Search results

  1. cosa nostra

    Kazi za mbali chanzo cha michepuko

    Unakomaa na kazi kwa ajili ya Familia yako,lakini mwisho wa siku inakua ni maumivu tu Safari za mikoani wiki mbili kila mwezi na unamke umemuacha nyumbani unakua unatuma pesa na unapata feedback za simu tu Minjemba inakua inamega kisela,Mpaka ukirudi unakuta mkeo hana furaha nawe tu anakua...
  2. cosa nostra

    Mchango wa wa marafiki katika kazi za msanii

    aliongea Baraka da prince wakati Ben Pal ametoa nyimbo TATU iliyokua mbovu na hata audiance haijaipokea vizuri kabisa kua ni Bora kumshauri rafiki yako msanii asitoe nyimbo kabisa kuliko kumsifia atoe nyimbo mbovu inayo mshushia heshima yake. Tujaribu kuangalia msanii Ali Kiba ana marafiki gani...
  3. cosa nostra

    Chibu ni mzuri zaidi kwa hiphop kuliko kubana pua

    Alianza mziki na Hiphop Diamond platnumz alisikika zaidi na track yake ya Jisachi ambayo ilikua nzuri tu,ila ktk harakati za kutafuta pessa zaidi akaishia kubana pua. Platnumz kwenye hii remix ya fresh amekill mbaya na ameonesha nikiasi gani yuko wide ktk styles he can rap and sing,hii ni kama...
  4. cosa nostra

    Billnass certified Clubbin mc

    Since first hit yake hadi sasa bill nass amekua akitoa nyimbo ambazo ukiwa umechoka na mawazo ukizisikiliza tu basi unajisikia fresh ghafla hii track yake ya sina jambo ni kali sana kama track zake tulivyozizoea Big up Bill nass kwani baada ya kusikiliza Zimbabwe unahitaji pia kupumzika na...
  5. cosa nostra

    Nguo za kiume za siku hizi zina viashiria vya ushoga

    Nimekua nikipata shida sana kupata nguo nzuri za kiume madukani, kwani miaka ya hivi karibuni nguo nyingi zilizopo madukani zinazosemekanana ni za kiume zina muonekano wa nguo za kike. Kwa mfano jeans zilizopo madukani kwa asilimia 90 ni za kishoga, ni nyembamba, zinabana matako, chini zinabana...
  6. cosa nostra

    Nakwenda zimbambwe ya Roma Vs Muziki ya Darasa

    kama ikitokea tuzo za Best Hiphop kwa kipindi hiki ni tack gani kati ya hizi mbili utaipa kura ya ndio. Roma #Zimbabwe Darasa #Muziki
  7. cosa nostra

    Pambana na hali yako

    Msemo huu umeshika kasi sana miezi ya hivi karibuni naombeni kujua ni nani alianzisha msemo huu, mimi binafsi nimemsikia sana Dogo Msodoki YoungKiller akiutumia kwenye track zake ika sijaua ni yeye au kuna mwingine muasisi Nampa hongera huyo mtu kwani sasa msemo huu kama ni Nyimbo basi...
  8. cosa nostra

    Kati ya Godzilla na Wakazi nani real na nani feki?

    Nime jaribu kufuatilia uhalisia wa hili beef and who is real kuliko mwingine katika suala zima kla hiphop music and life style and free style Binafsi nimempa Wakazi ushindi katika ushindani huu na nimemalizia kwa msimamo huu baada ya kusiliza diss tracks zao attached. Je wewe unaona nani real...
  9. cosa nostra

    Ebony FM 106.9 radio bora zaidi kutoka mkoani baada ya RFA

    Imechukua miaka mingi sana baada ya Radio free ya Mwanza kua radio bora kutoka mkoani na kufanya vizuri ndani ya Dar Miaka ni Mingi sasa Ebony FM toka Iringa imekua radio number moja kwa upande ya nyanda za juu kusini na sasa imeingia Dar kwa kishindo sana Baada ya RFA Ebony FM ndio redio...
  10. cosa nostra

    Diamond Platnumz adaiwa kodi Sh. Milioni 400 na TRA

    Ni miezi mbili tu iliyopita ambapo Diamond alienda kwa makao makuu ya Mamlaka ya Mapato TRA baada ya kuitwa ili alelezee namna anavyopata mapato yake na namna gani analipa kodi ya serikali. Diamond alipewa cheti na TRA kama dhibitisho kuwa analipa kodi ya serikali kama inavyohitajika na sheria...
  11. cosa nostra

    Baba wa Mwaka 2017

  12. cosa nostra

    Ratiba ya mashindano ya magari rally of Iringa

    JUMAMOSI TAREHE 22/4/2017 MASHINDANO YATAANZIA KIWANDA CHA MAJI YA MKWAWA IPOGOLO NYUMA YA GEREJI YA M.T. HUWEL SAA 4 ASUBUHI WOTE MNAKARIBISHWA. KISHA UWANJA WA SAMORA SAA 7.00 MCHANA NA KUELEKEA: 1.TUMAINI UNIVERSITY HADI MGONGO KUPITIA KIGONZILE 2.KUTOKA IGINGILANYI- KIWELE HADI MKWAWA...
  13. cosa nostra

    French teacher anatafuta kazi mkoani Iringa

    Kama kuna chuo,shule au tuition center inahitaji mwalimu wa French yeye anapatikana Iringa kwahiyo yuko tayari kufundisha ndani ya mkoa huo tu. Nitumie private message kama unauhitaji nitakuunganisha nae
  14. cosa nostra

    Wadau nifanyeje wanipe mafao yangu?

    Wadau nifanye nini? Huu ni mwaka unakatika sina kazi, kipindi mkataba wangu wakazi unaisha nilikua na matumaini ya kupata pesa zangu kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii ila naona suala hili limegonga mwamba ndio lilikua tegemo langu sikopesheki nina watoto na mke wananitegemea. Hivi huu mchakato...
  15. cosa nostra

    Askofu Gwajima kapandishwa kizimbani leo

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima na wenzake watatu watapanda tena kizimbani leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujitetea katika kesi ya kushindwa kuhifadhi silaha inayowakabili. Kesi hiyo ambayo upande wa utetezi inawakilishwa na wakili Peter Kibatala na...
  16. cosa nostra

    Usimuulize gharama ya Ujenzi mtu mwenye nyumba

    Kuna kipindi nilikua nataka kujenga nyumba nikawa najaribu kuulizia gharama hapa na pale on how i can make it mpaka finishing nyumba simple ya room 3 Most of my friends ambao walikua wamesha jenga walikua wanataja gharama kubwa sana ili tu ionekane nyumba zao ni gharama na wengine wanakatisha...
  17. cosa nostra

    Hivi hii ni Tanzania au Tanzaniarapa

    Tanzania ninayo ijua mimi si rahisi mtu kuvamia kituo cha habari,si rahisi kunyosheana siraha za moto si rahisi watu kutenda maovui na bado wana kaa madarakani, Nikagundua hii nchi sio ile Tanzania labda itakua Tanzaniarapa
Back
Top Bottom