Search results

  1. C

    Nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga

    Mwanamke anaejielewa na kujielewa anaanzaje kuomba hela!!
  2. C

    Unawezaje kuhandle mahusiano ambayo huna furaha nayo

    Wewe ndiye unayeruhusu au kuto kuruhusu furaha katika maisha yako...ni perspective tu unafocus wapi...kwenye mikwaruzo jenga tabia ya kuzungumza na muhusika...
  3. C

    Trucks and truckers special thread. Uzi maalum kwa wadau wa magari ya mizigo na wasafirishaji

    Vipi kama mtu anataka kupata taarifa kuhusu wasafirishaji wa mizigo na bei zao?
  4. C

    Napata changamoto kubwa katika kupanga mambo yangu

    Kwanza weka mambo haya akilini kwako na kumbuka kila mara unapotaka kufanya mabadiliko 1. Any change to behavior should be incremental. Hakikisha unajua unabadilisha nini, kwa muda gani, unaaniza wapi na target yako ni nini. Kisha fanya hayo mabadiliko kwa kujiongezea targets only after...
  5. C

    Magomeni: Basi lingine la UDART lagongwa

    Tatizo hakuna elimu ya utumiaji barabara kwa wananchi not to mention questionable drivers katika umiliki wao wa leseni na uzingatiaji wa sheria za barabarani. This is a deep rooted problem wala sishangai.
  6. C

    Mrejesho: Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Pole sana na Mungu azidi kuwa nawe...wengine tumejifunza kupita kwako, asante kwa kushare story yako.
  7. C

    Nimethibitisha kuwa maisha hayana maana. 'The life has no purpose'

    Nani kakwambia Mungu hajamfanya binadamu kumjua japo si lazima kumuelewa? Binadamu mpaka leo hajui siku yake ya kufa hata kusababisha kuweza kuizuia. Binadamu mpaka leo anafanya utafiti ili awe na evidence ya kupinga, kujenga au kukosoa theories zilizopo kuhusu creation yet Mungu kakujuza kama...
  8. C

    Nimethibitisha kuwa maisha hayana maana. 'The life has no purpose'

    How can something that is finite comprehend that which is infinity...
  9. C

    Faida za Windows phones

    Kwenye windows phone apps za MS office zipo fresh. Mtu unaweza kuedit/kusoma MS documents kirahisi. Ila ina limited apps ukicompare na android na updates za most apps zinakuja late sana ukicompare na za android
  10. C

    Video review Sophia Sophia wa benpol

    Napenda sana nyimbo za Ben pol na anajitahidi....ila inabidi aongeze kiwango kwenye video zake coz haziwezi kucompete kwenye internatiola market! He should invest more
  11. C

    Namtafuta mwanangu, alizaliwa mwaka 2002

    Lucy did well...13 yrs is too long for you to even care now. Plus you have the nerve to set demands!
  12. C

    Msaada: Kwa wakristo

    Tusingekua na mkombozi. Na kama binadamu wasiokamilika (sinful) tusingeweza kuwa right na Mungu. Mungu is without sin and he can't abide where there is sin. All in all, God had/has predestined all including our lives.
  13. C

    Kuna huduma Western union 24 Hrs?

    Next time mwambie aliyekutumia atumie mobile transfer....western union unaweza tumia option ya kumtumia mtu from abroad via voda m-pesa.
  14. C

    Oscar Pistorius afungwa Miaka 5 jela baada ya kupatikana na hatia

    Bora maana angepewa custodial sentence pasingekalika...was an interesting case
  15. C

    Ebitoke !!!

    Uwiii nimetamanije.... my favorite food in the world!
  16. C

    Ebola fears over UK school trip to Tanzania

    Well, as far as I know, kwenye prominent news sources hakuna mtanzania aliyekua reported akiwa na Ebola huko US.
  17. C

    Mwalimu na mwanafunzi wake

    Hahaha dogo safi sana
  18. C

    Ebola fears over UK school trip to Tanzania

    Mmmh a Tanzanianwith Ebola tena kapata from a prostitute. Hizi habari si sahihi!
  19. C

    Ushauri Muhimu kwa Wanaoanza Elimu ya Juu Mwaka Huu

    Ushauri mzuri wa kuwajenga vijana
Back
Top Bottom