Search results

  1. MUSIGAJI

    Wapi naweza kupata oil chafu kiasi cha kutosha kupaka mbao

    Wakuu habari za muda, nipo jijini Dar Es Salaam, niliweka mada kuhusu mbao nilizoezekea kubunguliwa. Nimepata michango miongoni mwa wadau akaniambia kupaka oil chafu. Je ninaweza kupata wapi kiasi cha kutosha kwa ajili ya shughuli hiyo?.
  2. MUSIGAJI

    Dawa ya kuzuia mbao za paa kubunguliwa

    Habari wakuu, Tafadhali naomba mwenyevkujua dawa ya kupaka mbao nilizopaulia zisibunguliwe anitajie nikanunue. Naona mbao zilizopaulia zimeanza kuliwa. Asanteni sana
  3. MUSIGAJI

    Wapi naweza kununua mbuzi kwa bei nafuu?

    Wakuu habari za kutwa, Samahani naomba mwenye uelewa anisaidie.Kati ya vingunguti,Pugu na Madizini wapi ninaweza kunununua mbuzi (1) tu kwa bei nafuu zaidi? Na kwa sasa bei ya mbuzi ni wastani wa shilingi ngapi? Asanteni.
  4. MUSIGAJI

    G money Financial services Limited.

    Habari wanabodi. Najua JF ni msitu mkubwa, ninaomba mwenye kujua hawa watu mahali walipo aninuze. Nina shida nao kwelikweli. Pamoja na mambo mengine wana/ walikuwa wana jihusisha na mambo ya miamala. Walikuwa mawakala wakuu wa Halotel pengine na mitandao mingine. Tafadhali mwenye kufahamu...
  5. MUSIGAJI

    Katiba inasemaje ikitokea Majaji wanne wakaitisha press Serena?

    Wakuu habari ya mapumziko ya mwisho wa wiki?. Kesho ni siku muhimu inayosubiriwana Wakenya kujua msitakabali wa kiongozi wao. Majaji saba wa mahakana ya upeo hivi sasa wamejifungia wakiandika hukumu ya shauri la kumthibitisha Ruto au kufuta uchaguzi Hukumu hiyo itasomwa na Mh Jaji mkuu.Kama...
  6. MUSIGAJI

    Kanali Josiah John Pombe

    Wakuu, Kheri ya maadhimisho ya siku ya Uhuru. Katika utambulisho wa viongozi wa gwaride Uwanjani,Nimesikia, aliyebeba bendera ni Kanali Josiah John Pombe. Je huyu ni mtoto wa Hayati John Pombe Magufuli au ni mtoto wa Mtanzania mwingine tu aitwaye John Pombe?.
  7. MUSIGAJI

    Pato la Mtanzania mwaka 2020 ni Tsh. 2,653,790

    Watanzania wenzangu, hongereni kwa nchi yetu kutimiza miaka 60 ya Uhuru. Jana katika hotuba Yake kwa Taifa Mh Rais atoa takwimu mbalimbali ya wapi tulipokuwa kipindi tunapata Uhuru na wapi tumefikia baada ya miaka 60 ya Uhuru. Moja ya takwimu zilizotolewa ni pato la Mtanzania mwaka 2020. Mh...
  8. MUSIGAJI

    Tatizo la mtandao, Airtel money kila siku jioni

    Wakuu habari za majukumu?. Nimekuwa Niki observe tatizo la mtandao katika ufanyaji wa miamala ya Airtel money kila siku jioni angalau kuanzia saa moja mpaka saa tatu. Katika muda tajwa hapo kila unapojaribu kufanya muamala unaambiwa request not completed. Je Management ya Airtel imeridhika na...
  9. MUSIGAJI

    Mfungwa mwenye kesi nyingine anapoenda Mahakamani anavaa sare za wafungwa?

    Naomba kueleweshwa,Je mfungwa anayeshitakiwa kwa kesi nyingine ( Si rufaa ya kesi iliyomtia hatiani) anapoenda mahakamani anaenda na sare ya magereza kama anavyoenda hospital akiugua au anaenda na nguo zake za kawaida?
  10. MUSIGAJI

    Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    Wanajukwaa poleni kwa kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa Taifa letu,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Bila shaka baada ya Hukumu ya Lengai Ole Sabaya kuhairishwa tarehe 1/10/2021 ilipangwa kwamba itatolewa leo. Hivyo tuelekeze masikio yetu katika viunga vya mahakama. ======= Aliyekuwa...
  11. MUSIGAJI

