Search results

  1. J

    Siasa zimezidi The Law School of Tanzania. Hiki chuo kimulikwe!

    Mtoa mada umesoma sheria? Umewahi kusoma pale Law School?
  2. J

    Kwa hali hii Mama huyu ana haki kudai mali?

    Uko sawa kabisa hilo ndio tatizo nililoliona kwa wengi walioçhangia hapa. Sasa kuhusu watoto wa nje ya ndoa, Mahakama imesisitiza katika kesi zaidi ya tatu kua mtoto hapaswi kubaguliwa kwa hali aliyozaliwa linapokuja swala la urithi wa mali za mzazi wake. Hivyo mtoto kuzaliwa nje ya ndoa...
  3. J

    Kwa hali hii Mama huyu ana haki kudai mali?

    Very correct, ndio maana nikasema kila kesi huamuliwa kulingana na mazingira yake
  4. J

    Kwa hali hii Mama huyu ana haki kudai mali?

    Boss kila kesi huamuliwa kulingana na mazingira yake.
  5. J

    Kwa hali hii Mama huyu ana haki kudai mali?

    Again nikukumbushe tu kua, kinacho determine mtu kupata share kwenye mirathi yeyote sio mchango wa mrithi kwenye kupatikana kwa mali. Sheria imeweka misingi ya haki ya urithi kwa kuzingatia mahusiano yaliyopo kati ya marehemu na mrithi. Swala la kwamba hajachangia katika kuchuma mali linahusika...
  6. J

    Kwa hali hii Mama huyu ana haki kudai mali?

    Baada ya kutoa maoni kwenye maswaja ya kisheria ndo unakiri kua hauna ujuzi wa sheria!!? Sio sawa kufanya hivyo mkuu, hapa kuna watu wanasoma ña wanayachukua yanayoandikwa hapa. So kama kitu hauna ufahamu nacho sio vyema sana kukizungumzia, utapotosha watu.
  7. J

    Kwa hali hii Mama huyu ana haki kudai mali?

    Sio kila mazingira mtu akiishi na mtu inakua ndoa. Kisheria ndoa ya kikristo huchukuliwa kua ni ya mke mmoja, hvyo kama mtu alifunga ndoa ya kikristo hawezi kufunga ndoa nyingine mbeleni ili hali ndoa ya awali haijavunjwa kwa talaka. So kama mtu alikaa na mtu mwingine ilikua wakifanya uzinzi...
  8. J

    Kwa hali hii Mama huyu ana haki kudai mali?

    Mkuu ni vizur kutofautisha sababa zinazopelekea ndoa kuvunjika na kuvunjwa kwa ndoa. Ni ukweli kua kwa huyo mwanamke kutengana na mumewe na kuzaa na mtu mwingine ni sabab/ ushahid kua ndoa yao ilisha vurugika kiasi cha kushindwa kurekebishika. Lakini ni muhimu kuzingatia kua hiyo haina maana...
  9. J

    Kwa hali hii Mama huyu ana haki kudai mali?

    Kwa mujibu wa sheria wanandoa wanapoishi pamoja na mali zikapatikana katika kipindi hicho, hizo mali huchukuliwa kama mali za pamoja (joint assets). Sasa inapotokea mmoja wa hao wanandoa akifariki mali za aina hiyo zote zinabakia kwa yule partner aliyebaki hai. Mali hizo hazihesabiwi katika...
  10. J

    Jamhuri msipoandaa Mawakili mkaendelea kubebwa na Majaji na Mahakimu tutaendelea kukodi Mawakili wa kigeni milele

    Lugha ya mahakama ni kiswahili na kiingereza. Mawakili kupendelea kutumia kiingereza hawajalazimishwa, ni mazoea ya kitaaluma. Pia mwananchi wa kawaida anaweza kutumia lugha ya kiswahili anapodai haki yake mahakamani
  11. J

    Wanasheria tupeni uchambuzi kesi ya Sabaya

    Mkuu matumizi ya neno mwanasheria msomi baina ya wanasheria hayana maana kua kuna wanasheria wasio wasomi. Hii ni namna tu ya kutambua weledi wa mwenzako katika taaluma.
  12. J

    Wanasheria tupeni uchambuzi kesi ya Sabaya

    Kesi ya msingi inayomkabili ni unyang'anyi wa kutumia silaha. Sasa utetezi kua alitumwa na mamlaka hautoshi kisheria kuhalalisha kosa alilotenda, endapo upande wa mashtaka ukiweza kuthibitisha uhalifu wa mtuhumiwa.
  13. J

    Shahidi wa nane kesi ya Sabaya: Mume wangu hakupigwa wala kunyang'anywa simu

    Sio jambo la kushangaza kwa huyo shahidi kutoa ushahidi wa aina hiyo. Ikumbukwe ushahidi ni muunganiko wa facts nyingi, sasa ktk kesi kama hii nadhan lengo la kumwita shahidi huyu ilikua sio kuthibitisha kuona mlalamikaji akitendewa uhalifu. Ila ushahidi muhimu kutoka kwa shahidi kama huyu ni...
  14. J

    Dkt. Ndugulile: Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi inakuja

    Hatua muhimu sana hii, hongera serikali.
  15. J

    CHADEMA someni maoni mitandao ya kijamii kwenye masuala yanayowahusu

    Nilikua nawaza kama hivi mkuu, hongera na wewe kwa kuliadress hapa. Viongozi wa CDM wanapaswa kutafakari vizur kauli zao hasa ktk wakati wa utawala wa Samia. Trend wanayotaka kwenda nayo sasa hivi haiendani na aina ya siasa za Mama ambazo zinaonekana kuwavutia wengi wakiwemo wanachama wao pia.
  16. J

    Babu Tale: Wanaharakati uchwara siasa zimewashinda sasa wanashindana na Diamond Platnumz

    Hayuko sahihi, ila kwa mtazamo wangu, na kwa sababu tayar suala lenyewe limeshakua kwa namna lilivyo, na kwakuzingatia maslahi ya kibiashara kwa Diamond, wangejaribu kuwa na kauli zinazojaribu kutoa damage control na sio kuendeleza vita ya kisiasa. Siungi mkono harakati za kumkwamisha Diamond...
  17. J

    Babu Tale: Wanaharakati uchwara siasa zimewashinda sasa wanashindana na Diamond Platnumz

    Jaribu kuliwaza hili kibiashara, achana na mambo ya ushabiki wa kisiasa.
  18. J

    Babu Tale: Wanaharakati uchwara siasa zimewashinda sasa wanashindana na Diamond Platnumz

    Mkuu samahan, sio kila mtu humu ni mwanasiasa au yuko upande fulani. Jaribu kuwa objective wakati mwingine. Angalia majibu ya Diamond kuhusu kadhia hii utajifunza kitu.
  19. J

    Babu Tale: Wanaharakati uchwara siasa zimewashinda sasa wanashindana na Diamond Platnumz

    Babu tale anakosea sana kuliingilia hili swala kisiasa. Atayaona matokeo yake. Bora angekaa kimya au angeiga busara za Diamond mwenyewe
Back
Top Bottom