Search results

  1. S

    Bank gani nzuri kufunguA fixed au saving account?

    Mkuu ebu njoo inbox kwa maelezo zaidi
  2. S

    Nalia na NSSF

    Mkuu mimi siku ikifika nafuu nife kwa kupigwa bomu kuliko kufa masikini na wakati hela zangu zipo NSSF, Hawa jamaa ni matapeli, pesa tulizochangishana sisi na waajiri wetu wao wanataka kutupangia namna ya kutulipa!!!?? huu ni wizi mkubwa na utapeli ulio pitiliza, Nyie NSSF mtatoa au hamtoi...
  3. S

    Tetesi: NSSF yawatangazia wafanyakazi wa Bulyankhulu Gold Mine kuchukua mafao yao baada ya kufikisha umri wa miaka 55

    Wadau poleni na kazi ya kukabiliana na hali zenu. Kuna tetesi kwamba NSSF wamefanya kikao jana tarehe 11/09/2017 na wafanyakazi wa Bulyankhulu Gold mine ambao wapo kwenye list ya redundancy na kuwataarifu kuwa watachukua fao lao la kujitoa mara watakapofikisha umri wa miaka 55. Yeyote ambae...
  4. S

    Mapendekezo Fao La Kujitoa, Kutua Bungeni...Confirmed

    mimi ni nafuu nife kwenye maandamano ya kupinga hili jambo kuliko kufa masikini. hawa fisiem waache kabisa kubeep
  5. S

    Twende Kahama sasa kwa precision air

    Wadau, kwa wale wanaotarajia kusafiri kuto Dar Kwenda Kahama kwa haraka huna haja tena ya kupanda mabasi, sasa Precision air inaanza route ya Dar - Kahama -Tabora -Dar. Ratiba ni Jumanne, Alhamis na Jumapili kuanzia kesho tarehe 5/09/2017
  6. S

    Waliopinga Wanyama asipewe mtaa walisema si uzalendo, Je Gor Mahia nao si wazalendo kwa kumpa Magufu

    sio kila mtaa uliopewa jina la mtu ni lazima awe amefanya kitu cha ajabu..mitaa mingine hupewa jina la mtu kwa ajili ya heshima tuu.kwani manzese uwanja wa fisi haya nambie hao ''fisi'' wameufanyia nini huo uwanja mpaka wakapewa jina????? bogazzzzzzzzzz
  7. S

    Milioni tano tano za shisha

    Wakuu naomba mnikumbushe, Bashite alizikataa zile milioni tano tano za wafanya biashara ya shisha, ila sikumbuki ni kina nani vile walizichukuaaa?
  8. S

    NSSF waja na hoja tatu kuhusu fao la kujitoa

    Hapa naona kama inatungwa agenda ili tusahau issue ya Vyeti. Nasema hivii sisi tunataka VYETIIIIIIIIIIIIIIIIII.
  9. S

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Wakuu hali ya maisha imekua ngumu sana, serekale (ki magufulili voice) badala ya kutafuta muafaka wa upatianaji wa ajira, kutatua shida za maji, elimu duni nk. ndo kwanza imeendele na wimbo wa kutumbua majipu. kwa hali hii serekale ya viwanda tutaishia kwenye viwanda Hewa na elimu hewa, naona...
  10. S

    Quiz

    So Emmanuel is a copy of Paulina's father
  11. S

    Msaada: Naomba kukopeshwa hela nimpeleke mtoto shule

    Elimu bure siku hizi mama, nakushauri umrudishe mtoto wko Kayumba Secondary school, kwakuwa alishapata mwanga kwenye hizo shule za hela atafanikiwa tu,
  12. S

    Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Motoa mada upo wapi? Ndiuka kwenye vitindi vya Ulanzi au?
  13. S

    Dodoma kimenuka, Polisi watanda eneo la mkutano, baadhi ya wananchi wanaandamana

    Loading.................................99.99%
  14. S

    Eti wanasema michepuko siyo dili? Sio kweli huyu wangu ni dili

    Baba Fanueriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  15. S

    Dodoma: Zimebaki tiketi 3 toka CC

    Loading....................
  16. S

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    6. Pesa zenu ni pesa za madafu- Muhongo 7.Hivi ni vijienti tu- Chenge 8.Hari mpya, Nguvu mpya na Kasi mpya-JK
  17. S

    Yaliyojiri bungeni Dodoma: Jumapili, 5 Julai 2015

    Oooooh GOD! Shamba la bibi linazidi kutafunwa na wezi,
Back
Top Bottom