Search results

  1. MUSIGAJI

    Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri

    Mtoto wa Hayati Mkapa naona bado kabaki kwenye unaibu Katibu mkuu,kahamishwa wizara tu.
  2. MUSIGAJI

    Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

    Jambo la kwanza ulipaswa kuipoteza simu yako,uisime na kuifungia ofisini. Ili kama ungekuta kimenuka useme ulidondosha simu na umerudi kufuatilia kama umeidondosha maeneo ya nyumbani.
  3. MUSIGAJI

    Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Hand writing itawaumbua kweupe. Ni mara chache wanafanana mpaka hand writing. Kama karatasi zao za mitihani bado zipo watapokonywa degree zao peupe. Ikiwa karatasi zile za mitihani zimeshateketezwa watapona.
  4. MUSIGAJI

    Jamii yetu imegoma kustaarabika, mfano mzuri ni msiba wa Lowassa

    Ni aibu sana katika historia ya Hayati Lowassa kuacha jambo kubwa la kugombea Urais kupitia CHADEMA na kupata mamilioni ya kura za Watanzania.
  5. MUSIGAJI

    Wapi naweza kupata oil chafu kiasi cha kutosha kupaka mbao

    Wakuu habari za muda, nipo jijini Dar Es Salaam, niliweka mada kuhusu mbao nilizoezekea kubunguliwa. Nimepata michango miongoni mwa wadau akaniambia kupaka oil chafu. Je ninaweza kupata wapi kiasi cha kutosha kwa ajili ya shughuli hiyo?.
  6. MUSIGAJI

    Dawa ya kuzuia mbao za paa kubunguliwa

    Habari wakuu, Tafadhali naomba mwenyevkujua dawa ya kupaka mbao nilizopaulia zisibunguliwe anitajie nikanunue. Naona mbao zilizopaulia zimeanza kuliwa. Asanteni sana
  7. MUSIGAJI

    Hivi wafanyakazi gani wa Serikali wanalipwa house allowance?

    Umejaribu kumfikiria huyo askari anayeenda kumnyooshea nguo?. Huyo hana maisha magumu na ya ajabu ajabu?.
  8. MUSIGAJI

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    Pole sana ndugu. Muombe Mungu, tenga muda wa kuwa naye jirani.
  9. MUSIGAJI

    Niulize chochote kuhusu uchimbaji wa Visima

    Gharama alikufanyia bei gani mkuu?
  10. MUSIGAJI

    Wapi naweza kununua mbuzi kwa bei nafuu?

    Shukrani sana mkuu.
  11. MUSIGAJI

    Wapi naweza kununua mbuzi kwa bei nafuu?

    Wakuu habari za kutwa, Samahani naomba mwenye uelewa anisaidie.Kati ya vingunguti,Pugu na Madizini wapi ninaweza kunununua mbuzi (1) tu kwa bei nafuu zaidi? Na kwa sasa bei ya mbuzi ni wastani wa shilingi ngapi? Asanteni.
  12. MUSIGAJI

    Huu uchawi nilikuwa siujui hadi siku ya jumapili iliyopita

    Bila shaka huwa unaondoka na chochote baba mshauri wa kiroho wa biashara ya mdau.
  13. MUSIGAJI

    G money Financial services Limited.

    Habari wanabodi. Najua JF ni msitu mkubwa, ninaomba mwenye kujua hawa watu mahali walipo aninuze. Nina shida nao kwelikweli. Pamoja na mambo mengine wana/ walikuwa wana jihusisha na mambo ya miamala. Walikuwa mawakala wakuu wa Halotel pengine na mitandao mingine. Tafadhali mwenye kufahamu...
  14. MUSIGAJI

    Wanangu, ninaamua kuoa baada ya mama yenu kuninyima tendo la ndoa

    Amefanya vema. Maana kama angeoa kimya kimya mama angewalisha watoto matango pori na watoto wangemuona baba ni katili kwa mama yao.
  15. MUSIGAJI

    Inakuwaje Rais wa Zanzibar anawapa wahamiaji Uraia wa Tanzania?

    Wewe ndo umekurupuka kujibu. Hoja ya mtoa mada ni kwamba kwakuwa uraia uliotolewa husitolewe na rais wa Jamuhuri?. Rais wa Zanzibar anawezaje kutoa uraia wa Jamuhuri?.
Back
Top Bottom