Search results

  1. A

    RAC MOBILE STUDIO

    STUDIO IPO DAR ES SALAAM, POSTA MPYA MTAA WA JAMHURI, LAKINI SIFA KUU NI KWAMBA STUDIO YETU INATEMBEA KUKUFUATA MAHARI ULIPO. TAFADHARI TUTEMBELEE, AU TUPIGIE 0624 136 775 AU 0785 029 655. KARIBUNI.
  2. A

    PAGARE LINAUZWA

    Pagare lipo eneo la Kinondo B , wilaya ya kinondoni. lipo kwenye kiwanja che ukubwa wa miguu 70 x 30. pagare lina vyumba 3 vya kulala , sebule , jiko na choo. lipo upande wa kushoto kama unaenda bagamoyo. ni umbali wa 4.5km kutoka pale bunju Shule ya msingi bei ni 22m. mawasiliano 0657145555
  3. A

    Kiwanja kinauzwa mapinga bagamoyo

    Kiwanja kipo mapinga bagamoyo mkono wa kulia kama unaenda bagamoyo kina ukubwa wa heka 4 kipo umbali wa 1 km toka barabara ya rami bei ni 25m kwa heka. Tuwasiliane 0657145555.
  4. A

    Kiwanja kinauzwa bunju A.

    Kipo Bunju A katika eneo linaloitwa Kinondo B. ukubwa ni miguu 70 x 35 kina karatasi zinazotambuliwa na serikali ya kijiji ubali toka barabara kuu ya Bagamoyo ni 3km. umeme na maji vimefika. pia ndani ya kiwanja kuna jengo ambalo bado halijakamilika lipo katika hatua ya mwisho. hivyo kiwanja...
  5. A

    Nyumba kwa ajiri ya ofisi

    Nyumba ya vyumba 3, eneo la mikutano inapangishwa, inafaa kwa matumizi ya ofisi ipo Kinondoni morocco, pembeni ya kituo cha mabasi ya mwendo kasi na daladala, bei ni 1,500,000 kwa mwezi. tuwasiliane 0657145555.
  6. A

    Yard inauzwa

    Yard inauzwa ipo kigamboni kisiwani, eneo limezungushiwa ukuta kama linavyoonekana , lipo umbali wa 4km toka magogoni na umbali wa 3km toka darajani linaukuwa wa 4800 sqm. bei ni 250m. tuwasiliane 0657145555.
  7. A

    Nyumba inauzwa

    Nyumba hii ipo kigamboni mji mwema, ni umbali wa 4.5 km toka magogoni na umbali wa 3.5km toka daraja la kigamboni. Na nusu km kufika baharini. Kwa maelezo ya kuona na mengine tuwasiliane 06571455. Ina sifa zifuatazo vyumba 3 vya kulala kimoja master jiko , store na babu pamoja na choo cha...
  8. A

    1996 Nissan patrol 4 sale

    Bado ipo ktk hari nzuri sana, ni diesel, ingine bado haijaguswa . Bei 15M ipo ilala Dar es salaam tuwasiliane 0657145555 au 0782 715410.
  9. A

    sales executive

    Atakiwa mtu wa mauzo katika upande wa magenerator makubwa ( genset) awe na uzoefu katika kuuza mitambo na vitu vya aina hiyo. mshahara ni mzuri sehemu ya kazi ni Dar es salaam na pia atakuwa na safari nyingi za mikoani. Awe hata na diploma in sales kikubwa ni uzoefu katika eneo hilo tuma cv...
  10. A

    Driver cum sales

    Tunatafuta Driver cum sales wenye uzoefu ( Mohamed Enterprises ltd) sifa: awe na uzoefu japo miaka 2 na kuendelea awe na leseni hai ya ya udereva awe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea ni hapa Dar es Salaam. tuma cv yako kwenda recruitment@metl.net au thomas@metl.net
  11. A

    Matapeli wanatumia number 0676006877

    Nimepigiwa simu na number hiyo 0657006877 wanasema wao ni Tigo Bima.. Sasa wanatoa mikopo ya 2,500,000/= lakini lazima utume kwanza tsh 36,000/= ndipo wakupatie mkopo ndani ya dk 3. Cha kushangaza wananiuliza unaitwa nani? Unakaa wapi, kitambulisho chako number gani. Sikuwapa ushirikiano na...
  12. A

    House4Rent @ Kigamboni Mikwambe

    Nyumba ipo 16 toka feri ya magogoni na 150meters toka barabara kuu, ina vyumba 2 vikubwa pamoja na sitting room kubwa kama inavyoonekana , jiko, choo, na bafu, kisima kipo, umeme wa uhakika upo, kuna gererator ya 1 kva. Pia nje kuna green house . bei ni 350,000/= kodi ya miezi 6. Tuwasiliane...
  13. A

    Apartment inapangishwa Ostabey B Kinondoni

    Ipo mtaa wa pili toka barabara ya Ali Hassani mwinyi inatazamana na uwanja wa Leaders Club , ina vyumba 2 vya kulala setting room , jiko store n.k, ina ziada ya tank ya kuhifadhi maji lita 5,000 generator n.k bei ni 750,000/= kwa mwezi kodi inachukuliwa kuanzia miezi 6 na kuendelea...
  14. A

    Kiwanja ukubwa heka moja kinauzwa, Kigamboni

    Wakuu kiwanja kizuri kinauzwa wa heka moja kinauzwa eneo la dege kigamboni ni mwendo wa 3km toka dege beach project na 1.5km toka barabara ya lami bei ni 18m. hakijapimwa ukinunua wapimaji wapo tuwasiliane 06571455555
  15. A

    Nauza viwanja vilivyopimwa Sumangira, Kigamboni

    Viwanja vipo vya kutosha vya ukubwa mbali mbali kuanzia sqm 480, mpka sqm 2000 bei ni tsh, 10,000/= kwa sqm moja. sumangila mwanzo mgumu ipo mbele ya dege ukifika kituo cha mwembe mdogo unaingia mkono wa kulia ni mwendo wa 26km toka feri ya magogoni . tuwasiliane 0657145555 mi Dalali.
  16. A

    2002 Toyota Rav 4 for sale

    Manuel Transmission, engine 1 zz , distance 58,000 km , imported from UK used 1 yr in Tanzania, available in Dar . Price 13.5m Serious buyer only cont 0657145555
  17. A

    Nyumba upande unapangishwa Tabata Kimanga

    Ipo Tabata Kimanga, ina chumba na sebule choo jiko na bafu, umeme maji vipo, inajitegemea gari mpaka nyumbani chini ina tires juu sing bord ya kawaida , bei 150,000 miezi 6. Tuwasiliane 0657145555 mi dalaliI
  18. A

    Toyota Land cruiser VX for sale

    Number A bado mpya haijawahi pigwa rangi wala kugongwa ni outomatic diesel bei 28m picha zinasumbua upload nicheck whatsup 0657145555
  19. A

    Car4Sale Nah itaji nissan patrol number a au b

    Iwe ktk hari nzuri body iwe imenyooka inahitajika haraka rusha picha na bei whatsup 0657145555 nipo Dar
  20. A

    Natafuta mark 2 ya shanga iliyosimama

    Nitumie picha whats up 0657145555 iwe number c au b nipo Dar.
Back
Top Bottom