Search results

  1. M

    Mbunge wangu simuoni jimboni wala simsikii bungeni jamani nisaidieni kwa hili

    Ndugu wana JF naleta kwenu hapa jamvini kero yangu kubwa nlonayo pengine naweza kupata mawazo ya kunifariji kidogo. Ndugu zangu Mbunge wangu simwoni jimboni wala bungeni simsikii kabisa sasa sijui imekula kwe2 au ni vipi, Mbunge huyo sie mwingine bali ni Mh. Dr. Cyril Chami jamani duuuuuuuuuh!!!!!
  2. M

    Eti bikini a.k.a chupi ya kikamba kazi yake ni nini? Nijuzeni mie?

    Ndugu wana Jamii Forum nashindwa kupata jibu sahihi ni nini kazi ya "BIKINI" a.k.a chupi ya kikamba
  3. M

    CUF vipi? Mbona siwasikii tena wametokomea wapi?

    Ndugu wadau wa Jamii Forum najaribu kujiuliza na kufikiri mara 2 mbili lakini sipati jibu! Hivi hawa jamaa wa CUF wamo kwenye ulingo kweli au hawajielewi baada kufunga ndoa ya mkeka kule Zenji Bar?? Naomba kuwasilisha.
  4. M

    Namshukuru Mungu nimetimiza ndoto zangu za kufungua ofisi ya CHADEMA-M4C...

    NAMSHUKURU MUNGU NIMETIMIZA NDOTO ZANGU ZA KUFUNGUA OFIS YA CDM-M4C TWENDE KAZI
  5. M

    TBC haitendi haki sawa kwa vyama vyote vya siasa

    Ndugu wana J-Forum napenda kuleta jamvini suala moja ambalo linanikera sana. Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu habari za kituo cha TV ya Taifa TBC imekuwa ikitoa habari kwa kupendelea chama cha mapinduzi kwa kurusha ktk taarifa za habari chaguzi zake mbalimbaali ndani ya chama sehemu mbalimbali...
  6. M

    M4C, Mkoa wa Kilimajaro mmetusahau jamani hasa hasa Moshi (v)

    kwa heshima na taadhima naomba nitoe ujumbe wangu kwa uongozi wa cdm mimi kama mwana m4c ambae nilizindua m4c pale naura springs hotel. Ktk mkoa mzima wa klm m4c bado haijafika kabisa hivyo basi naomba kutoa wito kwa cdm kuangalia upya ratiba ya m4c hasahasa moshi vijiji kwa kwa mh. Cyril chami...
  7. M

    Kama sio chadema wamachinga wa Arusha wasingepewa NMC

    Ndugu wadau katika kile kinachodaiwa kuwa ni mbinu chafu za nyinyiemu za kuzima moto mkali wa cdm usiozimika hivyo kutwa uwanja uliokuwa ukitumiwa na cdm kwa ajili ya mikusanyiko kwa wamachinga. Hata hivyo tunaishukuru cdm maana wao ndio chachu iliyosababisha wamachinga kupata eneo la biashara...
  8. M

    Jamani kuoa ni kazi sana acheni tu

    Wandugu suala la kuoa sio mchezo maana hii ni practical experience naitoa , kuna watu sasa hivi hawapokei simu zangu kisa mchango wa harusi jamani mhm. Nishaurini jamani
  9. M

    Zingatia wakati wa kutuma maombi ya kazi - cv

    AFRICAN UNION UNION AFRICAINE UNIÃO AFRICANA AFRICAN COURT ON HUMAN AND PEOPLES’ RIGHTS COUR AFRICAINE DES DROITS DE L’HOMME ET DES PEUPLES P.O Box 6274 Arusha, Tanzania, Tel: +255 27 2050111; Fax: +255 27 2050112 The curriculum vitae must be presented in the following prescribed format...
  10. M

    Sobodo amwaga bingo kwa cdm asema anaikuabali kwa kutetea wa tz

    Wana JF kada maarufu wa NYINYIEMU ameendelea kuimwagia mihela CDM na kuaema kwamba anawakubali kwa mchango wao kwa wa TZ
  11. M

    Mgomo wa daladala moshi kuna mkono wa nani?

    Ndugu wana JF nauanzisha uzi huu mahususi kuzungumzia suala la mgomo wa DALADALA hapa MO town, je kuna mkono wa mtu? Naomba kuwasilisha
  12. M

    Zingatia wakati wa kutuma maombi ya kazi

    Wadau napenda kuwaletea humu jamvini vitu muhimu vya kuzingatia kwenye CV wakati wa kuomba kazi sehemu mbalimbali. i.e. JOB APPLICATION FORMAT ------------------------------------------------------------------------------------------------------------ POST: 1. PERSONAL DATA Name Contact...
  13. M

    Nape mbona arusha hauji?

    Waraka huu ni kwa katibu wa itikadi na uenezi wa nyinyiemu namuuliza kuwa mbona arusha hauji? Tunakusubiri sana huku, naomba kuwasilisha!!!!!!!!!!!!!
  14. M

    Sijui ni kwanini nimeachwa kuteuliwa mkuu wa wilaya

    Wana JF mpaka sasa sijui ni kwanini nimeachwa katika uteuzi wa wakuu wa wilaya walioteuliwa hivi karibuni SIFA ZOTE NNAZO!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Naomba kuwasilisha
  15. M

    Shimo la panya halizibwi na mkate

    Ndugu wana jf shimo la panya halizibwi na mkate maana ndo kitakuwa chakula cha panya huyo huyo
  16. M

    Ndesamburo kugharamia kadi 500 kwa wanachama wapya arumeru

    Mbunge Ndesa pesa atagharamia kadi zipatazo hizo, habari ndo iyo
  17. M

    Pendekezo: Joshua Nassary apeperushe bendera ya CHADEMA Arumeru

    Wadau mimi napendekeza CDM kumpitisha J. nassary kupeperusha bendera ya chama huyu kijana yupo fiti namfahamu
  18. M

    14 - 02 - 12 = 0

    Valentine Day has been cancelled this year it has been proved mathematically!!!
  19. M

    Bunge la jamii forum limezorota

    Wadau vipi mbona kimay siku izi? Mh. Liverpool vipi au vikao vya kamati vimekubana????
  20. M

    Hon. Freeman a. Mbowe (mp-hai constituency) you deserve congratulations

    Jamani hii haipingiki hata kidogo kwa nliojionea jana, this man ni moto wa kuotea mbali!!! Au nyie wadau mnaona imekaaje hii??? Naomba kutoa hoja
Back
Top Bottom