Search results

  1. bukoba04

    Naombeni msaada wa dawa ya kuzuia kukoroma usiku

    nashukuru sana kaka, kupitia uzi wa broh, nimepata kujifunza vingi kutoka kwako, namna alivyoeleza broh, ndivyo na mimi ninavyoteseka hata nikiwa kwenye halaiki ya watu, nikipatwa na usingiz kidogo inakuwa shida lakin pia kuamka na uchovu.
  2. bukoba04

    Waraka Na. CCB.228/271/01 wa tarehe 7 Agosti, 2012

    sawa mkuu niki uspy nikiupata nitskutumia, ila ukiupata kabla yako pia utasaidia
  3. bukoba04

    Nafasi za Kazi~SADC

    samahani wakuu kuna kada mbalimbali zimetangazwa na SADC kupitia utumishi, naomba kufahamu, application letter unaandika address kuelekea kwa anunani gani. Nashukuru.
  4. bukoba04

    Nina Certificate ya IT, natafuta kazi

    kama utaweza komaa ufike dipo, hapi hata seriklin unapata
  5. bukoba04

    Kibali cha kurejea Utumishi huchukua muda gani?

    Portal ya vyombo vya ulinzi na usalama ni tofauti na Lawson, ndio maana jamaa anadunda
  6. bukoba04

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    huyu ni Assistant Lect
  7. bukoba04

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    kwa ICT II, 1-1.3M sikushauri uje, hakuna rangi utaacha uone.... ndio maana kuna Prof alivyoteuliwa na JPm, alishukuru kutolewa jalalani
  8. bukoba04

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    mkuu upo sahii... serikal kuu tgs e inaanza 910k, ukikatwa unabk na 700k na bod kama unayo unabak na 560k nichk pm
  9. bukoba04

    Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

    naungaa na wewe mkuu, sisi hatuna exposure... ndio maana hata mavyuoni wadhiri wakipewa teuzi au nafasi za utendaji serikalin wanapagawa hata taaluma zao wanaweka pembeni. Prof Kabudi, ashawahi kusema nakushukuru JPm kwa kunitoa jalalani....coz he was lack exposure
  10. bukoba04

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    hii pia inatokea sana kwenye gari langu aina ya IST Toyota, ingawa nimeinunua kwa mtu, mwezi sasa, na sina uzoef wa magar
  11. bukoba04

    Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

    Kwa wakazi wa Bukoba, fika maeneo ya Buyekera, ulizia Casablanka......kuna dogo anapika kitimoto mpka nataman kumuiba nimpeleke dar au dom Sent using Jamii Forums mobile app
  12. bukoba04

    Bernard Membe aonesha hofu ya kutengwa kimataifa na kushauri kwa hekima

    Big point, na viongoz wa CCM lazima wajue kuwa, hali nzur ya ki diplomasia imepambaniwa, na tukiiharibu itatuchukua miaka mingi sana kuirejesha... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. bukoba04

    Tanzania tumeikosea nini Marekani?

    Dawa za Ukimwi nasikia hazitolewi tena, bure waathirika wanachukua dozi kwa sh 15000 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. bukoba04

    Sababu kwanini hutakiwi kujichanganya na watu 'uliowapiga gap' kubwa kimaisha

    [emoji122][emoji122][emoji122] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. bukoba04

    Nina tabia ya kukinai wanawake ninaokuwa nao katika mahusiano

    yaan bro, hatuna tofaut, hii mambo inanitesa sana, alafu ndio ivo nishafikia umri wa kuwa na familia... yaan nawatesa sana dada wa watu ase... Sent using Jamii Forums mobile app
  16. bukoba04

    Kozi gani umesoma ambayo huwezi kumshauri mtu mwingine aisome?

    BCS, unamaanisha Bsc in Computer Science? Sent using Jamii Forums mobile app
  17. bukoba04

    Jumapili Prof. Assad alikuwa akitafutwa anasema yupo nje ya Nchi

    Kawe Alumni, namuomba Mungu asije nipa akili kama yako[emoji849]
  18. bukoba04

    CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

    Kidata alipewa ubalozi akarudishwa na kufichwa zaid ya mwaka, ila kwa sasa na yy ni Katibu Tawala Mtwara
  19. bukoba04

    Pendekezo: Kitengo cha Upelelezi kitolewe Polisi

    hata kikienda TISS, au angalau kikaenda TAKUKURU...
Back
Top Bottom