Search results

  1. chipanga

    Uteuzi wa Makonda: Kosa la kiufundi, CHADEMA Mshindwe Wenyewe

    Hata Samia anawaza hivi hivi ndo sbb ya kumrudisha mwambie main stage ila mtoa mada Yuko sahihi, makamanda wamepewa ajenda tayari.
  2. chipanga

    Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

    Gati namba 8-11 ndo ilikuwa TICTS. Hatuna hizi Gati tangu enzi za Mkapa. CCM ni adui mkubwa wa hili Taifa. Kama Taifa hapa tumeliwa.
  3. chipanga

    Kuuliza si ujinga: Peter Magoti ni nani huko CCM?

    if you believe in reincarnation, huyu jamaa anaonekana alikuwa mtu hatari sana in his previous life ndo maana akazaliwa hivyo alivyo hivi sasa iliaweze kumrudia muumba wake na asamehewe madhambi yake, lakini ubaya wa bahati ile roho ya ukatili bado inanguvu ndani yake, katika next life atazaliwa...
  4. chipanga

    Uchaguzi 2020 Pengo la kukosekana Slaa na Lowassa laonekana wazi CHADEMA

    Ni kweli ila ishindwe kwa haki siyo kwa mapingamizi ya kihuni.
  5. chipanga

    Sehemu ya Kwanza: Huu ndio uelewa duni wa Jasusi Mbobevu Membe

    Kuna yule mwingine alitwambia Saadam Hussein ni rais was Libya
  6. chipanga

    Wilfred Lwakatare arejea CUF baada ya kufutwa uanachama CHADEMA. Kutumika kuiangamiza CHADEMA

    Nilidhani yuko serious na kustaafu siasa kumbe zilikuwa mbwembwe tu.
  7. chipanga

    Nailaumu CHADEMA kuwa hawajui wanataka nini

    Chadema ni chama bora sana cha siasa kuwahi kuwepo Tanzania, ni chama ambacho kimejengwa katika misingi imara na thabiti, miaka hii mitano ya uongozi wa awamu ya tano ya ccm uongozi ambao umekubuhu kwa kuvunja katiba ya nchi, kutawala kwa kuvunja sheria kanuni na taratibu imetuthibitishia hilo.
  8. chipanga

    Hivi toka matukio hayo yaanze hadi Leo hao Chadema hawajaisha tuu na ikafa?

    Na wakiplay fair mwezi mmoja tu, October ccm lazima ipumulie mashine.
  9. chipanga

    Tumewakosea nini Wakenya kumdhalilisha Rais wetu?

    Waweza kuta ni maelekezo toka kwa TB Joshua. Si nasikia ni washikaji.
  10. chipanga

    Uchaguzi 2020 James Mbatia the next KUB Can make the Best than ever before

    Aliposhindwa ubunge mwaka 1990 Jiwe alijiunga na vuguvugu la National Convention for Constitution Reform, Ben ndo alimrudisha chama tawala 1995. kwa maneno mengine mboga mboga inaongozwa na NCCR.
  11. chipanga

    Misaada ya corona yafikia bil. 6.726/-

    Mtaani Barakoa Tsh 2000/= mihela yote hiyo yanini sasa?
  12. chipanga

    Jinsi Paul Makonda anavyowaburuza CHADEMA

    Katibu wenu mkuu mwenyewe hamkubali. Itakuwa chadema?
  13. chipanga

    Waziri Simbachawene: CHADEMA walihamasisha makundi makubwa ya watu na daladala nyingi kwenda Magereza

    Siku Babu Seya anatoka gerezani, zile shamrashamra zilizokuwepo pale gerezani zenyewe hazikuwa hatarishi?
  14. chipanga

    Ukweli usemwe, mwaka huu wa 2020 ndiyo mwisho wa CHADEMA kuwa chama kikuu cha Upinzani

    Hapo kwenye bold ndo lengo la Mtakatifu wenu tangu aingie Ikulu, amevunja katiba na sheria mbalimbali mara kibao kuzuia shughuli za siasa kwa wanasiasa wa upinzani hasa Chadema lengo ni huko "kuporomoka" kutimie. Ukweli lazima usemwe ameshindwa kuiporomosha Chadema. Ukweli lazima usemwe...
  15. chipanga

    Pascal ni mchumia tumbo, tumpuuze

    Mupe!! Mupe vipande vyake!
Back
Top Bottom