Search results

  1. Ambiele Kiviele

    Tunga sentensi kwa kutumia picha ifuatayo ya Marais wastaafu

    Picha inajieleza , itungie sentesi
  2. Ambiele Kiviele

    Jasiri muongoza njia

    Leo nimemkumbuka jasiri muongoza njia
  3. Ambiele Kiviele

    A Man From Koromijee

    Maisha bhana
  4. Ambiele Kiviele

    Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwezombiee Nizame mapenzini nipotelee huko...

    It may sound strange but this has been my major wish for a while.... Nataka kupenda kama mjinga, yaani niwe zombiee, nizame mapenzini nipotelee huko... Kila nachoambiwa nione sawa niwe mjinga mjinga no reasoning... Yale mapenzi usipowasiliana ama kumwona mtu wako for a day unajisikia mgonjwa...
  5. Ambiele Kiviele

    Kama ligi kuu ya uingereza ingekuwa darasa la shule ya sekondari

    KAMA LIGI KUU YA UINGEREZA INGEKUWA DARASA LA SHULE YA SEKONDARI. 1.Liverpool ni mwanafunzi anejisifia na kuona ana akili kwa kuwa babu yake alifaulu kwa division one japo yeye anapata zero. 2.Manchester city ni mwanafunzi wa kishua ambae wazazi wake wanamnunulia vitabu vingi na vya gharama...
  6. Ambiele Kiviele

    Bobi Wine Akamatwa Tena Muda Mfupi Baada ya Kuondolewa Mashtaka

    Mbunge wa Kyadondo nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine amekamatwa muda mfupi baada ya mahakama ya kijeshi kumuondolea mashtaka ya umiliki haramu wa silaha nchini. Muda mfupi baada ya kuachiliwa huru, Wine alikamatwa tena na inaarifiwa kwamba anatarajiwa kushtakiwa katika mahakama...
  7. Ambiele Kiviele

    Hapo kuna watu wanataman wangekuwa mbwa

    Ah ah mmhh Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Ambiele Kiviele

    RIP baba wa Taifa

  9. Ambiele Kiviele

    Happy Birthday Super Woman amu

    My mom My Everything My woman Am speechless HAPPY BIRTHDAY Mwanamke uliyenifanya niwe hapa nilipo... Nakupenda sana mama angu!! Wow...Kiukweli I don't have full words of explaining how the world chear up, ulivyokuja ulimwenguni. Congratulations the Most Beautiful Woman!!. Yaaah we are...
  10. Ambiele Kiviele

    BATTLE: CHADEMA Vs CCM

    Mapendekezo ya kuundwa kwa Chama Cha Mapinduzi yalitolewa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Katika kikao cha pamoja cha NEC ya TANU na NEC ya Chama Cha ASP cha Zanzibar, kilichofanyika Dar es Salaam, Septemba 5, 1975, ili kuimarisha zaidi Muungano. Rais wa Zanzibar wa wakati huo Alhaji Abdul...
  11. Ambiele Kiviele

    Naomba kuuliza hivi kuna uhusiano wowote ujauzito kumtesa mwanaume?

    Habarini za mida wana jf, Mwenzenu nimekuwa katika hali ya mateso ya uchovu usioisha na mara nyingine kutapika kila asubuhi kwa muda mrefu sasa yapata miezi misita sasa na mke wangu mjamzito naugua lakini ninachougua hakijulikani. Yan kuna muda huwa natema tema mate ovyo ovyo lakin mke wangu...
  12. Ambiele Kiviele

    Mambo kadhaa usiyoyajua kuhusu Adolf Hilter

    Nani ambaye hamjui Dikteta Adolf Hitler? Adolf Hitler ni mtawala maarufu zaidi katika karne ya ishirini, kiongozi wa chama cha Kinazi aliyeitawala ujeruman kati ya mwaka 1934 mpaka 1945. Kama ulikuwa hujui, hitler ndiye mwanzilishi mkuu wa vita ya pili ya dunia. Yafuatayo ni mambo usiyoyajua...
  13. Ambiele Kiviele

    Maswali na Majibu kuhusu Ukaguzi wa Leseni ya Udereva

    Maswali na Majibu kuhusu Ukaguzi wa Leseni ya Udereva 1. Je ni Madereva baadhi au wote wanahitajika kukaguliwa Leseni zao? _Zoezi la kuhakikiwa Leseni ni kwa Madereva WOTE wanaomiliki Leseni za Udereva._ 2. Je uhakiki ni kwa awamu au wote wanatakiwa kuhakikiwa kwa wakati mmoja? _Zoezi...
  14. Ambiele Kiviele

    Kama kuna JM humu Ajiandae

    JM - John Magufuli JM - Jerry Muro JM - Jokate Mwegelo JM - Jasinta Mboneko Kama kuna JM humu Ajiandae 🤣🤣🤣 sina maana hiyo
  15. Ambiele Kiviele

    Mke wangu kaninunia kisa sijamnunulia dazeni ya chupi

    Hiki kitu kinaniudhi na bahati mbaya zaidi sasa sijui kila mwanamke anacho.....?? Ni huu ugonjwa wa kununa na kususa kwa jambo doogo..... Mtu unaweza kununiwa hata mwezi mzima, mpaka ukahisi labda love ishakufa na sasa ufanye 'maamuzi' mengine..... Nimerudi kutoka kazini Mke wangu kanuna...
  16. Ambiele Kiviele

    Naisubir kwa hamu

    Nna ham nayo iyooo
  17. Ambiele Kiviele

    Nan mwenzangu

    Duuuuu
  18. Ambiele Kiviele

    Waiter zungusha tenaa

    Waitee zungusha tenaaaah
  19. Ambiele Kiviele

    Men who drink castle lite

    Men who drink castle lite...
  20. Ambiele Kiviele

    Tusipeane stress

    Tafadhari Tusipeane stress Pita kuleeee[emoji124] [emoji124] [emoji118] [emoji118] ......
Back
Top Bottom