Search results

  1. Super Msouth

    Shida ya Umeme wanaohusika wajiuzuru

    Nipo Newala Mjini wiki ya pili sasa hali ya umeme ni mbaya kupita kiasi. Tangu nimefika na sasa shida imezidi wiki iliyopita umeme ulikua unawaka kati ya masaa 4-6 kwa siku. Wiki hii Jumatatu umeme uliwaka masaa 6 kwa siku, Jumanne masaa 3 kwa siku, Jumatano umeme uliwaka chini ya saa 1 kwa...
  2. Super Msouth

    Serikali inawabagua wanafunzi wa shule binafsi; ushahidi huu hapa

    Hivi huwa mnawaza watoto wote wanaofanya vizuri kwenda baadhi ya shule wenye ufaulu wa wastani wanabaki, form matokeo yao yatakuwaje
  3. Super Msouth

    Hivi ni; Bila CCM Imara nchi yetu Itayumba au Bila Upinzani Imara nchi yetu Itayumba?

    Nyerere hakuwa mfuasi wa vyama vingi ingawa aliingia madarakani kupitia chaguzi za vyama vingi
  4. Super Msouth

    Ikiwa leo hii Rais Samia anatia sahihi makubaliano ya ulinzi na usalama na Msumbiji basi kuna kitu kiliharibika hapo nyuma

    Serikali yetu ya Tanzania haitilii maanani ushirikiano kati yetu na Msumbiji kiulinzi na hata kibiashara nchi inahitaji viongozi wenye mitazamo mipana ili kuimarisha usalama wa nchi na hata maendeleo ya nchi tunahitaji ushirikiano thabiti na huku tukiweka malengo ya muda mfupi na mrefu na...
  5. Super Msouth

    Baadhi ya mashtaka ambayo hayati John Magufuli angeweza kufunguliwa iwapo asingefariki

    Usianzishe mada kama unategemea mawazo yako na mitazamo yako inafanana na wengine, kinachofanya wengine waonekane bora na wengine waonekane dhaifu ni utofauti wa mitazamo, ndugu yangu inabidi uendelee kujifunza kwa wengine
  6. Super Msouth

    Viongozi kumi bora kuwahi kutokea hapa Afrika mpaka sasa

    Aliyesema ubaguzi unaisha kwa violence nani?
  7. Super Msouth

    Viongozi kumi bora kuwahi kutokea hapa Afrika mpaka sasa

    Kuubakisha ubaguzi unaona ni sifa?
  8. Super Msouth

    Baadhi ya mashtaka ambayo hayati John Magufuli angeweza kufunguliwa iwapo asingefariki

    Soma katiba ndugu yangu, katiba yetu Rais akifanya makosa hashitakiwi
  9. Super Msouth

    TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

    Hivi kwa nini zisiwepo kodi rasmi kulingana na manunuzi? Haya mambo ya makadirio ni kuumizana tu
  10. Super Msouth

    Waziri Nchemba: Hata mimi ni binadamu tu, ninakosea

    Tozo zifutwe zibaki kodi zilizo kisheria
Back
Top Bottom