Jiulize wewe je utapenda mamaako aolewe Mara ya pili,!? Ila kimaslahi akiolewa na mwenye kipato kizuri...ntamuita baba japo atakuwa BABA WA MBOGA Kwangu, ili kujenga urafiki
Inategemea na we we mwenyewe ulivomuapproach mwanamke kwa Mara ya kwanza... Kama uliji express kuwa matawi ya twiga, ndio unavuna hicho ulichokipanda kwake ili kuepuka aibu!
Msiba huu ulinigusa mno, sitamsahau huyu nguli/ gwiji, kwenye Jahazi....kwa zile comedy zake, hata kama mmekosana na mtu umekasirika utacheka tu!...lala Pema Kibs
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.