Search results

  1. pakaywatek

    Stori gani uliwahi kusimuliwa kuhusu mchezaji wa mpira kumbe 'kamba'?

    Nadhani unamaanisha roberto carlos. huyu jamaa wakiwa wanacheza nadhani kombe la dunia Brazil vs ujerumani ilipatikana faulo nje ya kumi na nane golikipa akiwa oliver kahn. Wakati akina rivaldo wamejipanga na mabeki wa ujerumani akawa anawaonyesha ishara ya kusogea kwa mkono sasa akina...
  2. pakaywatek

    Mrisho Gambo: Ninao ushahidi wa watu waliotapeliwa Magari na Godbless Lema

    Nijibu nje ya kazi ya ubunge mrisho ana kazi gani nyingine acha porojo.
  3. pakaywatek

    Mrisho Gambo: Ninao ushahidi wa watu waliotapeliwa Magari na Godbless Lema

    Kwani nje ya ubunge aliopewa na jiwe ana kazi gani nyingine huyo mrisho?
  4. pakaywatek

    Biteko afuta likizo zote za Watumishi wa TANESCO

    Ni ujinga tu unamsumbua hao watumishi wazalisha megawati ngapi za umeme? Afu amwambie samia asije akakurupuka tena kutoa ahadi ya lini mgao utakwisha.
  5. pakaywatek

    Februari 1, 2024, ahadi ya SGR kuanza safari yayeyuka. CCM waongo sugu

    Kumbe bado unaamini maneno ya viongozi wa CCM?
  6. pakaywatek

    Tetesi: Kikosi Kazi cha Prof Mkandala na Zitto Kabwe ndio kiliomba itengwe bajeti ya Elimu ya Katiba kwa miaka 3!

    Siku alipowateua na kumpa ripoti ya kwanza Kuna kauli aliwapa kuwa "huku ndo kujiajiri mwenyewe" baada ya kumwambia kuwa katiba mpya Haina haja kwa Sasa labda baada ya uchaguzi unao.
  7. pakaywatek

    Wana CCM tujibu hoja za kinachoendelea Ngorongoro. Tumeshindwa kujibu kama hoja za TEC?

    Hawa Marais kutoka pwani hawafai mwinyi aliuza ngorongoro kwa waarabu wakahaha wawahamishe wamasai wakashindwa pa kuwapeleka mda wake ukaisha kabla ndugu zake wa kiarabu hawajawaamisha wamasai. Mkapa akakuta ule mkataba uliouza nchi nani ya nchi hauvunjiki akawaacha wamasai waendelee kukaa...
  8. pakaywatek

    Siasa zimefika patamu, leo Tundu Lissu wamemparura, tusubiri Mkito wake akijibu Mapigo

    Lisu katekenya kidogo kwa kwenda kuwasalimia wamasai wanadai katukana, kwani kuwasalimia wamasai ni tusi? Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  9. pakaywatek

    Rais Samia alijifunza nini akiwa Makamu M/Kiti wa Bunge la Katiba 2014?

    Magu alituuzia mbuzi kwenye gunia
  10. pakaywatek

    Rais Samia: Katiba mpya hadi watu wasome waelewe maana ya katiba hata hii tuliyonayo

    Kwani akina jaji warioba walipozunguka kupata maoni walizunguka kwenye mawe SI watu! Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  11. pakaywatek

    Hatimae Chama na Fabrice Ngoma wajiunga na wenzao Uturuki

    Baada ya sintofahamu kuhusu cloutus chama na hatma yake hatimae kaingia uturuki akiambatana na Fabrice Ngoma.
  12. pakaywatek

    Yanga hawajasajili mchezaji hata moja

    Kilichokukasirishanini! JamiiForums mobile app
  13. pakaywatek

    Yanga hawajasajili mchezaji hata moja

    Ndiye amezuia msisajili? JamiiForums mobile app
  14. pakaywatek

    Yanga hawajasajili mchezaji hata moja

    Hapana ni taarifa tu, Sasa waulize viongozi wenu kwa Nini hawajasajili mchezaji hata moja. JamiiForums mobile app
  15. pakaywatek

    Yanga hawajasajili mchezaji hata moja

    Hii ni ya Leo toka TFF JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom