaambiwa hivyo.
Imagine,tangu jmosi hawatoi TIN nchi nzima.leo ni jtano.
Hivi nchi hii tuna shida gani yarabi?!!
Niliwahi soma humu kwamba Makamba kapewa Nishati ili immalize kisiasa.Now i see maana siamini waandishi hawa wanaongea bila backup kwa mfumo wa nchi hii tunavyoujua ni wazi wametumwa kazi maalum na January ajiandae..ila atolewe tu aisee hamna hasara.Simkubali huyu mtu.
Aisee,hivi hawa wanasiasa wanajua wanakotupeleka lakini?hivi hii nchi haina deep state?!eti Tumia akili hao jamaa zenu wana kazi gani ikiwa nchi inapitia vitu vya ajabu hivi?!mnaelewa madhara ya hili suala kwa baadae?!mnataka kuharibu ustawi wa nchi wote wa baadae kwa kusolve hizi ishu za muda...
Kwani hii kesi si imeshaanza?kama nna kumbukumbubu vizuri kesi ikishaanza inahukumiwa kwa sheria zilizokuwepo wakati kesi inaanza,na sio sheria mpya iliyotungwa wakati kesi inaendelea,na hii ni hekima ya wazee kuepusha mahakama kugeuzwa kichekesho maana kama tukiamua uhuni wa hivyo...
We Tumaini waambie deep state wenzio sawa,taarifa imefika,ila Mungu anasema mwaka huu jamaa zenu watavurugana sana,wasipochutama na kuacha udhalimu utakuwa mwanzo wa mwisho wa ccm and 5 years to come (2026) it will be over,self sabotage is in the process now.
Vilio ni vingi huku mitaani,haswa...
Waziri aseme pia ni watu wangapi wanaugua na kupona bila dawa wala chanjo,then tulinganishe kuona kama huo ugonjwa umefika emergency state ambayo wao wanapambana kila siku kutuaminisha.
Kuna clip moja Lusekelo pale mwishoni anamkanya mtu mzima yupi?nilidhani anamzungumzia mama ila mama sio mkristo,sasa huyo mtu mwenye maamuzi serikalini (anaekataa kumwachia Mbowe) na ni mkristo maana anaambiwa ukristo hautaki mabavu, ni nani?btw lines naona anazungumzia mtu mwingine tena...
Kuna hekima kwenye utungaji sheria mkuu.Unapowaza sheria itungwe,fikiri na the negative side,hasa matumizi mabaya ya sheria hiyo.
Hii ni Africa,sio China.
Hakuna mtu asiyechanjwa ambaye anasafiri nje ya nchi yake sasa hivi.
Lakini kila siku sehemu mbalimbali duniani wanadakwa wageni wakiwa na maambukizi ya covid.
Huyo omicron wanasema katokea Africa na kuingizwa nchi zao na wasafiri toka huku.Sasa kama wanaosafiri wamechanjwa,na bado wanaeneza...
Pale wananchi wanapotaka kiongozi wao asikike akizungumzia changamoto zao za msingi kama maji,umeme,masoko,usafiri etc,then unasikia minor issues kama hizi,hili linchi ni la kuondoka tu sasa mss!
Mkuu,kwa mujibu wa mzee Kasesela hapo hizo ni lita milioni 2 zinatolewa zisilete madhara kwenye mitambo.
Kwa hiyo lita milioni moja ni nusu ya hayo maji uyaonayo hapo.
Tunaambiwa tena mchina anayatumia ndani ya lisaa tu,kumwagilia matembele na mchicha ..maamae bongo tunaonana wajinga sana!😆
Hao wanaombebesha lawama hayati wasitutie dhambi,kwani Magu alikuwa Chadema?!serikali yao si ile ile?!sasa iweje waone failure ya Magu haiwahusu?!mama hakuwemo serikali ya Magu?January ni TLP?!embu acheni kutufanya hatuna akili!rudisheni umeme na maji haraka.😡
Wakati mchina anaanzisha irrigation yake huenda hali ilikuwa hivi hapo chini,leo mnaanza kumwita khanithi?huu ni umaamuma wa kiwango cha tiles!
Nchi yenye mvua nyingi kama hii,mnaacha maji yanapotea halafu mnalalamika one year later,pale koki za mbinguni zinapofanyiwa service na Mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.