Search results

  1. Suip

    Naomba ushauri: Alijua ni bikira lakini alipojaribu hakukuta kitu

    Wakatji amekuchunia kina mtu pembeni anakula vitu
  2. Suip

    Mambo 10 niliyoyaona leo Al Ahly vs Yanga

    Mtu mwenye mawazo kishirikina ni wenye ufinyu wa akili na ndio njia pekee ya kujifariji,yanga bado wapo vizuri,al ahly ni timu bora Africa
  3. Suip

    Dawa ya kuzuia mbao za paa kubunguliwa

    Oil chafu lita 20 uchanganye na lita 5 ya dizeli upake mbao yako haitaguswa.
  4. Suip

    Tipper moja fuso, linajaa ndoo ngap ndoo ngap za mchanga

    Hiyo n ndoo ndogo kama ni ndoo kubwa ya lita 20 ni takriban ndoo 200
  5. Suip

    Tipper moja fuso, linajaa ndoo ngap ndoo ngap za mchanga

    Fuso ndogo ya kwaida kwenye bodi yake wameweka ujazo wake kama 4 cubic metre, sasa ndoo ya lita 20 ni sawa cubic metre 0.02 hivyo 4cubicmetre gawa kwa 0.02 cubic metre utapata kiasi cha ndoo 200 ya lita 20.
  6. Suip

    Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

    Mwanamke mwenye mtoto hasa wa kiume sio wa kuoa baba utapashida wengi wao wanaleta mgogorowa familia.
  7. Suip

    Madhara ya chanjo ya Corona yamefikia hatua gani kwa waliochanjwa

    Unauhakika kwani hata wasiopata chanjo ya corona pia wengi wanaparalaiz kwa maradhi mengi,mimi na wengine wengi hapa kjijini tuliopata hiyo chanjo tupo fiti tunadunda. Gwajima ni mwongo sijawahi kumwamini
  8. Suip

    Niliyoyashuhudia Jeshini

    Oljoro hiyo
  9. Suip

    Jogoo hapandi majike, nifanyeje?

    Mitetea watakuwa bado hawajapevuka, jogoo hawezi kuacha kuwapanda.
  10. Suip

    Yaliyowakuta Vifaranga vyangu vya kuku baada ya Chanjo ya kideri

    Asante kwa maelekezo mazuri, je kunatatizo kama ndani thermos nitaweka maji yaliyo baridi yakunywa ndani ya friji? kwakuwa kutoka hapo ninapochuka chanjo Arusha mpaka kijijini itahitaji masaa 12 hadi 24 kabla ya kuwapa kuku. Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
  11. Suip

    Yaliyowakuta Vifaranga vyangu vya kuku baada ya Chanjo ya kideri

    Sasa unawezaje kuhakikisha unasafirisha katika joto hilo la 5 hadi 10'c?
  12. Suip

    Yaliyowakuta Vifaranga vyangu vya kuku baada ya Chanjo ya kideri

    Kwani chanjo husafirishwaje,yangu hiyo imesafirishwa na icepack box Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
  13. Suip

    Yaliyowakuta Vifaranga vyangu vya kuku baada ya Chanjo ya kideri

    Kabla ya chanjo niliwapa OTC plus na hawakuwa wakiumwa, walikuwa vizuri tu ni baada ya siku mbili niliwapa chanjo. Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
  14. Suip

    Yaliyowakuta Vifaranga vyangu vya kuku baada ya Chanjo ya kideri

    Expire ni 12/2024 Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
  15. Suip

    Yaliyowakuta Vifaranga vyangu vya kuku baada ya Chanjo ya kideri

    Nina kuku wakubwa ambao nawatumia kama wazazi,pia nina vifaranga wa takriban miezi 3 na nusu,mara mwisho niliwapa chanjo ya kideri tar. 20.8.2023 na hapa kati nilikuwa na vifaranga wengine wapatao 40 wenye umri wa mwezi moja ambao niliwapa chanjo ya kideri juzi tar. 4.12.2023 ikiwa ni pamoja na...
  16. Suip

    Mambo 11 niliyoyaona Simba vs Gwanengy Galaxy leo

    Kocha akipewa nafasi ya kusajili viongozi watapataje dili lao na hao atakahitaji timu ina fedha za kutosha?
  17. Suip

    Kikwete aonya Serikali kupuuza ushauri. Ataja madhara yake

    Hivi kweli Bashite waliomweka Uenezi wamefikiria nje ya box,ni mtu mwenye majivuno na hana nidhamu kabisa pia fedha anazotoa takukuru chunguzeni amepewa na chama au ameanza vitisho vyake kwa wafanyabiashara kuwalazimisha wamchangie.mfano eti amempatia gari mwalimu aliyedhulumiwa gari.
  18. Suip

    Ni muda wa kanisa katoliki kuongozwa na waafrika wanaoongoza kwa waumini na imani kuliko wazungu wanaozidi kutoamini Mungu

    Waafrika wote sio wabantu kuna nilotics,cha msingi ni kuachana nao na kuanzisha African Catholic (AC) badala ya Roman Catholic(RC).Tangu Papa watoke nje ya Roma Kanisa Katolic inazidi kupotoka.
  19. Suip

    Hawa Wabunge wa ovyo ni zao la Udikteta Uchwara awamu ya Hayati Magufuli

    Sisi wa kwetu hata darasa la saba hajamaliza akakimbilia kulima vitunguu akapata fedha kidogo ya kuwahonga wajumbe ccm wapitishe kura ya maoni,ndiyo mbunge asiyejua kiswahili na bungeni anakaa tu.
Back
Top Bottom