Search results

  1. G

    Filikunjombe: Serikali ya CCM imevaa miwani ya mbao

    Mhe Deo Filikunjombe ni mzalendo na Mbunge anayejua anachotakiwa kufanya Bungeni, Long live Comrade Deo you will be respected whenever you go!
  2. G

    TRA vs TANAPA vs NSSF

    Mishahara kwenye taasisi inapangwa kulingana na vyeo kwa hiyo ni vigumu sana kugeneralise kwamba taasisi flani wana pata mshahara mkubwa kulipo taasisi fulani bila kutaja specific job category au cheo, muulizaji angeweza kuuliza labda kwa vyeo vya kuanzia watu wenye elimu ya degree kwenye...
  3. G

    Natafuta Kazi Usalama Wa taifa

    nenda ofisi ya mkuu wa wilaya iliyo karibu na wewe mtafute mtu anaitwa DSO hawa jamaa ndio wanapewa taarifa za nafasi kama zipo na ndio wanarecommend watu wa kuajiriwa na TISS. Naamini atakupa ushirikiano na ushauri mzuri kuhusu jinsi wanavyoajiri
  4. G

    nimeitwa kazini afisa tarafa.

    Hongera sana na karibu katika utumishi wa umma, umepangiwa wapi?
  5. G

    Natangaza rasmi kugombea udiwani kata ya Igoma jijini Mwanza kupitia CHADEMA 2015

    Nakuunga mkono asilimia 100% peleka jina kwenye chama,
  6. G

    Nichukue PCM au PCB, naomba ushauri wako

    mdogo wangu nakutaarifu kwamba huku Serikalini kwa muundo wa sasa wa kada za utumishi hakuna ajira au nafasi ya kazi ambazo vigezo vyake ni kumaliza PCM au PCB, Huku Serikalini ajira ambazo zipo kwa waliomaliza Kidato cha 6 nyingi zipo kwenye Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama napo hawanglii...
  7. G

    Nichukue PCM au PCB, naomba ushauri wako

    mdogo wangu nakutaarifu kwamba huku Serikalini kwa muundo wa sasa wa kada za utumishi hakuna ajira au nafasi ya kazi ambazo vigezo vyake ni kumaliza PCM au PCB, Huku Serikalini ajira ambazo zipo kwa waliomaliza Kidato cha 6 nyingi zipo kwenye Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama napo hawanglii...
  8. G

    Nicholas Ngowi: Bado nitalipigania taifa langu kupitia CHADEMA

    Pole sana rafiki yangu Mungu akujalie upone haraka.
  9. G

    Kubadilisha wizara

    mtoa mada hujaeleza vizuri! wewe ni mwalimu wa shuleni au chuo cha ualimu? manake siku hizi walimu wote wa shule mwajiri wao ni mkurugenzi wa halmashauri, isipokuwa walimu wa vyuo vya ualimu ndio bado wapo chini ya wizara ya elimu. Ni vigumu na haiwezekani kuhamishwa ukiwa mwalimu ukahamishiwa...
  10. G

    haya ndiyo matokeo ya mpwa wangu!

    halafu matokeo ya mwaka huu sijui kwa nini hawajayatoa majina, mi kuna ndugu yangu kasema kasahau no yake sijui huyo atasaidiwa vipi?
  11. G

    Wanaume wenye sura hii hutokea kuwaabudu wake zao…!

    aisee duu, naiona imekaa too general
  12. G

    Ndani ya FASTJET...

    Ok Mr Wakinyora nimekupata na kukuelewa vizuri sana, nashukuru kwa taarifa.
  13. G

    Ndani ya FASTJET...

    hizo bei za juu baada ya hizo nafasi 30 kuisha ni sh ngapi?
  14. G

    Ndani ya FASTJET...

    kama yule Denis Berkamp aliyekuwa anachezea Arsenal, jamaa alikuwa hapandi ndege kabisa na kama timu yake ya arsenal ilikuwa inakwenda mbali ambapo usafiri ni ndege tu alikuwa haendi yeye ni mabasi na treni . jamaa alikuwa changamoto sana kwenye timu yake
  15. G

    Bunge lageuzwa ukumbi wa ngonjera.

    Kigwangala sio makosa yake ni makosa ya kamti kuu ya ccm kumpitisha kugombea ubunge wakati wana ccm wa nzega hawakumpitisha. anajivunia kiburi cha mama 1
  16. G

    Cacico so sorry dear,God loved him most.

    Tuwasiliane mkuu, ili tuweke kumbukumbu sawa my mobile is 0658777859
  17. G

    Cacico so sorry dear,God loved him most.

    Ana hali ngumu sana huyu mwenzetu hali hii ilinikuta mimi tarehe 31/12/1994 pale ambapo wazazi wangu walipata ajali mbaya sana ya gari ihumwa dodoma walipokuwa wanatoka kula krismas rombo ambapo mama yangu mzazi alifarik hapohapo na baba yangu kupata majeraha mabaya sana yaliyomfanya akae ICU...
  18. G

    Cacico so sorry dear,God loved him most.

    Pole sana kwa msiba, nipo nje kidogo ningekuwa bongo ningefanya juu chini niwemfariji wako kipindi hiki kigumu. Mungu alito Mungu ametwaa jina lake lihadimiwe
  19. G

    Kwa wanaotaka kusoma nje ya nchi

    By mhalisi Dismas Lyassa ni Agent wa vyuo ambaye ni mbabaishaji na tapeli. kama sio utapeli na ubabaishaji na kama wewe ndiye Dismas Lyassa kama unavyojitetea kwa nini utumie jina la petty marcel huku jf sisi watu ambao tupo makini na wawazi tunatumia majiana yetu halisi. Any way...
  20. G

    LOVE and SEX!! Mmmmh...

    aisee embu turushie kiaina tuicheki, ila usimwambie, ili na sisi rough riders tujifunze
Back
Top Bottom