Search results

  1. This is...

    Inawezekana wachezaji wa yanga wanapoenda kuondoa like taulo wao ndiyo wanaenda kuloga

    Nimewaza tu nje ya boksi. Kwamba yawezekana Yanga ndiyo wachawi kupitia taulo la kipa wa timu pinzani. Kwanini tunaona zile taulo zimebeba uchawi? Kwanini hatuwazi kwamba Yanga ndiyo wanaenda kuloga kwa kugusa mataulo ya makipa wa timu pinzani ili wapate magoli.? Mbali na kugawa bahasha kwa...
  2. This is...

    Simba ni brand kubwa sana

    Ukitaka kujua hilo fungua threads zote zilizotumwa kwa muda wa mwezi mmoja tu humu katika jukwaa la michezo, utaona maandiko yanayoizungumzia Simba ni zaidi ya 80%. Ziwe post hasi au chanya. Watu wa Yanga walioko humu jukwaani na wanafahamika, siku zote huwaza waandike nini kuhusu Simba...
  3. This is...

    Yanga ilikuwa na malengo makubwa sana na Kombe la Mapinduzi

    Tofauti na kauli zinazotolewa baada ya kupokea kichapo cha goli tatu kwa moja kutoka kwa APR ya Rwanda, timu ya Yanga ilienda Zanzibar ikiwa na malengo makubwa. Kauli zinazotolewa baada ya kichapo ni kauli za kujipoza na aibu ya kufungwa goli 3. Ikumbukwe baada ya simba kudroo na APR maneno...
  4. This is...

    Dondosha komenti hapa:Yanga leo apigwe ngapi ili mji utulie.

    Adui mwombee njaa. Yanga wakifungwa ni heshima hata malaika mbinguni huwa wanashangilia hilo anguko. Simba ikishinda ni shangwe mbinguni na duniani. Ni shangwe Africa Mashariki yote. Hapa hakuna uzalendo. Hatuhitaji uzalendo wa kinafiki. Utopolo kufungwa ni heshima! Naombea, napiga dua...
  5. This is...

    Wito kwa Waziri ya elimu, TAMISEMI na Serikali kwa ujumla

    Sote tunajua kwamba matokeo ya darasa la Saba mwaka 2023 yametoka. Matokeo haya yanajumuisha ya wanafunzi waliosoma shule za serikali na wale wa sekta binafsi. Ukiyaangalia matokeo haya utagundua kwamba shule zenye ufaulu mzuri zaidi Ni zile za binafsi ukilinganisha na zile za serikali...
  6. This is...

    Saudia,UAE, Misri wakataa pendekezo la vikwazo dhidi ya Marekani na Israel

    Waarabu hawako pamoja. Ila Kuna wenye maono na Akili badala ya mihemko ya kidini.
  7. This is...

    Kwenu Wanasimba, Mashabiki wa mnyama

    Hili I Ni bandiko kwa ajili ya kukusanya maoni , mawazo, mitazamo, ukosoaji, pongezi kutoka kwa wanasimba na wadau wa futiboli kwa ujumla. Unakaribishwa kuweka maoni yako hapa ukijita katika vipengele vifuatavyo: Nini kifanyike,Ni Nini maoni yako,mapendekezo, changamoto unazoziona na Ni wapi...
  8. This is...

    Angalizo: Msisahau kwamba siku chache zijazo Al Ahly atarudi tena Kwa Mkapa

    Naona Kuna watu wanajizima data. Matokeo ya Simba yanawafanya Wanajisahau kwamba muda si mrefu Hawa jamaa watarudi Tena bongo. USHAURI: KUWA NA AKIBA YA MANENO NI JAMBO ZURI SANA, JITAHIDI USIONGEE YOTE! Kila mtu ashinde mechi zake. Nb: Ihefu 2-1Gongowazi. NBC Premier league 2023/2024
  9. This is...

    Tupia kauli za wachawi wa Yanga baada ya mechi ya Simba na Al Ahly

    Utopolo walienda na matokeo uwanjani. Walidhani Simba itafungwa. Haikua hivyo. Kauli zao kwa Sasa ni: 1. Simba asanteni kwa kushiriki. 2. Wakienda Misri watapigwa nyingi. 3. Ingekua Yanga tungeshinda goli 5 kama za KMC. 4. Al Ahly wa kawaida sana. 5......... 6......... NB: Uto mko kundi moja...
  10. This is...

    Bahasha ya Yanga inapogomewa matokeo halisi nayaona. Uchezaji halisi wa mpinzani utauona

    Bahasha zao ziko Mara tatu : 1.Watatoa bahasha kwa wachezaji wa timu pinzani wacheze chini ya kiwango. Na magoli marahisi rahisi Mara ya kujifunza nk 2.Watatoa bahasha kupitia kisingizio Cha Motisha kutoka kwa wapenzi na mashabiki wa timu pinzani. Hivi Sasa hivi TZ Prisons wamewekewa Tzs...
  11. This is...