    Pendekezo, Machinga na dodoso la sensa 2022

    Wakuu nawasalimu. Ninapendekezo, ili tuweze kujua uhalisia wa idadi ya wananchi wanaojishughulisha na biashara zisizo rasmi,Ninashauri madodoso ya sensa mwaka 2022 Tufanye marekebisho kidogo. Katika sehemu ya kazi tubadilishe madodoso tusiishie kuweka option ya MWAJIRIWA au MFANYABIASHARA au...
  12. MUSIGAJI

    Arusha: Hukumu ya kesi inayomkabili Lengai Ole Sabaya imeahirishwa hadi Oktoba 15, 2021

    Wanajukwaa nawasimu, Hongereni kwa kuendelea kuchapa kazi na kulijenga Taifa letu. Kama nitakuwa ninakumbuka vema, ilisemwa tarehe ya leo (1/10/2021) Ni siku ya hukumu ya Kesi ya Lengai Ole Sabaya ( Kesi ile ya mwanzo). Je kumbukumbu zangu ziko sawa?. ========= Mahakama ya hakimu mkazi...
  13. MUSIGAJI

    Mpaka muda huu, kuna yeyote aliyepata mrejesho wa ya tamko la tozo?

    WanaJF, Kutokana na kauli ya msemaji ww serikali aliyoitoa juzi, Leo ndo siku ya tamko rasmi juu ya mustakabali wa tozo za miamala. Je, mpaka muda huu, kunaueyote ambaye amepata update ya tamko tajwa atujuze?
  14. MUSIGAJI

    Naomba kufahamishwa muda wa kuomba mkopo HESLB

    Wakuu habari ya majukumu? Tafadhali naomba kufahamishwa ni wakati gani hasa wa kufanya taratibu za kuomba mkopo wa HESLB? Je, ni mara tu baada ya kumalizika mitihani ya kidato cha sita au ni baada ya katokeo kutoka? Nitashukuru sana.
  15. MUSIGAJI

    Sikio langu la kushoto limeanza kuwa na shida ya kutosikia vema

    Wakuu nawasalimia, Sikio langu la kushoto limeanza kuwa na shida ya kutosikia vema, wakati fulani nahisi linakuwa linaziba wakati mwingine linafunguka. Naomba kuelekezwa kwa Dar es Salaam naweza kwenda hospital gani au kwa Daktari gani wa sikio nikapata tiba ya uhakika?. Natanguliza shukrani.
  16. MUSIGAJI

    Tochi za kuthibitisha noti halali

    Wakuu habari ya majukumu? Naomba kusaidiwa wapi ninaweza kupata zile tochi zenye mwanga maalumu, zinazosaidia kutambua alama mbalimbali za noti, ili kubaini noti halali na noti feki?. Natanguliza shukrani.
  17. MUSIGAJI

    Msaada tutani kuhusu Vodacom

    Wanabodi habari nawasimu. Kuna Jambo limetokea kwa dada fulani kwa kweli imenishangaza nikaona niilete hapa pengine ninaweza kupata mawazo na ushauri nikamfikishia au wahusika VODACOM wanawaza kushughulikia suala lake na kulitatua. Huyu Dada anasimamia ofisi fulani inayoshughulika na huu...
  18. MUSIGAJI

    Msaada tutani kuhusu Vodacom

    Wanabodi habari nawasimu. Kuna Jambo limetokea kwa dada fulani kwa kweli imenishangaza nikaona niilete hapa pengine ninaweza kupata mawazo na ushauri nikamfikishia au wahusika VODACOM wanawaza kushughulikia suala lake na kulitatua. Huyu Dada anasimamia ofisi fulani inayoshughulika na huu...
  19. MUSIGAJI

    Uchaguzi 2020 ITV leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu?

    Wanabodi habari ya majukumu? Nipo naangalia taarifa ya habari ya ITV naona leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu. Je, leo Mh Lissu hakufanya mikutano? ITV ni vizuri muwe mnatupa taarifa mapema siku ambazo hakuna taarifa za Lissu tusiwetunapoteza muda, angalau tuwe tunafanya mambo mengine.
  20. MUSIGAJI

    Naomba msaada wa namna ya kujisajili OTEAS

    Wakuu habari ya majukumu?Tafadhali naomba mwenye kujua namna ya kujisajili na mfumo wa maombi ya ualimu wa TAMISEMI anisaidie kunielekeza hatua kwa hatua tangu namna ya kujisajili mpaka kutuma maombi. Tafadhali naomba nisaidiwe.
Back
Top Bottom