Search results

  1. utakuja

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mbona spidi za kawaida hata kwetu huku tunazo 😂 ungenitisha kama ingesoma 1000mbps.
  2. utakuja

    Naomba TCRA mlinde taarifa zetu kwa apps zinazodai kutoa mikopo.

    Kuna makala ya BBC kuhusiana na athari za hizi apps za mikopo nchini India, iliangazia matumizi mabaya ya hizi ridhaa walizopatiwa kwenye simu za watu; ikiwa ni pamoja na kusoma sms, kuona orodha ya namba za watu kwenye simu yako na kufikia picha zilizopo kwenye Gallery. Watu wamejiua, kupoteza...
  3. utakuja

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Upo sahihi to a degree kwa sasa Airtel ina operate mkongo wake unaoitwa 2Africa. Ttcl inasimamia ule wa zamani wa SEACOM. Tigo kwa kununua Zantel wanaooperate (pamoja na TTCL kwa kuwa nao ni investors) mkongo wa Eastern African Submarine Cable System (EASSy). Japo kwa sasa wanaweza kuwa...
  4. utakuja

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Issue ni kwamba kifurushi ninachotaka ni cha 50 mbps na kwa mahali nilipo Airtel ni kama konokono, ndiyo maana ninabidi nivute subira hadi 5G.
  5. utakuja

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kwa kuweka hiyo Power bank, Airtel kweli wamefanya jambo jema sana. Sasa ngojea nisubiri 5G ifike eneo langu niwaibukie nichukue hicho kifaa niachane na Supakasi ya 20mbps. Maana nimeogopa kuchukua 5G modem za Vodacom kwa kuwa umeme ukikatika ndiyo basi tena huwezi endelea na kazi.
  6. utakuja

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu hiyo niliyohighlight pichani ni kitu gani?
  7. utakuja

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Vipi kaka inaweza kutumika umeme ukikatika?
  8. utakuja

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Nilisumbuana nao sana mpaka waniletee kifaa mwaka jana. Lakini huduma yenyewe haina shida kabisa.
  9. utakuja

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kweli bro? Unafahamu model number ya 5G modem hii maana kama inakaa na chaji basi hii ndiyo kimbilio langu. Nitatest kama 5G inashika hapa home.
  10. utakuja

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Dah! Ninatamani kuchukua hiyo tena kifurushi cha 50 mbps (maaana haya maswala ya mkataba siyapendi) , lakini ninashindwa kuacha supakasi yangu ya 4G kwa sababu umeme ukikatika modem inaendelea kupiga kazi.
  11. utakuja

    Network ya 5G kwa Vodacom na TIGO

    Kama unataka kutest 5G vizuri, nenda Mlimani City, ingia getini nenda hadi Mlimani City hall -- utaona 5G node ya Vodacom; pale usiposhika 5G basi jua simu zako haziko supported bado.
  12. utakuja

    Vodacom wameleta Volte?

    I really don't know what kind of elaboration is required; as the option to enable Volte exists on basically every modern-ish iPhone (iPhone 6 or later). Just go to Settings > Mobile data > Mobile data options > Voice & Data and then toggle the VoLTE option.
  13. utakuja

    Vodacom wameleta Volte?

    Habari nzuri. Nimejaribu kuwasha Volte kwenye iPhone na nimeweza kupiga simu bila mtandao kufall-back na kutumia 3G.
  14. utakuja

    Miyeyusho: Kwa hii speed ya tigo kuna mtu anaefaidi internet yao?

    Kweli kwa mitandao ya 4G Tigo hana mpinzani kwenye spidi ya Internet yake, hii ninaongelea kwa experience yangu hapa ninapoishi (Kama mtoa mada anavyoongelea eneo lake analoishi). Kwenye peak hours (muda ambao watu wengi wametoka maofisini na wapo majumbani wanatumia Internet kwenye simu zao...
  15. utakuja

    Payoneer Verification Document

    Wengine wanaweza kuwa na njia tofauti na yangu, lakini kwa Payoneer hakikisha anwani uliyoandika kwenye website ya Payoneer na ile kwenye Bank Statement haina "P.O.Box" inapaswa iwe kwa mfano: Michael Adam Mbezi Salasala Ilala Dar es Salaam Tanzania Nenda uongee na Customer care wa benki...
  16. utakuja

    Kodi kubwa zinawanyima fursa Watanzania kumiliki Simu bora na za Kisasa

    Nimeangiza simu na tablets kadhaa na sijawahi kulipishwa hiyo VAT ya 34%. Nililipa 18% kisha ikaja ule mwaka ambapo kodi iliondolewa na nikawa nalipa 3000 na kitu hivi (gharama ya kupokea mzigo posta) na mara ya mwisho nililipa 18% + gharama ya Posta. Hiyo VAT iliyotajwa sielewi wamepata wapi...
  17. utakuja

    MTFE PROJECT

    Mara kadhaa huwa ninajiuliza: "Hawa jamaa wa forex wamepotelea wapi?" sasa naona mmerudi kwa nguvu tena mmejiboresha kwa kuja eti na A.I. Hahaha. Anyway, mimi ninaamini kwamba binadamu ni kiumbe mchoyo sana na kama kungekuwa na shughuli inayoweza kumuingizia kweli Return on Investment ya...
  18. utakuja

    Share your current internet Speed

    Baada ya kupokea sasisho la 16.4 nimeamua kufanya Speedtest 4G vs 5G kwa kutumia mtandao wa Vodacom. Tunaelekea pazuri sana tukipata vifurushi vizuri hii nchi itakuwa raha sana. Baadaye nita test net ya Tigo 5G maana 4G+ yao hatari pia.
  19. utakuja

    Mnapokeaje kupitia speedaf toka AliExpress

    Kiukweli sijaona tofauti sana kati ya Speedaf na Posta, maana nimeangiza mizigo 2; wa kwanza ulitumwa kupitia Speedaf na wa pili kupitia Singapore post. Mzigo wa kwanza nilipigwa na Speedaf nisogee maeneo fulani mtu wa delivery akanipatia mzigo wangu. Mzigo wa pili (kesho yake) Posta...
Back
Top Bottom