Kuna habari kuwa mtumishi mwingine wa Serikali amefariki dunia katika ajali usiku wa kuamkia leo wakati gari lao limepata ajali wakitokea Tabora kwenye Dodoma kwenye mkutano. Ajali imetokea eneo la Bahi. RIP
Nadhani ifike wakati sasa serikali iweke sera zitakazozuia magari ya serikali kusafiri...
Ilikuwa zamani jombaa, kwa utawala huu wa sasa watu walioathirika zaidi ni wachagga. Anawatoa kwenye nafasi za uongozi kwa hila, maduka mengi yamefungwa kwa hiyo wao walitakiwa kuwa wa kwanza kujua hii serikali haina maslahi kwao na kupambana. Ila ndio hivyo wamejisalimisha wakidhani wako...
Ukifanya hivyo itakuwa rahisi sana kwao, Fahmi Dovutwa, John Momose Cheyo, Augustine Mrema na Ibrahimu Lipumba watagombea. Watawala watalazimisha uchaguzi, watashinda kwa asilimia za Kagame, jeshi litaingia mitaani na stori itakuwa imeisha. Ndicho wanachokitaka
Ungejua kama CCM wanafurahia watanzania wanavyokufa na watanzania wanavyoteseka usingeleta huu uzi. Kifupi ni kwamba CCM saizi wako roho kwatu kuwa huenda watu watakata tamaa kuchangia damu na vifo viongezeke toka moja hadi mbili kwa siku wakati wa kujifungua
Kwa sababu Tundu Lissu aliumizwa katika jaribio la mauaji ya kisiasa toka kwa wanasiasa wenzake wa wakisaidiwa na Serikali ya CCM. Saizi ni kutumia mbinu za swahiba yetu Kagame
Mmegoma kulipa madeni ya ndani kwa vile mkiwalipa watanzania wenzenu wataishi kama malaika kwa jasho lao. Mnagoma kuongeza mishahara ambayo ingeongeza purchasing power. Mtapigika sana awamu hii na waziri jipange kumwagwa
Nadhani kiingereza ni lugha iliyokuja na meli wengi kama wewe na mimi hatuelewi vizuri. Kwa maelezo hapo ni kuwa 65% ilikuwa inatokana na matofali ya dhahabu na 35% inatoka kwenye makinikia. Kutokana na makinikia kupigwa marufuku wameamua kubadilisha technology na mfumo wa uchenjuaji ambapo...
Kweli dunia ina mambo. Umetoka huko uko kwenye siku zako haujavaa hata nanii zile huko chini unakurupuka Lissu atibiwe kwa ruzuku. Unafikiri kwa vile kaka yako Dotto yuko hazina unatumia tu hela unavyojiskia? Mi nilipoambiwa wasukuma mna laana nilikuwa nabisha lakini chini ya utawala wa huyu...
Binafsi naona kama mzee anataka kunogesha vita ya kiuchumi aache magazeti yawe huru ili yamsaidie kufichua maovu na pia kuhabarisha watanzania bila woga. Kwa jinsi hii watu walivyo waoga kwa sasa hakuna ubunifu wowote, kila mtu anaishi kwa kulinda mkate tu. Hakuna zaidi ya hapo
Inategemeana na intelijensia yao ilivyowatuma. Au ndio kwenye kukamata waombaji inabidi kukamata na mchungaji. Kilichomponza Msigwa kutafutwa kwa hiyo ni uchungaji wake sio uchadema wake. Wakatoliki na nyinyi kaeni mkao wa kula, iko siku mtaambiwa ibada ni mkusanyiko usio halali. Mambo huanza...
Ulijua Zito ana visasi kama huyu mzee wetu....
Hapa tunaongelea suala la uhai wa mtu sio kiki za kisiasa. Leo yametokea kwa Lissu unajuaje kama kesho hayatamtokea Zitto na keshokutwa wewe. Udikteta ukiingia hakuna mtu yuko salama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.