Search results

  1. UngaUnga

    Rwanda na Urusi waingia kwenye makubaliano ya nyuklia

    USD 1tri....! imposible! , BIG NO!
  2. UngaUnga

    Kaenda wapi msanii Nina wa Kaole?

    Nikikumbuka Yale Macho Yake! Mshedede Unacharuka!
  3. UngaUnga

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    habarini Tanesco, Mimi NI mkazi wa Tanesco mkoa wa ilala, Nyumba yangu iko ukonga, shida yangu kuu napenda kuuliza, nimepata tetesi kuwa wale tulikuwa na madeni na tukaingia katika mfumo wa malipo kwa njia ya LUKU mkoa wa ilala, tumefutiwa madeni je kuna ukweli wowote juu ya hili!? msaada...
  4. UngaUnga

    Nimezama kwenye penzi dada wa kazi. Ameondoka kwangu imekuwa kama msiba

    Acha ubazazi!, siku ukikimbiwa na mke, akili itakukaa sawa ndio utaujua umuhimu wa mke!
  5. UngaUnga

    Je, ni njia gani rahisi ya kumueleza mtu kuwa ana harufu mbaya ya kinywa?

    Akiwa anaongea bana pua kwa vidole! atajiongeza tu
  6. UngaUnga

    Mimba zisizotimia, vifo visivyotajwa na makaburi yasioonekana

    Mshana jr siku hizi madaktari hawachoropoi tena! kazi hii inafanywa na kidonge cha misoprostol! kimoja mdada anaweka mdomo wa chini kama ugoro vile,kingine kwenye mlango wa uke! akienda chooni tu kwisha kazi! wamerahishiwa uuaji!
  7. UngaUnga

    Bia ya safari ya kirikuu kuna kitu kinaongezwa?

    yap hii ndio bia ya kiume,inafuata balimi na charles glass kwa mbaali
  8. UngaUnga

    Bia ya safari ya kirikuu kuna kitu kinaongezwa?

    hakuna cha safari bamdogo wala bamkubwa hapa, ngumu ndo mwisho wa reli! nikitandika viroba vyangu 6 stimu tosha kabisa! sijui huko dar kama bado vinapatikana? kanda ya ziwa vipo kama njugu! ni mwendo wa kunyonya tu!
  9. UngaUnga

    Sifa za wilaya ya Kondoa na wakazi wa Kondoa

    Moja ulilosahau, hasa kwa warangi, wafupi weupe ni wepesi mno kukuvulia ile nguo ya ndani! na wanayajua mambo kwelikweli!
  10. UngaUnga

    Napata wasiwasi na mchumba wangu aendae chuo kikuu

    Mzee wa kazi magoti, ungespecify huyo demu anaenda chuo kipi, kama ni hichi kikuu mlimani ambiance!, hesabu 00
  11. UngaUnga

    MOROGORO: Serikali yafikiria kutoza kodi ya Utalii kwa watu wanaotumia barabara ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi

    Serikali iache kukurupuka! kipindi wanajenga hii barabara hawakujua kuwa inapita mbugani?! huyu waziri kingwangala hamna kitu.
  12. UngaUnga

    That's south Africa: high way patrol

    LEO MPAKA SAA HII HUONEKANI JUKWAANI! HILO JIMAMA LILILOKUKAMATA NA LISHINDWE KWA JINA LA YESU! LIKUACHIE KIDOGO BASI USHUSHE UZI HUMU!
  13. UngaUnga

    Nifanyeje ili wazazi wake wasije kutoa mahari?

    Bora hata wewe, mabachela nawashauri nenda bar angalia mrembo weka ndani!, kula mambo! mahari utalipa mdogo mdogo, bar kuna wanawake wazuri jamani, kama hujakaa nao sawa kuwahoji, aisee! niacheni tu na my malkia, maisha tu na kutengwa kunawasumbua!
  14. UngaUnga

    Ushauri: Mume wangu kampa mimba msichana wa kazi

    Mme wako atakuwa ni mfuasi mwenzangu wa kwa nabii tito! yuko sawa! maandiko yanasema hivyo! kula housgel si dhambi! maana bwana wa majesh asema na zaaneni na mkaijaze dunia! asema bwana! yeremia 33;3
  15. UngaUnga

    Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

    Hii nchi imejaa wapumbavu! yaani ununue saa mil.8 baada ya mwaka unapata bil 1.3! uliona dunia ya wapi biashara ya hivyo! aisee! utapeli kumbe ni kazi kama kazi zingine! tena inalipa kweli kweli,maana majinga kumbe yanaongezeka bado!
  16. UngaUnga

    Taja Baa ambazo zina Totooz za maana kiasi kwamba hata ukiumwa na Mbu husikii maumivu yoyote

    Hajauliza gulio ama mnada!, kauliza bar! kimboka sio bar, ni gulio! unanusa harufu za k na sh.ahawa mita 100 kabla hata hujafika pale
  17. UngaUnga

    Malawi yaiomba Tanzania kuiuzia gesi asili kwa ajili ya kuzalisha umeme

    Tanzania ndio inayochimba gesi? tuna ubavu huo! wabargain na wawekezaji kwenye sekta ya gesi, sisi ni watu wa mrahaba tu
Back
Top Bottom