Search results

  1. baiser

    Hili jambo limenipa utata kuhusu bima ya NHIF.

    Hivi karibuni kuna baadhi ya dawa na baadhi ya vifaa vya kutolea huduma vimeondolewa kwenye bima ya NHIF Sasa leo mtoto alipelekwa hospitali katika kuangaliwa ilibidi apewe dawa ya kushusha joto mwilini Dawa hiyo inatolewa kwa njia ya mishipa ya damu ( I.V) cha kushangaza tumeambiwa I.V...
  2. baiser

    Miundo mbinu ya barabara za rwanda

    Viongozi na watanzania kuna jambo la kujifunza kutoka nchi jirani ya rwanda Barabara zao ni nzuri na hazina matuta Camera zimewekwa barabarani ilii watu waendeshe kwa kufuata sheria Boda boda zao zote waendeshaji wanavaa helmet pamoja na abiria wao na pia pikipiki hazijatolewa side mirror kama...
  3. baiser

    Ujenzi wa fensi

    Kuna ka eneo kangu ka urefu wa 13M kwa 20M ,eneo ni tambarare kabisa ilaa naona katavamiwa na majirani maana ujenzi eneo hilo umepamba sana moto. Nataka nijue niandae Tofari ngapi Simenti mifuko mingapi Mchanga kiasi gani Nondo ngapi Na je kwa uzoefu fundi atalipwa kiasi gani na eneo ni Dar es...
  4. baiser

    Utatambuaje mbao zilizo na dawa na zisizo na dawa?

    Ndugu wana Jf, Kwa Mtu asiye mtaalamu atatambuaje mbao zilizo na dawa na zisizo na dawa? Na je bei za mbao kwa sasa ulipo ni kiasi gani? Mfano 2*2 2*3 2*4 Katika kipindi hiki cha mfumuko wa bei. Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  5. baiser

    Gharama za kujifungua kulikoni?

    Nianze na salamu kwenu wana JF Nikiwa kama mwanaume ambae nimeoa na kubarikiwa watoto wa 2 niseme tu naheshimu hali ya ujauzito kwa mwanamke kwan mateso ya uchungu nimeyaona Na pia nawapongeza madaktari kwa kazi kubwa wanazofanya kutusaidia kulete viumbe hivi duniani vikiwa salama kwa...
  6. baiser

    Ndoto hii ina maana gani? Je, ni walking dead?

    Ndugu wana JF, mwezi wa.12 /2020 nilifiwa na mamangu mzazi. Leo saa Tisa na dakika kumi usiku (12/5/2021) nimeota ndoto niko na mdogo wangu nashusha mteremko kwa miguu nikitokea mjini Iringa kuja Ipogolo maeneo ya kitanzini tumekutana na mama akiwa kabeba kikapu chake anapandisha mjini yaani...
  7. baiser

    Watafutie wanao connection

    Ndugu mwana jf pamoja na maisha yote tunayoishi na kufurahia tutambue kwamba hatutaishi milele kifo hakichagui umri bali iman kuwa mzazi utakufa au kuzeeka mapema kabla ya wanao Msingi wa uzi huu ni wazazi tujitahidi kuwataftia watoto connections ,tafuta pesa peleka mtoto shule nzuri atakutana...
  8. baiser

    Utaratibu wa bima ya afya unanisikitisha sana

    Ndugu wana jf inafahamika kwamba bima ya afya unalipia sio huduma ya bure kwani unakatwa kwenye mshahara wako . Nimesikitika kunyimwa haki ya bima ya afya ya mke wangu wa ndoa kisa jina langu nililotumia ni la ubatizo ni tofauti na majina ninayotumia katika vyeti vyangu vya taaluma ,cha...
  9. baiser

    Hukumu ya Kaimu Mkurugenzi Rubada italeta kilio kwa wengi

    Kwanza kabisa naipongeza Serikal kwa kusimamia maadili ya Utumishi wa Umma hii imesaidi sana kupunguza malalamiko na kuleta maendeleo chanya . Ndugu wana JF siko kutetea uovu wala kupingana na amri ya mahakama ilaa Nina mawazo fikirishi kuhusu adhabu aliyopewa huyu muhujumu uchumi Aloyce...
  10. baiser

    Stori ya kweli: Jinsi kujifukiza kulivyookoa maisha yangu mwaka 2006 na 2009

    Habarini za kwenu ndugu wana JF, poleni sana na mihangaiko katika kipindi hiki kigumu cha Corona ambapo biashara zimekuwa ngumu na maduka mengi yamefungwa ila ni imani yangu hali itarejea shwari na mambo yatasonga kama zamani. Lengo la uzi huu ni kutoa shuhuda ya kweli jinsi kujifukiza...
  11. baiser

    Nataka kujua Bajaj Maxima Z zinapatikana wapi?

