Search results

  1. PongLenis

    Jana nimechepuka ili kumkomoa mwanaume niliyenaye

    Sasa hapo huoni unajikomoa
  2. PongLenis

    ATCL kuanza direct flights to Mumbai

    Wengi wazee especially KLM
  3. PongLenis

    ATCL kuanza direct flights to Mumbai

    Bora ingekuwa inapiga route za China .. kuliko Kuwa ambulance
  4. PongLenis

    Zitto Kabwe: Zaidi ya Watanzania 380 Wanatajwa ‘Kupotezwa’ MKIRU

    Alafu kwa nini wote waislam? Mfumo Kristo?
  5. PongLenis

    Mwanaume usikate tamaa kabisa, natusua maisha Ukraine hivi hivi

    Ukiona unaitwa kwenye fursa jua wewe ni fursa
  6. PongLenis

    TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

    Basi wadau wasiweke picha za makalio sio vizuri.. tumieni hata passport size
  7. PongLenis

    TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

    Hivi hakuna picha za. Stara za marehemu..?
  8. PongLenis

    Nkurunziza atangazwa kuwa kiongozi wa maisha CNDD/FDD

    Mbona mbowe ni kiongozi wa maisha kwenye chama chake
  9. PongLenis

    Ni kweli Nissan X-trail zina tatizo la umeme?

    Long live JF Nimepata jibu Bampa to Bampa hakuna brah brah
  10. PongLenis

    Ni kweli Nissan X-trail zina tatizo la umeme?

    Habari zenu wana JF Najua humu nitapata jibu kamili.... Mimi napenda Sana Nissan X trial ila naambiwa kwamba Zina matatizo mfumo wa umeme, kuna wengine wanadai kuna mpya ambazo hilo tatizo wamerekebisha, kama kweli Ni kuanzia mwaka gani na je hilo tatizo la umeme nikweli au Habari ya...
  11. PongLenis

    Mahubiri ndani ya mabasi ya mwendo kasi ni kero

    Aisee kuna jamaa kasimama na Mike kwenye gari za mwendokasi kimara anakera Sana, alafu ni Kawaida yake,, tustaarabike jamani kwanza watu wamechoka wanatoka makazini pili kila mtu ana imani yake.... Tujirekebishe....
  12. PongLenis

    Sisi wataalam wa Tanzania tumesikitishwa na kauli yako Rais Magufuli

    Nilukutana na mdada wa kirwanda sweden anafanya phd ya e government! Labda wenzetu wanao wengi wenye hizo PhD
  13. PongLenis

    Mlioapply kozi za afya NACTE!! October pindi linaanza

    Nahitaji clinical coat mpo wapi nije kuchukua
  14. PongLenis

    Jana nilitangaza rasmi nia yangu ya kugombea ubunge jimbo la Singida Mjini

    Ndugu mtia nia ... Jifunze kutumia "r" nå "L"
Back
Top Bottom