Search results

  1. deonlyme1

    Aviator ipo kutufilisi vijana

    Huu mchezo unajulikana kama kindege ni live betting upo kutufilisi walah, ukiuangalia kwajujuu unaweza ona ni betting rahisi kupata mshiko ila ingia uwanjani ujionee. Huwezi amini wiki hizi mbili nimepoteza almost 200k kwaajili ya hii betting kisa tu kusaka hela ya kula bata la Xmass na New year.
  2. deonlyme1

    Nauza Simu iPhone 7 128Gb

    Nauza simu yangu aina ya iPhone 7 yenye Gb 128 Battery Health 100% FingurePrint[emoji106][emoji736] Iko clean no scratches at all[emoji91] Haina kipengelee chochoteee Karibuni Price 330k
  3. deonlyme1

    Kutoa mihuri ya kichawi

    Jana katika mihangaiko yangu nilisikia tangazo kupitia Redio flani kwa bahati mbaya sikubahatika kuijua ni stesheni gani. Ila kulikua kuna Daktar wa tiba za asili (Dini yake ni Islamic)alikua akitangaza kuhusu utoaji wa tiba yake ya kutoa mihuri ya kichawi kwa gharama ya 25, 000/tsh. Hivyo kwa...
  4. deonlyme1

    Student Fails French Exam After Naming Cristiano Ronaldo As The GOAT

    Kizazi cha Smartphone A student failed his French exam by a single mark after he named Cristiano Ronaldo alongside a picture of a goat. Ahmed Nabil, 15, was presented with a variety of different animals in the paper but rather than write down a 'sensible' answer, he included a certain...
  5. deonlyme1

    Professor vs Scofield

    How can u say Professor of money heist is smarter than Michael Scofield of prison break. Scofield survived through betrayals, setups, toughest prisons and smart detective like Alex Mahone. Scofield could 've simply break into a bank with his crew and out without getting noticed, with no guns...
Back
Top Bottom