Search results

  1. Break Time

    Kuna baadhi ya Vijana wa Chuo ni wajinga sana

    Mkuu mimi ninaona njia uliyotumia haikua sahihi sana hasa ulimwengu wa sasa ambao uaminifu umekua jambo gumu kidogo Ungetafuta uongozi wa chuo mfano dean of students au serikali ya wanafunzi wao wanawafahamu baadhi ya wanafunzi wenye uhitaji mkubwa wa fedha na hizo laptop labda hawana mikopo...
  2. Break Time

    Kwanini Watendaji wa vijiji (VEOs na MEOs) Wanalipwa Mshahara mdogo ukilinganisha na majukumu yao?

    Na wana deal nyingi hasa hawa wanao hudumu vijijini (VEO’s)
  3. Break Time

    Hii ni divisheni gani? Kuna dogo kapata hivi form 4

    Division 3 point 25 A-1 B-2 C-3 D-4 F-5 Hesabu masomo 7 aliyofanya vizuri zaidi.
  4. Break Time

    Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

    Safi umenena kwa upendo na kwa hekima kubwa!
  5. Break Time

    Tufanye Kazi Pamoja

    .
  6. Break Time

    Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Elimu nzuri kwa lugha nyepesi, safi sana.
  7. Break Time

    Masters ya Open University na ile ya Udsm ina utoufauti gani?

    Ondoa shaka OUT ni moja ya chuo bora sana, kiambatanisho kinaonyesha rank ndani ya Taifa, Africa na Duniani.
  8. Break Time

    Napenda kufahamu mazingira ya chuo cha RUCU

    Ni chuo kizuri kitaaluma, kiko kati kati ya manispaa ya Iringa yani kiko mjini kabisa, Mazingira mazuri, ni moja ya vyuo vikuu vitatu vinavyo patikana manispaa ya iringa (Chuo kikuu cha Iringa zamani kiliitwa Tumaini University, na Chuo kikuu cha Mkwawa)
  9. Break Time

    Combi ya HGL ina fursa gani huko mbele?

    Naongezea hapa, akisoma HGL advance maana yake chuo kikuu atasoma course zote za social sciences (sayansi ya jamii) pia anaweza kusoma baadhi ya course za biashara ENDAPO alipata pass ya hesabu kwenye matokeo yake ya kidato cha nne; Ikumbukwe kuwa; mwanafunzi anapo omba baadhi ya course chuo...
  10. Break Time

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Utumishi Wanapotoa pdf ya kuita afisa maendeleo II kwenye written interview basi wakumbuke pia kutoa majina ya afisa maendeleo II walioingia kwenye kazi data interview ya mwaka jana wasijisahau kabisa.
  11. Break Time

    Je, TRA wameruhusiwa kuajiri wenyewe? Tunaenda mbele hatua 2 tunarudi nyuma hatua 10

    Mbona halmashauri zina ajiri watendaji, madereva n.k hata kama wako under supervision ya utumishi through kutuma afisa mmoja kama ni mianya ya corruption na nepotism ipo haiwezi kuzibwa. Pia tamisemi wana ajiri watumishi wa afya, walimu, ma afisa ustawi, wizara ya afya ina ajiri watumishi...
  12. Break Time

    Kuna umuhimu wa kuripoti JKT kwa wahitimu wa Form 6?

    Umuhimu wa Cheti cha JKT ni pale utakapotaka kuomba kazi zinazohusu maswala ya ulinzi maana utatakiwa kuambatabisha cheti cha kuhitimu mafunzo ya jkt, mfano wa kazi nikama ifuatavyo;- Polisi Jwtz Uhamiaji Magereza Takukuru (hawa huwa hawasemi ila wanazingatia pia) na; Vyombo vingine vya...
  13. Break Time

    Kuna umuhimu wa kuripoti JKT kwa wahitimu wa Form 6?

    Unachokiongea ni sahihi labda kwa vijana wanaotumikia JKT mkataba wa miaka 2+, ila sio kwa hawa vijana wanaokwenda miezi mitatu (mujibu wa sheria). Mwisho wa siku uvumilivu, ujasiri, kujisimamia na uthubutu kama ulivyotaja ni mambo yanayojengwa kwa muda mrefu sana na kwa hatua mbali mbali...
  14. Break Time

    Ajira 800 za afya kumwagwa

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kakufanyaje mkuu![emoji23]
  15. Break Time

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hili pamoja na tuvitu twingine twingi twa ajabu bado kuna mtu atakuja hapa kuisifia utumishi.
Back
Top Bottom