    Nimevutiwa na aina hii ya bajaji inaitwa maxima Z kwamba inaweza beba abiria mpaka sita Nataka kujua zinapatikana wapi ,na je ubora wake ukoje pamoja na bei zake. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. baiser

    Ushauri kuhusu Epson l 382 printer

    Ndugu wana JamiiForums nimeandika kitabu changu kidogo cha kama page 100 hivi, kutokana na kuwa na budget ndogo kama laki 7 hivi kuna mtu kanishauri kununua printer, paper cutter na stepla ili nitengeneze kitabu mwenyewe baada ya kudesign cover ya kitabu na kila kitu. Hii ni kutokana na gharama...
  13. baiser

    Nahitaji kuprint kitabu

    Habari wana JamiiForums, Kuna kitabu changu ninakiandika, na bado kidogo kukimalizia. Nataka kujua ni utaratibu gani niufuate ili niweze kukiingiza sokoni na pia nahitaji kujua gharama za ku-print kila copy moja ya kitabu chenye page chini ya mia moja.
  14. baiser

    Tujadili kuhusu homa ya ini

    Moja kati ya magonjwa hatari kwa sasa ni hili la HOMA YA INI,na moja ya njia za kuenea ni vaginal fluids n.k ni mda mwafaka kwa watafiti kuja na zana mfumo wa kondom watu wazivae wakati wa oral sex ili kujikinga .
  15. baiser

    Bodi ya mikopo ya elimu ya juu.

    Ndugu wana jf kuna ndugu yangu alikua anaomba mkopo ila katika kujaza form online amekutana na utata huu 1.Ukitumia browser ya moxilla firefox -upande wa kuselect district mtu anatokea inagoma haioneshi mpaka utumie google chrome 2.ukifika kwenye section ya wazamini ukitumia browser kama moxilla...
  16. baiser

    Mwenye uzoefu wa hizi pikipiki

    Habar wana jf.mwenye uzoefu wa hizi pikipiki kubwa mfano wa BAJA XLR ubora na bei zake kwa dar es salaam maeneo zinapopatikana nataka nijipinde nitafute moja ya mizunguko yangu ya hapa na pale naona itanifaa kwa folen za dar kuziepuka na pia wenye magari wasinibarasee sababu najua nikitafuta...
  17. baiser

    Ni wapi kwa Dar es Salaam mizani inapatikana?

    Habar ndugu wana jf.hivi kwa dar mizani inapatikana wapi kwa wingi na kwa bei gani.na nitatambuaje ubora wa mzani na kama umepigwa chapa ya Wakala wa vipimo?
  18. baiser

    Ushauri kwa wahitimu na vijana

    Napenda kushauri graduate wote ambao hawapo kwenye ajira rasmi za Serikali na mashirika binafsi kuwa mwakani 2020 kuna fursa kubwa ya ajira katika nafasi mbali mbali za kisiasa kama udiwani,ubunge na urais Hivyo kama ambavyo mnajazana kwenye usaili wa ajira tena katika nafsi moja au mbili tuone...
  19. baiser

    Tuzungumzie matatizo ya figo

    Figo ni kiungo muhimu sana katika mwili wa mnyama na binadamu kwa kufanya kazi nyingi ikiwemo kutoa taka mwili n.k Figo hukumbwa na matatizo mbalimbali ambazo huathiri utendaji wake kazi. Leo ningepende tushirikishane mambo kadhaa ambayo hupelekea kiungo hiki muhimu kisifanye kaz yake ipasavyo...
  20. baiser

    Baada ya kuagiza bidhaa kwa kutumia Alibaba, Kodi na gharama za usafirishaji zipoje?

    Nataka niagize bidhaa china kuna mtu alinigusia Kua naweza agiza kwa kutumia hawa alibaba nimedownload app yao nakupitia pitia bidhaa ninazotaka nimeona bei ni rafiki kabsaa Ila kitu ambacho sikijui ni kuhusu kodi ya hizo bidhaa baada ya kuagizaa zinakuwaje na pia gharama ya kusafirisha mzigo...
Back
Top Bottom