    Utofauti na Ufanano wa Yanga na Simba kwa Sasa

    Timu zote zimefanya usajili mzuri , hivyo Zina vikosi vyenye wachezaji bora. Tofauti Ni Moja tu na kubwa kwa hizi timu kwa Sasa. Yanga wanacheza kwa kujituma na kujitoa kwa asilimia zote kuhakikisha timu inashinda na hata kulazimisha ushindi. Wanatoka jasho hasa. Simba morali ipo chini Sana...
  12. This is...

    Barua ya wazi kwa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba

    BARUA YA WAZI KWA MTENDAJI MKUU WA KLABU YA SIMBA Kwako Barbara Gonzalez Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba. Kwa heshima kubwa nakuandikia barua hii nikiwa na uchungu na masikitiko makubwa sana kutokana na makosa yanayojirudiarudia kwa wachezaji wa Simba wanapokuwa uwanjani. Nianze kwa kuuliza...
  13. This is...

    THE RITUAL: Jihadhari na Hawa matapeli wa kutengeneza betting tips

    Wameshatapeli wengi Sana. Watu wanalipia na mkeka hawatoi. Wanachofanya kila ukilipia wataleta gharama mpya Hadi uchoke ukimbie. Nina dogo wangu anasoma chuo X wamempiga laki na ishirini.
  14. This is...

    Dini ya kweli Ni kufanya kazi kwa bidii. Dini ya kweli Ni familia yangu

    Dini ya kweli Ni kufanya kazi kwa bidii na maarifa makubwa. Hii itazifanya familia na jamii zetu kuishi kwa furaha na aman. Hakuna mtu aliyeshiba mwenye vurugu. Aliyeshiba Anatafuta utulivu ili azidi kutengeneza utajiri. Unakuta mtu anakwambia anautetea uislam. Wanao wanakufa njaa wewe...
  15. This is...

    Kama serikali ina nia njema kuhusu mkataba wa bandari irekebishe vipengele vinavyolalamikiwa

    Kama nia ni njema na hakuna janja janja rekebisheni vipengele vinavyolalamikiwa kazi iendelee. Tusipotoshe kwamba kuna mtu anapiga huu uwekezaji na kuacha yale ya kweli yanayopigiwa kelele. HAKUNA mwenye shida na Waarabu wala uwekezaji wao bali ni huo mkataba wa kimangungo. 1. Semeni Dp world...
  16. This is...

    Kuhusu bandari: Kwanini hatutaki kujifunza huko Uingereza ambako DP world anafanya kazi?

    Ukiwasikiliza wabunge Hakuna aliyekuwa anatoa elimu Bali mama anaupiga mwingi na mipasho. Ukiwasikiliaa wabunge na wote waliochangia kutetea huwasikii wakigusia vile vipengele vinavyolalamikiwa. Hasa hili la Ukomo wa mkataba. Huwasikii wakiongea hili! Kuna Nini? Dp world anasimamia bandari...
  17. This is...

    Shirika la posta, Misitu yote, Loliondo Uwanja wa ndege wa KIA na Sasa bandari vyote wanapewa Waarabu

    Tulishampa Mwarabu Loliondo, tumempa shirika la posta, Tulishasaini MoU ya kumkabithi misitu yetu yote, tumempa Uwanja wa ndege wa KIA na Sasa tunachakata kumpa bandari zetu. Sultan anarudi au anarudishwa kwa njia nyingine. Kwanini ni wakati huu sultan amepamba Moto kuchukua rasilimali zetu...
  18. This is...

    Tunaacha kuweka misingi imara ya Elimu yetu tunaenda kuwavizia waalimu kwenye ajira

    Tunapaswa kutibu chanzo Cha tatizo kuanzia chini. Tunaweka misingi mibovu halafu tunaenda kuwavizia vijana mwenye ajira ya ualimu. Mtu kapitia Elimu ya awali, shule ya msingi, sekondari , chuo. Ni mitihani mingapi alifanya. Hii Ina maana kwamba hata waziri Hana imani na mitihani yetu na Baraza...
  19. This is...

    Kanuni zikitumika kwa haki basi mfungaji bora ni Saido Ntibazonkiza

    CEO wa bodi ya ligi Tanzania (TPLB), Almas Kasongo amesema kuwa Kamati ya Tuzo itaenda kukaa na kupitia vigezo gani vitatumika ili kuamua nani atapewa kiatu cha ufungaji bora wa ligi kuu ya NBC kwa msimu 2022/23 kati ya Fiston Mayele wa Yanga na Said Ntibazonkiza wa Simba baada ya kulingana kwa...
  20. This is...

    Naombeni Mchanganuo wa Gharama za kuanzisha kiwanda kidogo cha Mikate

    Kama kichwa Cha habari hapo juu. Ni kwamba niko katika eneo/wilaya ambayo kwa asilimia zaidi ya 85, watengenezaji na wasambazaji wa hiyo bidhaa ni kutoka katika viwanda vya mjini. Fursa naiona, kama nitaweza kusambaza hadi maeneo ya ndani vijijini, kwa sababu hawa wanaoleta wanasambaza katika...
Back
Top Bottom