Nimeweka attachment ya 5star hotel inayojengwa mwanza, kwenye hiyo attachment wanasema jengo limeanza kujengwa 2013 na litakamilika 2017
Lakin mpaka leo hii 2024 jengo bado halijakamilika yaan ndio lipo kwenye hatua ya mwisho kabisa ambapo inasemekana mwezi wa 6 mwaka huu ndio linazinduliwa rasmi
Uwekezaji wa 5 star hotel sio wa kitoto
Sina hakika kama jamaa yako ataweza kumudu gharama sababu hotel nyingi za nyota 5 ni za wabia,
Mfano hapa mwanza ipo moja inajengwa mitaa ya capripoint inatarajiwa kuzinduliwa mwezi wa 6 hotel hii imejengwa na mfuko wa hifadhi ya jamii nssf gharama...
Ili aweze kufanikiwa zaid inabid awekeze nguvu na kwenye hifadhi nyingine
Kama vile serenget nk...tatizo mama yeye anaona kama vile ngorongoro ndio mbuga pekee
Na ndio maana uwekezaji mkubwa amewekeza arusha
Abadilike huu sasa ni wakati wa mikoa ya kanda ya ziwa inatakowa aelekeze sana nguvu...
Kafanya nini mtu ainishie vitu alivyofanya na sio kutuletea ukolo umu jukwaan?
Watanzania sijui nan aliyetuloga, full kumpa mtu maua tukiangalia hakuna cha maana zaid ya kwenda kuomba pesa kwa ajili ya matundu ya vyoo
We cacutee...ina maana we hujui kama wanawake mko wengi zaid ya wanaume?
sasa mkipewa nyie wachache hao wanawake wengine watapewa na nan?
Na ndio maana unaona wanaume hatutulii na mmoja lengo letu tuwafikia had wale ambao huduma haijawafikia
Pole sana mkuu!
Ila bado mi nakupinga hapo kwenye kupambana kutafuta kazi
Hapo ndipo wasomi wetu wengi mnapo fail,
Unahis utapambana mpaka mwaka gani?
Jiajir bro acha kupoteza muda, utakuja kukumbuka shuka kumeshakucha
Wasomi wa siku hz mnashida gan?
Inamaana wewe huoni wapinzani wanapokuwa wakikosoa au bas tu unajitoa akili?
Maandamano yaliyofanyika kupinga ugumu wa maisha. Kupanda kwa sukari na mafuta nk walifanya Ccm?
Wakati mwingine tusilete siasa lwenye maisha
Wapinzani kila siku wanapiga kelele leo hii we unaandika wapinzani wana...
Sasa mkuu we unamuuliza huyo kama nan na kwa mamlaka gan aliyonayo?
Inamaana hujui utaratibu unaotumika kumpata mwekezaji?
Hoja yake ni ya msingi sana tanzania hakuna tunachojua zaid ya ujunga ujinga
We si umemskia CAG kwenye hii report yake
Karibu mashirika yoooote ya serikali yanajiendesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.