Search results

  1. Shimba ya Buyenze

    Kwa wapenda Masumbwi (Boxing): Weka picha au video fupi ikionyesha KO au TKO unayoifagilia sana

    Mchezo unajulikana kama Boxing. Kwa jina jingine huitwa "The Sweet Science". Naam! Ni masumbwi. Ndondi. Vitasa! Ni mchezo wa hatari, mchezo ambao unamuonyesha Homo Sapiens kuwa ni kiumbe wa aina gani. Unakuwa peke yako ulingoni na mpinzani wako. Huna mtu mwingine wa kumlaumu. Na ukizubaa...
  2. Shimba ya Buyenze

    Nalitafuta lile tangazo la nyumba ya Biashara Iliyokuwa Inauzwa Kigamboni

    Wakuu. Kama sikosei juzi kuna mtu aliweka hapa tangazo la nyumba ya biashara iliyokuwa inauzwa kule Kigamboni. Vilikuwa ni vijumba kama vinne hivi vinavyojitegemea ndani ya compound moja; na akasema kila kimoja kinajitegemea Luku, maji n.k. Cha ajabu tangazo hilo nimelitafuta sijaliona. Sijui...
  3. Shimba ya Buyenze

    Usiende Kwenye Usaili (Job Interview) Kabla ya Kusoma Kitabu Hiki (na Vinginevyo)

    Kitabu hiki ni kizuri. Mimi binafsi kilinisaidia katika interview yangu ya tatu baada ya kuwa nimeboronga katika interview zangu mbili za kwanza. Ndiyo nilikuwa nimemaliza chuo na kazi ya kwanza ndiyo hasa niliitaka lakini nilikutana na vijana wenzangu kutoka Kenya na Nigeria nikajua tu waziwazi...
  4. Shimba ya Buyenze

    Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    Nitakuwa naweka hapa vitabu vinavyotumiwa katika mataifa mbalimbali kuanzia elimu ya sekondari mpaka Chuo Kikuu. Jisikieni huru pia kuweka vitabu vyo vyote vile vinavyotumika mashuleni na vyuoni kutoka mahali po pote duniani Naanza na kitabu hiki chenye fomyula muhimu 1,300 za somo la Hisabati...
  5. Shimba ya Buyenze

    Uzi Maalum kwa Ajili ya Kupeana Maarifa Tumizi (Practical Skills)

    Ni enzi za Korona. Binafsi nimekaa kwenye lockdown kwa zaidi ya mwezi mzima. Hata sasa natoka tu pale inapobidi. Muda huu wa lockdown umekuwa wakati mzuri sana wa kuweza kutafakari mambo mengi na kujisomea. Maisha ni nini hasa? Tupo hapa duniani kwa kusudi gani? Bila purukushani na vurugu za...
  6. Shimba ya Buyenze

    Watanzania Tunasahau Mapema Sana!

    Na inavyoonekana yule dhaifu alikuwa amewachosha kweli kweli. Kipanya sijui kama bado anaikumbuka hii katuni[emoji23][emoji23][emoji23]
  7. Shimba ya Buyenze

    Watu na "Mademokrasia" Yao!

    Ni juzi. Waandamanaji wakimpinga Trump.
  8. Shimba ya Buyenze

    Utani - King of Msata Atakapozeeka...

    Itakuwa hata akikutazama tu basi unaondoka..
  9. Shimba ya Buyenze

    Msaada . Eti Punyeto Inaweza Kusababisha Maumivu Makali ya Mgongo wa Chini?

    Pengine hii ingefaa iwekwe kwenye jukwaa la JF Doctor lakini naamini hapa MMU ndiyo nitapata jibu la moja moja kwa sababu memba wengi wa kile chama mashuhuri cha CHAWAPUTA wapo hapa. Kwa hiyo mods naomba please msiuhamishe uzi huu kwenda JF Doctor. Ishu iko hivi: First born (mvulana) wa kakangu...
  10. Shimba ya Buyenze

    Madhara ya ulaji wa chips

    Chukueni tahadhari!
  11. Shimba ya Buyenze

    Ubaguzi wa Kijinsia Marekani.

    Wacheza soka wa kike (timu ya taifa) wamechoka kubaguliwa kwa kulipwa pesa kiduchu japo wao ndiyo wanaingiza pesa zaidi kuliko wenzao wa kiume. Mpaka leo wanawake Marekani huwa wanalipwa mishahara pungufu (vs men) hata kama wanafanya kazi ile ile moja. Imagine nchi nyingine wangekuwa wanafanya...
  12. Shimba ya Buyenze

    Mwanamuziki Shoga Kutoka Afrika Kusini Afariki kwa Kansa ya "Nyuma"

    Wadau hii ni coincidence tu au kuna cause and effect? Vipi kuhusu dada zetu wanaoendekeza tabia hii? Nao wanaweza kupatwa na masaibu kama haya? Mungu na Atusaidie! Popular gay musician dies of anal cancer ▷ Yen.com.gh
  13. Shimba ya Buyenze

    Msaada: Gharama za Bugando Hospital

    Nina mgonjwa na tumepewa referral kwenda Bugando. Ni wazi tutalazwa huko. Gharama za kulazwa kwa siku ni kiasi gani? Vipi vipimo kama x-ray na vinginevyo? Kumwona daktari bingwa je? Huduma zao zikoje au na penyewe ni mpaka umjue mtu? Natanguliza shukrani zangu za dhati wapendwa.
  14. Shimba ya Buyenze

    Mama Regina Lowassa: Kwa hili UMENIGUSA SANA!

    Ushabiki wa siasa pembeni lakini huyu mama ana mvuto sana na tayari anaonekana kama first lady tayari. Hii ni leo akiwa Kahama na mumewe. Mimi ni Msukuma na nayajua madhila ya vikongwe hawa anaoongea nao. Wengi wanahisi kuwa jamii imewatenga na wanaishi kwa hofu ya kuuawa kwa tuhuma za uchawi...
  15. Shimba ya Buyenze

    Hali Ikoje Kwenye Jimbo la Philipo Mulugo? Atarudi Mjengoni?

    Kati ya mawaziri mizigo waliowahi kutokea katika nchi hii ni huyu jamaa wa "Tanzania is a union of Tanganyika and Zimbabwe". Mpaka leo huwa najiuliza alipita pitaje mpaka akaukwaa unaibu waziri wa wizara nyeti kama elimu? Binafsi huwa sina tabia ya kuombea mabaya binadamu wenzangu lakini kwa...
  16. Shimba ya Buyenze

    Dhana ya Ukanda na madhara yake kwa Tanzania yetu, Kanda ya Kaskazini kuna nini?

    Hii dhana ya ukanda naona inaendelea kupaliliwa, Sijui matokeo yake yatakuwaje. Huyu ni mshindi wa mashindano ya TMT kwa mwaka huu na alipokelewa kwao (kanda ya Kaskazini) kama shujaa. Kama unavyoona katika picha, mabango haya yanarejelea dhana ya ukanda wake. Ni lini Watanzania tumeanza...
  17. Shimba ya Buyenze

    Vichaa Ndo Wana Ukweli Halisi (E. Kezilahabi)

    --------
  18. Shimba ya Buyenze

    Ningeangalia tu

    ...Mwelekeo wa maisha umebadilika...
Back
Top Bottom