Search results

  1. M

    Nataka kwenda vitani kujitolea kuisadia Ukraine 🇺🇦, je nifuate utaratibu gani?

    Umetumia bangi ya wapi vile! Na watu kama wewe ndio mnasababisha bangi iendelee kuwekwa kwenye kundi la madawa ya kulevya. Nenda hata usiombe kibali.
  2. M

    Ni kweli kuwa Rwanda na Uganda wana gesi nyingi kutuzidi?

    Kama ni kweli kwanini hawaichimbi na wameomba gesi kutoka kwetu isafirishwe kwa bomba, kwa nini wanunue wakati wanayo.
  3. M

    Muonekano wa kichwa cha Treni ya SGR

    Mbona mnapenda kulaumu sana, umeambiwa mali ya mkandarasi kwa.ajili ya kujaribu miundo mbinu, wewe unatokwa povu. Mbona nyumbani kwako una tv ya kichogo sie tumekaa kimya hatukwambii.
  4. M

    Vituo vya mafuta vya Puma na wizi wa mafuta

    Mimi huwa nikifika nawambia jaza hapo haibiwi mtu yanawekwa mpaka nayachungulia full.
  5. M

    Nilivyoyaona maendeleo ya Tanzania baada ya kuwa Ulaya kwa zaidi ya miaka minne

    Tena ukute huko umeolewa, fala wewe. Unafikia hoteli hupajui kwenu, hujitambui kabisa wewe.
  6. M

    Nilivyoyaona maendeleo ya Tanzania baada ya kuwa Ulaya kwa zaidi ya miaka minne

    Wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wengine mtumwa kabisa wewe ondoka nchini kwetu nenda usirudi hapa. Tuache na umaskini wetu nyani wewe.
  7. M

    Tanzania na Burundi haziko miongoni mwa nchi zitakazopewa chanjo ya corona

    Waende zao sie hatutaki masindano yao, tuna nyungu+ nimri hapa nisha piga kikombe cha tangawizi na malimao sindano ya nini.
  8. M

    Tahadhari ya kuzimwa kwa Internet ilitolewa mapema sana ila kama kawaida Wabongo ni wabishi sana

    Kwa hiyo wewe na akili yako kabla ya mtandao palikuwa hakuna uhuru wa uchaguzi, punguza kiwango cha ushamba ndg, uhuru wa uchaguzi na internet havihusiani.
  9. M

    Story ya kweli: Jinsi nilivyomtapeli Ngosha

    Acha uongo umepanda daladala nyakato sokoni ukaja kirumba kisha ukafika mjini baadae kona ya bwiru jamaa uliyemtapeli anakwenda sengerema na gari inakwenda bwiru kumbuka umeshachanganya sana kwanza feri haziko bwiru. Wadanganye wasioijua mwanza au uwe unafanya utafiti kwanza.
  10. M

    Barabara za juu Ubungo mataa mbona naona kama hazikidhi vigezo?

    Mmeanza, wabongo aisee! hawana jema, mbona malori na mabasi yanapita au unataka kupitisha meli pale.
  11. M

    Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

    Acha uongo wewe tbc inaangaliwa sana, usipende kuongea vitu bila kufanya utafiti, kama inakuuma na wewe fungua radio na tv yako. Tusitishane bhana.
  12. M

    Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

    Acha uongo wewe tbc inaangaliwa sana, usipende kuongea vitu bila kufanya itafiti, kama inakuuma na wewe fungua radio na tv yako. Tusitishane bhana.
  13. M

    Ubungo flyover ni mwisho wa matatizo

    Tatizo hakuna unachokijua nakusamehe bure.
  14. M

    Serikali inapoteza kodi kwa wafanyabiashara wanaofanya huduma ya delivery

    Wapo hapa na wameshaona, ila wewe kuchangia haa ni kihelehele chako tu na lwa vile umelelewa mazingira ya kutukanana.
  15. M

    Serikali inapoteza kodi kwa wafanyabiashara wanaofanya huduma ya delivery

    Wewe ni tra mkuu, ila ndio nimeamini asiliamia ku wa wanaotumia mitandao tz ukiwwmo wewe, uwezo wenu wa kuchambua mambo ni mdogo sana wengi mnajua kutukana tu. Badilika kijana.
Back
Top Bottom