Search results

  1. M

    Who is Maharage Chande?

    Sure. Nilimfundisha hapo Kinondoni. Ila alikuwa anaitwa Chande Maharage. Kumbukumbu yangu kumhusu ni kwamba alikuwa mwanafunzi mzuri mwenye kupenda kujua/kuelewa. Yani kitu asipokielewa atakusumbua mpaka kieleweke. Pia alikuwa msafi na mtanashati sana
  2. M

    Kampuni gani nzuri kwa kuagiza gari nje

    BIFORWARD NIMESHAWATUMIA NI WAZURI HAWANA USWAHILI/ GARI KUCHELEWA HUTOKANA NA TIMING YA WEWE UNAPOAGIZA NA MELI INAPOONDOKA KULE. UCHAKAVU WA GARI NI CHOISE YAKO MWENYEWE. VINGINEVYO JARIBU SBT
  3. M

    Kampuni gani nzuri kwa kuagiza gari nje

    TRADECARVEW HAWANA OFISI TZ. WANATUMIA MAWAKALA KAMA WALMAX AMBAO SIKUSHAURI MAANA WALINISUMBUA SANA MIMI NA VITU VILIPOTEA!
  4. M

    Mungu mbariki Salim Ahmed Salim. Yadaiwa anaumwa, yupo kwenye matibabu

    Huyu ni katika viongozi wachache waadilifu katika nchi hii. We missed him as president some time back. Mizengwe ilikuwa mingi. Ooo hajaishi tz, oo mara haijui nchi maana muda wote yuko marekani. Ilimradi kila mtu alikuwa na la kwake. Nikajiuliza, wazungu na waarabu walipotoka watokako...
  5. M

    Shinyanga: Mfanyakazi wa TTCL afariki kwa kupigwa jiwe na Mumewe

    Hujui kusoma? Mke aloshajiondokea akaenda kupanga na wanae
  6. M

    Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

    Bora hata uokotwe mafinga uzikwe tujue moja kuliko ya kupotea kama saanane jamani
  7. M

    Liwa ni nini?

    Liwa is Sandal wood in english
  8. M

    Duka La Vifaa Vya Mapenzi

    Mbona hamsemi hizo sex toys zinakopatokana Dar? Mmebaki mnalumbana tu majibu hamtoi
  9. M

    Rais Magufuli ateua Wakuu wa Mikoa, Makonda apangiwa Dar

    Wakristo wametumbuliwa mwanzo mwisho sijasikia comments za udini. Mkuki kwa nguruwe
  10. M

    50th anniversary of Weruweru Girls Secondary School - the golden ladies jubilee

    Yule mama yetu ni MAMA wa ukweli! Alitulea kama watoto wake wa kuwazaa. Alikuwa na uchungu na sisi kwa namna ya tofauti. Alijaribu kila lililowezekana kuondoa tofauti za backgrounds za wanafunzi (ukizingatia kipindi cha MWALIMU wanafunzi walikuwa wanaletwa toka kila pembe ya nchi with different...
  11. M

    50th anniversary of Weruweru Girls Secondary School - the golden ladies jubilee

    Yule mama yetu ni MAMA wa ukweli! Alitulea kama watoto wake wa kuwazaa. Alikuwa na uchungu na sisi kwa namna ya tofauti. Alijaribu kila lililowezekana kuondoa tofauti za backgrounds za wanafunzi (ukizingatia kipindi cha MWALIMU wanafunzi walikuwa wanaletwa toka kila pembe ya nchi with different...
  12. M

    Tapeli rachel atafutwe

    hii inaonyesha ni jinsi gani rushwa ya nchi hii imefika mbali hata soni hakuna tena
  13. M

    changamsha akili kidogo

    don kil m, let'm go
  14. M

    Boil brain.

    nani kakwambia kisima kina maji? mnapewa maswali rahisi mnayacomplicate matokeo yake mnatoa majibu ambayo si ya maswali husika ndo maana mnafeli
  15. M

    Sijui kama siku hizi zipo hizi

    kuloweka kanga mpya na maji ya chumvi eti isichuje au kupauka
  16. M

    Nafasi za Kazi Hizi Hapa changamkia!

    naomba jukwaa la mizaha
  17. M

    50 People Who Are Screwing Up Tanzania

    hiki kiingereza kinanipa mashaka "i do it with A passion?"
  18. M

    "Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

    mzimu wa mwangosi na wengine tusiowajua, na vilio vya ulimboka polisi mpooooo!
  19. M

    "Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

    Angalieni nyie polisi. Mliokabidhiwa kulinda usalama wa raia na mali zao. Badala yake mmekuwa ndo tishio la usalama wao na mali zao. Mnadhani mungu hawaoni? Mmemuua mwangosi akiwa mikononi mwenu hana silaha. Ni uonevu mkubwa hata kichaa aneona na kuikemea hiyo, sembuse mungu? Huyo ndiye mungu na...
  20. M

    Kilimo, soko na faida za Uyoga

    Kilimo cha uyoga ni taaluma ya microbiology au to be more specific, mycology. Ukikutana na wachakachuaji watakufrustrate utalia. Kwa habari za uhakika kuhusu taaluma au kilimo hiki unabidi upate mafunzo na taarifa sahihi toka kwa wataalamu. Wasiliana na namba zifuatazo kwa taarifa sahihi za...
Back
Top Bottom