Search results

  1. K

    Dkt. Slaa: Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu alipokuwa anaumwa

    Unaumia umekalia kitu kigumu kinakuingia. Unawezaje kuombea jiwe!!
  2. K

    Hii itakuwa ndiyo kesi aliyoisema Rais Samia alipohojiwa na BBC na watu wakadhani anademka- Thubutu

    Ni nani aliyehukumiwa na kufungwa katika hiyo kesi?? Ni lini Mbowe alishitakiwa kwenye hiyo kesi unayosema? Ni lini Mbowe alikimbia nchi wakati alikuwepo na alishiriki uchaguzi kule Hai. Acheni uzuzu.
  3. K

    Ushauri wangu kwa viongozi wa upinzani wote

    Wewe umeandamana wapi? Umeambiwa Katiba mpya ndiyo dawa ya yote hayo unayolialia, umefanya nini? Kila mtu atulie anyolewe kivyake.
  4. K

    Mnaonaje Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035?

    Kwanini usitumie muda wako kurudi shule ukasome upate elimu ili uweze kuwaza kama mtu!!!?
  5. K

    Msiba wa Magufuli umesaidia kufahamu Sababu za Mbowe kuendelea kuwa Kiongozi ndani Chama chake

    Kapigwe risasi 16 kwanza halafu ndo urudi kuja kuandika upya. Ukishuhudia kifo cha mtu katili, kama una utu utakubali kuwa kuna roho zitapona.
  6. K

    Advocate Kilatu anaandika Kuhusu Muongozo wa TLS Uliotolewa Jana

    Huu ni uongo. Baada ya kuapishwa, Rais anatakiwa kushirikiana na chama chake kupendekeza jina la mtu atakayekuwa Makamo wa Rais. Baada ya hapo jina hilo litapelekwa Bungeni kuthibitishwa na Wabunge angalau kwa asilimia 51 (majority). Ndani ya siku 14, Rais mpya anatakiwa kumteuwa Waziri Mkuu na...
  7. K

    Bila shaka tumepata picha kamili, uvunjifu wa haki huzalisha chuki ya kudumu

    Unapoteza muda kulijibu hilo masaburi.
  8. K

    John Heche kujiunga CCM?

    Kama wewe au siyo!?
  9. K

    Ex amerudi kwangu

    Kwa kifupi ni kwamba wewe ndiye uliyekosa soko na hivyo umemrudia huyo jamaa yako khanisi.
  10. K

    Askofu Gwajima: Mbunge smart kuwahi kutokea katika Bunge la Tanzania

    Mapopoma yanayomsifia huyu tapeli yote ni "member". Ajira mpya ya kumsifu msanii aliyeshindwa kujenga Kanisa la kusalia waumini wake kwa miaka yote.
  11. K

    Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!

    Hili apedomia linazeeka vibaya sana na kujikomba kulikopitiliza! Maandishi mengi halafu hayana substance yeyote. Unatumia vifungu gani vya Katiba na Sheria kusema hayo uliyoandika?! The law must be followed as it is. Hatufuati maoni ya kipoyoyo yasiyo na msingi wa Kisheria. Vyama ni mali ya...
  12. K

    Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?

    Wewe ni mweupe sana kichwani. Apedomia inakusumbua sana! Kuna Sheria gani na Katiba ipi zinasema Mwinyi, Magu na NEC wana mamlaka ya eti kuona huruma!?! Huu ni unyani uliopitiliza ulionao.
  13. K

    Naombeni ushauri kwa huyu Msichana

    Huna hela, huna pesa, huna pakee. Watu wanashindwa kukwambia ukweli. Hapo sijataja elimu yako mbovu.
  14. K

    Uchaguzi 2020 CCM na kampeni chafu dhidi ya Mbowe jimboni Hai

    Uongozi unahitaji maarifa kichwani. Tarehe 28/10/2020 tukamchague Lissu.
  15. K

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli ndiyo anaibuka kuwa atawaongezea mishahara wafanyakazi. Tunamwambia kuwa hatudanganyiki ng'oo

    Mbona hakuongeza Mei mosi!!? Huo ni utopolo, miaka mitano akiwa Rais hajaongeza! Hakujua kuwa Urais ni miaka mitano!? Kwani kamaliza kujenga mastiglers yake?!
  16. K

    Uchaguzi 2020 Kishindo: Sheikh Ponda atoa neno kwenye mkutano wa Lissu Dodoma, Uwanja walipuka kwa shangwe

    Huyu ndiye Shehe pekee aliyebaki hapa Tanzania. Ponda ni kiongozi, Ponda ni mtu, Ponda ni mtu jasiri na hana unafiki kama wale walamba viatu vya binadamu.
  17. K

    Uchaguzi 2020 Lissu: Nikichaguliwa, ndani ya siku 100 za kwanza masheikh wa Uamsho wataachiwa huru

    Anayewashikilia hao Mashehe ni Serikali/executive na siyo Mahakama. Serikali kupitia DPP inaweza kuifuta kesi hiyo muda wowote.
  18. K

    Uchaguzi 2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

    Acha kuonyesha upopoma wako humu JF, umejifunua ulivyo huna shule kichwani! Kiingereza cha wapi umeandika hiki wewe ccm? Halafu unatarajia umpende mtu msomi kama Lissu!? Aibu kuu!
  19. K

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kuwa Rais kwasababu hizi

    Hivi wewe mchumia tumbo ulienda kumalizia Diploma yako kule Udom? Mbowe huyohuyo ndiye alikunyima wewe nafasi ya kugombea Ubunge kupitia CDM, akapewa mtu aliyetoka ccm kwakuwa alikuwa bora kuliko wewe. Mbowe huyohuyo ndiye kampa Lissu nafasi ya kugombea Urais. Ona unavyopata tabu hata ccm...
Back
Top Bottom